siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Siasa siku zote haitabiriki. Ukiona mwanasiasa ameanguka weka akiba ya maneno

    Siasa siku zote haitabiriki. Ukiona mwanasiasa ameanguka weka akiba ya maneno. 2015, Sophia Simba, Adam Kimbisa na Emmanuel Nchimbi walitoka hadharani kupinga kutenguliwa kwa jina la Lowassa katika kinyangayiro cha uraisi. 2017, Sophia Simba afukuzwa uanachama huko Adam Kimbisa na Emmanuel...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: CHADEMA haitashiriki Uchaguzi wowote kama Mazingira ya Siasa yatabaki kama yalivyo sasa

    ''Msimamo wetu bado ni huo, kutokana na mazingira tuliyopitia mwaka 2019 na mwaka 2020 yalitudhihirishia wazi kwamba hatutashiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu (2024) kutokana na yale yaliyotokea yanatupa hofu kwenda kushiriki Uchaguzi tena, lakini kama kuna mambo yatabadilika na...
  3. figganigga

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwanini CCM inalazimisha kuingiza Jeshi la Tanzania (JWTZ) kwenye Siasa? Je, inalipa? Chonde Chonde Rais Samia

    Salaam Sijapenda Style ya CCM kuiga siasa za Afrika Magharibi za kuwatumia Wanajeshi kwenye Siasa. Wanataka kutuharibia nchi. Nakubali Mwenyekiti wa CCM ni Amri Jeshi Mkuu, ila Kutumia Jeshi kuwaziba Wapinzani wake wa Kisiasa si sahihi. Wawatumie Polisi kuzuia maandamano na Shughuli za Siasa...
  4. President of China

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Freeman Mbowe kuona ni kuamini, achana na siasa za mkia wa mbuzi, jeuri na kiburi sio mtaji kuelekea uchaguzi 2024/2025

    Na; Hamis Abeid Baruani UDASA, UDSM. Kwa masikitiko makubwa leo Mbowe ameushangaza umma kwa kuongea mambo mawili ambayo hadi sasa yamepingwa kila kona ya nchi. 1. Katangaza kususia maridhiano 2. Kaitisha anayoyaita maandamano ya amani. a) Mhe. Mbowe kabla ya kususia MARIDHIANO unakumbuka...
  5. Cheology

    JamiiForums Tanzania Sifa ya kuajiriwa tume ya uchaguzi, au msajili wa vyama vya siasa.

    Ndg zangu Nimesomea political science eneo la PSPA. Naomba kujua sifa gani kupata ajira tume ya uchaguzi. Najua kazi zao ni Majukumu 1. Kusajili vyama vya siasa na kuvifuta vile ambayo vimekiuka masharti ya usajili kw ujibu wa Sheria namba 5 ya mwaka 1992. 2. Kuratibu shughuli za Baraza la...
  6. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Vyama vya Siasa vya upinzani vijikite kuwaandaa wagombea mapema kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

    Tunapoelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025 ni vyema vyama vyote vya upinzani vitakavyoshiriki vikaanza maandalizi mapema kabla giza halijazama. Wote tunakumbuka uchafuzi uliofanyika katika uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 ambapo vyama vya upinzani vilipata pigo moja...
  7. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Dini ni imani lakini siyo hivyo tu, bali dini ni siasa

    Tumezoea kuambiwa dini ni imani ambayo inatuunganisha moja kwa moja na mola wetu mwenye nguvu,ila wanasiasa wanajitahidi kutenganisha ukweli usijulikane kuwa dini ni siasa labda tujaribu ku-trace back kipindi cha mediaval era viongozi wengi wa dola walitumia dini katika kumiliki maeneo na...
  8. Bull Bucka

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maoni ya Jumla ya Wadau Kwenye Miswada ya Sheria za Uchaguzi na Muswada wa Vyama vya Siasa - Sehemu 1

    JamiiForums, Jukwaa la Katiba (JUKATA), Tanganyika Law Society (TLS), Twaweza East Africa, Centre for Strategic Litigation (CSL) na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kwa pamoja tunawasilisha maoni kwenye miswada minne: Muswada wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani; Muswada...
  9. President of China

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wa Mkutano wa Baraza la Vyama vya Siasa uliofanyika 3 - 4 January 2024

    Mkutano huu ulihudhuriwa na watu wengi maarufu nchini. Leo nitaweka mrejesho wa kile kilichozungumzwa, watu waliohudhuria na impact ya mkutano huo katika demokrasia ya hapa nchini. Tutaanza kwa kuongelea 4R jinsi zilivyoongelewa na wachangiaji mbalimbali katika mkutano huo. Bila kupotenza...
  10. President of China

    JamiiForums Tanzania Mkutano maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa na wadau wa Demokrasia tarehe 04 Januari 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa mamlaka aliyopewa, alitoa maagizo kwa Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusu kuandaa mkutano maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa. Lengo la maagizo hayo lilikuwa kutoa fursa kwa wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya siasa...
  11. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Pascal Mayalla: Vyama vya siasa visipewe ruzuku, viongozi wake wajitolee

    Akizungumza kwenye kongamano la kujadili Muswada wa Sheria ya Uchaguzi linaloendelea Jijini Dar es Salaam, Pascal Mayalla amesema; “Ndugu zangu wa vyama vya siasa, wenzetu nchi za Ulaya utumishi wea chama ni wa kujitolea, chama sio ajira, vyama vya siasa tangu TANU havikuwa vinapewa ruzuku...
  12. President of China

    JamiiForums Tanzania Ufunguzi wa Mkutano maalumu wa baraza la Vyama vya Siasa 03 Januari 2024

    UFUNGUZI WA MKUTANO MAALUM WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA Kauli Mbiu; " TOA MAONI YAKO KUIMARISHA DEMOKRASIA " MGENI RASMI; Mhe. Othman Masoud Othman Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar 🗓️ Mkutano huu utafanyika Tarehe 3 na 4 Januari, 2024 📍Ukumbi wa Julius Nyerere International Convetion...
  13. chiembe

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi serikali za mitaa na uchaguzi mkuu: Je vyama vya siasa vimechakata taarifa ya sensa ya watu na makazi ili kufanya siasa kisayansi?

    Taarifa ya sensa ya watu na makazi, kwa kiasi kikubwa, inatoa taarifa za "saiti" kukoje. Kaya, mtaa, Kata, Tarafa, Wilaya, Mkoa. Mwanasiasa akifanikiwa kuzichimba na kuzishika takwimu za sensa, akienda mahali akapiga siasa. Anakuwa na uelewa wa eneo husika kiuchumi, kijamii na hata kisiasa...
  14. President of China

    JamiiForums Tanzania Ufunguzi wa mkutano maalum wa baraza la vyama vya siasa

    UFUNGUZI WA MKUTANO MAALUM WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA Kauli Mbiu; " TOA MAONI YAKO KUIMARISHA DEMOKRASIA " MGENI RASMI; Mhe. Othman Masoud Othman Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar 🗓️ Mkutano huu utafanyika Tarehe 3 na 4 Januari, 2024 📍Ukumbi wa Julius Nyerere International Convetion...
  15. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kuwa na demokrasia na chaguzi za kidemokrasia bila ya kuwa na vyama vya siasa?

    Habarini za asubuhi. Kwanza mimi si muumini wa demokrasia. Demokrasia ni mfumo wa ovyo sana. Na mfumo wa ovyo zaidi ni demokrasia ya vyama vingi. Demokrasia ya vyama vingi ni vurugu sana na ina gawa nchi. Hata Marekani yenyewe inayodaiwa kukomaa kidemokrasia imegawanyika sana kutokana na...
  16. GANJIBHAAI

    JamiiForums Tanzania Mimeamini siasa ni ajira kama ajira nyingine tu haina tofauti na Mama Ntilie

    Huwa nacheka sana kuona wanasiasa wanavyohangaika kutetea ujira wao. Inafika wakati wanataka hata kutuharibia amani na utulivu wa nchi hii, kila kitu wanajua wao, hata humu jamvini kuna watu hadi wa buku saba, wanahangaika hadi usiku wa manane kupost post tu vijipost ambavyo havijengi zaidi ya...
  17. President of China

    JamiiForums Tanzania Mkutano Maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa tarehe 3 na 4 Januari, 2024

    MKUTANO MAALUM WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA Kauli Mbiu; " TOA MAONI YAKO KUIMARISHA DEMOKRASIA " MGENI RASMI; Mhe. Othman Masoud Othman Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar 🗓️ Tarehe 3 na 4 Januari, 2024 📍Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City - Dar es salaam #ImarishaDemokrasia #TunzaAmani
  18. Ex Spy

    JamiiForums Tanzania Nani anamlinda Gekul? DPP asema hana mpango wa kuendelea na kesi

    ==== Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya Babati, Victor Kimario ameieleza Mwananchi Digital kuwa kesi hiyo imetajwa leo Jumatano Desemba 27, 2023 mbele yake na ameifuta baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kuwasilisha taarifa ya kutokuwa na nia ya kuendelea nayo. Kesi hiyo ilifunguliwa na...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Nilipanga mwaka huu nijiunge na siasa lakini Nimeghairisha mpango

    Kwema Wakuu! Mpango wangu tangu mwaka jana kama nilivyoandika kwenye uzi hapa Panapo majaliwa mwakani nitajiunga rasmi na siasa za nchi hii. Je, ungependa nifanye siasa na chama kipi? Nilitaka nijiunge na Siasa za nchi hii lakini kwa sababu za kiufundi nimeamua kughairisha mpango huo. Wapo...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Naunga mkono Chipukizi katika siasa na kada zingine

    Salaam, Shalom!!! I declare interest, Rabbon ni mdau wa watoto, nimekuwa katika kitengo hicho Kwa miaka mingi sasa katika Imani. Viongozi wapo wa Kuzaliwa Toka tumboni, na wapo wa kufundishwa. Likewise wanasiasa wa Kuzaliwa wasizuiwe. Katika umri wa kuanzia miaka 4 Hadi mitano, tayari unaweza...
Back
Top Bottom