siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu umemtuma Makonda kuwavuruga watendaji wa serikali au kueneza siasa?

    Niliposikia Makonda Kateuliwa kuwa mwenezi wa CCM nilisema wamepata mtu wa kazi na mwenye sauti ya kukisemea cha chama cha Mapinduzi ,ila ninayoyaona Makonda anakwenda kuvuruga weledi wa watendaji wa Kazi seriaklini kwa kofia ya kumsemea Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi. Tujiulize maswali...
  2. JamiiForums Tanzania Usidharau kinachotamkwa na mwanasiasa, hakuna bahati mbaya kwenye siasa

    Leo ninaandika nikiwa na mawazo mengi sana mchanganyiko. Kwanza nimeshtushwa na hili ongezeko la watu wanaoniita Anko/Mjomba badala ya kaka. Hii inaashiria nini kwa mimi kijana mdogo wa CCM mwenye miaka 38? Wakati nikitafakari hilo nikashtuka kuona mvi kwenye ndevu nilipojitazama kwenye kioo...
  3. JamiiForums Tanzania Tunafuta Bima kwa mtoto tunaenda kumlipa Mafao mwenza wa kiongozi!

    TUNAFUTA BIMA KWA MTOTO TUNAENDA KUMLIPA MAFAO MWENZA WA KIONGOZI. Na Thadei Ole Mushi 1. Hili la kulipa mafao wenza wa Viongozi linatafakarisha. Cha muhimu sana wasiwasahau wenza wa wanajeshi wetu ambao hulala mipikani kulilinda taifa, madaktari na wauguzi wanaolala mahospitalini kuokoa roho...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Hizi mvua zote kwanini bado TANESCO wanakata umeme?

    Au ni mimi tu siyo sielewi chanzo cha huu mgao unaondelea sasa mwezi Novemba umeanza? Sasa hivi wamekata tena umeme na utarudi baada ya giza. -
  5. JamiiForums Tanzania Sheria ya Vyuo Vikuu inakataza Wanafunzi kujihusisha na Siasa ndani Chuo

    Je, wajua Sheria ya Vyuo Vikuu ya mwaka 2005 na Kanuni za Mwaka 2013 zimepiga marufuku Wanafunzi kujihusisha na shughuli za Chama cha Siasa ndani ya Majengo ya Chuo? Kifungu cha 57 cha Kanuni ya Vyuo Vikuu inasema "Mwanafunzi yeyote au Mfanyakazi wa Chuo Kikuu anayejihusisha katika shughuli za...
  6. JamiiForums Tanzania Vyama vya siasa viitishe maandamano kwenda ubalozi wa Palestina kudai watanzania wanaoshikiliwa mateka na Hamas Waachiliwe huru

    Vyama vya siasa Tanzania viitishe maandamano kwenda ubalozi wa Palestina uliopo nchin kudai watanzania wenzetu wanaoshikiliwa mateka na Hamas waachwe huru
  7. JamiiForums Tanzania Kijana wa Mbowe asifu uteuzi wa Makonda, asema anafanya siasa safi za hoja kwa hoja

    Kijana wa Mbowe ambaye ni maaarufu mtandao wa twitter kwa kumlinda Mbowe kwa gharama yoyote. Ameonekana akimsifu Makonda kuwa ni mwanasiasa mahiri anaeziweza siasa za hoja kwa hoja na sio za kushikiana mtutu. Hii imekuja siku chache baada ya Lissu akionekana hadharani akiuoponda uteuzi wa...
  8. JamiiForums Tanzania Aliyesema siasa zinahitaji vyeti nani?

    Bado naona watu wanapambana humu kuhusiana na shule ya Makonda, ni wangapi wana makaratasi kibao vyeti vya vyuo wameshindwa kujimanage siasa ni karama ni uwezo binafsi wa kujaaliwa na Mwenyezi Mungu usiohitaji masters au PHD zikiwepo ni added advatage. Ukitaka kajipime na Kishimba au msukuma...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kwenye Siasa chochote kinaweza kutokea RC Paul Makonda anaweza kutumika kwenye Uchaguzi na baadae akaachwa

    Wakati tunaendelea kumpongeza aliyekuwa RC wa Mkoa wa Dar Es salaam kwa kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu NEC CCM itikadi na Uenezi ni vema pia tukafikiria pande zote mbili. Bila kuanza kukumbushia kilichofanya atengwe kwenye utawala wa awamu ya tano naomba tujikite kwenye fikra hizi. Mwaka 2014/2015...
  10. JamiiForums Tanzania CCM acheni siasa za kutengeneza matukio kuficha uovu wenu

    Mmeona leo Watanzania watawakalia kooni suala la Bandari mkaumua mutengeneze tukio la kumteua Makonda mtu mwenye kashfa za unyang'anyi na uuaji. Ashukuriwe Mungu mmemteua kwenye mambo yahusuyo CCM na si ya kiutumishi. Huko CCM dhambi zote mnazibeba na karibu viongozi wote mna dhambi kubwa kubwa...
  11. JamiiForums Tanzania Tukiwarudisha akina Makonda, Sabaya, na Happy chamani siasa inakwenda kuwa tamu kuliko ligi ya NBC

    Kuwarejesha akina Makonda, Sabaya na Happy kwenye chama cha CCM kunaweza kubadilisha mwelekeo wa siasa nchini. Historia inatufundisha mengi kuhusu nguvu ya umoja katika kufanikisha malengo makubwa. Wakati mwingine, inachukua uamuzi wa busara na mageuzi ya kimkakati kuimarisha msimamo wa chama...
  12. JamiiForums Tanzania Tukiendekeza siasa na udini katika mashindano ya African Football League, hayatadumu

    Haya mashindano aina ya African Football League ni rahisi kuona kwa nini huwa yanakwama sehemu nyingine na uwezekano wa kukwama hapa Africa tayari unaonekana. Kutokana na mzozo wa kisiasa unaoendelea huko Mashariki ya Kati, mechi ya ufunguzi iligubikwa na viashiria vya kusapoti Palestina...
  13. JamiiForums Tanzania Siasa Michezoni (Simba vs Al Ahly): Azam TV wanapaswa kuonywa, kuadhibiwa au kufungiwa!

    Kilichotokea jana kwenye ufunguzi wa mashindano ya African Football League kwenye mechi kati ya Simba na Al Ahly kupitia Azam TV ambapo kwa sekunde kadhaa kimakusudi walionyesha bango la mashabiki lenye maandishi yenye mlengo wa kushabikia siasa za mashariki ya kati (kifupi bango lile lilikuwa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Msichanganye siasa na mahindi

  15. P

    JamiiForums Tanzania Tuma kwa namba hii wamewatoa knock-out mpaka sasa, mmeona la msingi ni kuzuia VPN?

    Wakuu, Inasikitisha sana na kutia uchungu kuwa na Waziri mzigo kwenye wizara muhimu kama hii. Badala ya kuwa vinara wa kutetea uhuru wa maoni na kukinda taarifa binafsi na faragha za wananchi wenyewe ndio wanakuwa wa kwanza kuminya uhuru wa maoni, kuingilia faragha za watu na kutunga sheria...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Njia rahisi ya kutoka ni kuanzisha Kanisa au Chama cha siasa

    Wakuu, Kwa utafiti niliofanya kidogo tu ni kwamba ukitaka kutoka kimaisha kwa njia rahisi na nyepesi nikuanzisha chama cha siasa au kanisa la kuondoa mapepo. Imekuwa ni rahisi sana kukusanya michango kwenye makongamano ya kiroho (fukuza pepo) au makangamano ya kisiasa kama wenzetu wa...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Korogwe tunakereka kusimamishwa muda mrefu barabarani ili kupisha misafara ya viongozi wa Siasa, hii sio sawa

    Hapa Korogwe Mkoani Tanga tuna changamoto ambayo naomba leo tuiweke wazi kwa sababu imetufika hapa (shingoni). Naomba kuripoti kero juu ya misafara ya viongozi wanaopita hapa Korogwe Mjini yaani tunasimamishwa muda mrefu sana kisa msafara wa viongozi au kiongozi. Mara nyingi tu shughuli...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa amerudi rasmi kwenye viwango vya juu vya siasa Tanzania; kuvuliwa Ubalozi kumempa umaarufu kuliko ubalozi wenyewe

    Dkt. Slaa ataendelea kuwa bingwa wa siasa za upinzani Tanzania. Atazidi kuchota wafuasi wengi awapo Duniani na baada ya kuondoka. Alitambua kwamba amefungwa kifungo cha kidiplomasia akapambana hadi akaondolewa minyororo ya kidlomasia na sasa amekuwa mtu huru. Amechanga karata na huku tuendako...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Zitto anapitishwa kule kule alipopitishwa Lipumba, Cheyo na Mrema; ameondolewa kwenye ramani ya siasa

    Kisiasa Zitto ameshaingia kwenye njia wanayotumia wenzake kusafiri kuelekea uzeeni. Zitto wa ACT siyo yule wa CHADEMA. Mwanzo alipoamua kuanzisha mapambano na CHadema akiongozana na Kitila Mkumbo nilidhani ameonewa kumbe alikuwa kwenye harakati zakubomoa chama kwa malengo ya kuwa chama kikuu...
  20. JamiiForums Tanzania Siasa inaweza kuwa na Neutral Ground lakini Imani haina Neutral Ground, Ni either uko upande wa Mungu au uko upande wa Shetani.

    Tena kwenye upande wa shetani wala hautahitaji Kumuomba kwamba unataka kujiunga na yeye, Yeye the moment unapo muacha Mungu yeye anajileta, Kuamini Pekee kuwa Mungu yupo haitoshi, Fanya yafuatayo, 1. Zishike Amri za Mungu na uzifuate kama zilivyoandikwa katika Biblia bila kuacha hata moja na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…