siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. Q

    CHADEMA inapitia njia ya ANC ya Afrika Kusini, kiliwahi kuzuiwa kufanya siasa lakini ndicho chama tawala kwa sasa

    Mwaka 1960, ANC ilipigwa marufuku kufanya siasa nchini Afrika Kusini, viongozi wake kama Walter Sisulu na Nelson Mandela walikamatwa wengine wakakimbia nchi, Oliver Tambo akachukua jukumu la kukiongoza chama hicho akitokea Zambia. ANC iliendelea kufanya kazi katika mazingira magumu lkn...
  2. The Burning Spear

    Uchumi wa Tanzania unaangamia kwa siasa za uchawa

    GT. Na Malisa. Wakati wa Magufuli IMF ilitoa takwimu kwamba GDP per capita yetu imepanda hadi $2,400 na tukaingia kwenye orodha ya nchi za uchumi wa kati (Lower middle Income). Leo IMF haohao wametoa takwimu kuwa GDP per capita imeporomoka hadi $1,300. Nini kimetokea? Wakati ule tumeingia...
  3. Genius Man

    Utekaji, mauwaji, rushwa, ufisadi, uongo sio siasa ni uhalifu na uhaini kwenye nchi haijalishi nani anafanya ni kinyume cha sheria kwa yoyote

    Utekaji, mauwaji, rushwa, ufisadi, uongo sio siasa ni uhalifu na uhaini kwenye nchi haijalishi nani anafanya ni kinyume cha sheria kwa yoyote . Anayetekeleza kati ya hayo ni adui wa Tanzania na anapaswa kukamatwa mara moja.
  4. funaku

    Bunge lijadili na kuja na muundo wa vyama vya siasa nchini

    Ili kuepuka kuundwa kwa vyama mamluki venye kutumikia mataifa ya nje na kuzalisha vibaraka wa mabeberu ni vyema bunge likajadili na kuweka muundo rasmi wa vyama vya siasa nchini ambapo ndani yake kutaruhusu na kurasimisha uwepo wa vyombo vya serikali ndani yake. Hili litaepusha uwepo wa vyama...
  5. R

    Mwabukusi: Huwezi kutenganisha Siasa na dini

    Wakili Mwabukusi amesema serikali ya Tanzania haina dini lakini raia wake wana dini, akisisitiza dini ndiyo siagi ya siasa na huwezi kutenganisha siasa na dini kwani dini ndiyo hutoa maadili. Pia ameeleza kuwa mtu yeyote asiye na dini asipewe nafasi ya uongozi
  6. A

    Africa (ikiwemo Tanzania) itaendelea ikiachana na siasa za uchawa, udini na ukabila

    Kuna video hapa inayozunmzia matatizo ya Nigeria na afrika Kwa jumla kama hatutazungumzia yaliomo kwenye hii video
  7. J

    Kiongozi wa kiroho kujihusisha na biashara au siasa

    Kiongozi wa kiroho kujihusisha na biashara au siasa Nianze kwa kuuliza swali: je ni sahihi kwa kiongozi wa kiroho, kwa mfano mchungaji, kuwa mfanya biashara, au kugombea nafasi za kiserikali au za siasa? Kabla ya kuangalia kiongozi wa dini, hebu tuangalie kwanza kwa mtu aliyeamini. Je mtu...
  8. Tlaatlaah

    Baada ya Chadema kujimaliza yenyewe kisiasa, ni chama gani cha siasa kitafuata nyayo na kujichimbia kaburi la sahau kisiasa Tanzania?

    Maana kwasasa, Kimebaki kama kituo cha mamaluki wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, kikijikita zaidi katika kuchakata porojo na uzushi ambao hauwasaidii bali kuwapoteza zaidi, na kosa kubwa zaidi ni kufanya makao makuu yao kua Nairobi chini ya yule mdada mkuu wa vibaraka aliewahi...
  9. Sax

    Mene, mene, tekeli, na peresi: Somo kali kwa siasa za Tanzania

    Katika historia ya Tanzania, uongozi umejengwa juu ya misingi ya amani, umoja wa kitaifa, na heshima ya mamlaka ya dola. Hata hivyo, kama ilivyo kwa mataifa mengine, kauli ya “Mene, Mene, Tekeli, na Peresi” (Danieli 5) inabaki kuwa kioo cha kutafakari mwenendo wa siasa zetu. Ni ujumbe wa...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    Roadmap 2026: Siasa za utakaso. Utu wa Kale

    ROADMAP 2026: SIASA ZA UTAKASO. UTU WA KALE. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Leo ni January Moja 2026. 2. Namshukuru MUNGU kwa kutupa nafasi hii. Wote mnajua jinsi mwaka uliopita 2025 ulivyokuwa mwaka mgumu na mbaya katika maisha yetu. Ulikuwa mwaka wa Damu. 3. Sasa mwaka 2026 umeaanza...
  11. MALCOM LUMUMBA

    Siasa za kindugu, umwagaji damu na Ukatoliki nchini Ufilipino

    UTANGULIZI Mwaka 2017 Raisi Duterte alianzisha vita kali dhidi ya Madawa ya Kulevya nchini Ufilipino. Aliaua maelfu wa watu aliodai ni watumiaji na wauzaji wa madawa. Alienda hadi mbele ya kadamnasi na kujisifu kwamba wakati ni Meya wa Davao alikuwa anatembea usiku na kupiga watu risasi...
  12. Castle_Lite

    4. Mtoa maudhui bora wa Siasa JF 2025

    Pigia kura Member bora wa JF kwa vigezo. Mimi nimeona tuanzie kuwapigia kura hawa. Pendekeza nan aongezweKwa List Disclaimer: Haya ni maoni yangu binafsi. Na pia sio ushindan na hakuna zawad ila ni Kuwapa Motisha kwa kuwatambua na kuthamini michango yao. Kwangu JF wote ni bora.
  13. Kimbesa11

    Hivi hakuna Kiongozi wa maaskofu ili awaonye wenzake waache siasa nipo church katoliki nimeamua niingie tu JamiiForums

    Waheshimiwa maaskofu tumechoka na siasa zenu, tumekuja kusali hatuna Raha hatupati baraka zozote za kimungu mpaka natamani nikawashe TV nisali na mtumishi wa Mungu Mwamposa. Kama yupo Askofu wa katoliki humu jukwani Tunaomba utufikishie ujumbe waache kuhuburi siasa wanakela, imagine mpaka...
  14. Kazanazo

    Hivi watanzania mnataka siasa za aina gani?

    Hili swali linapaswa kujibiwa na watanzania wote, hivi mnataka siasa za aina gani? Mnataka siasa za kistaarabu zisizo na unafiki na ukali hasa kutoka viongozi wa juu Au mnataka siasa za misifa na ukali ukali wa kutumbuana kwenye kadamnasi bila kufuata itifaki? Hii inahusu zaidi chama...
  15. DR HAYA LAND

    Siasa za 2015, kurudi nyuma, ndizo zilikuwa siasa za hoja, na si hizi za kuitana chawa na nyumbu. Hizi ni za watu ambao hawajui siasa na uongozi!

    Naona siasa za HOJA Kama either zimekufa au watu wameacha kabisa kupambana na tatizo Ila wanapambana na MTU aliyeibua tatizo inafikirisha KITENDO CHA WATU KUTUKANA MATUSI NI ISHARA KUWA UWEZO WA WATU KUJADILI HOJA NDO UNAELEKEA MWISHO KAMA SIO KUFA KABISA Movement yoyote haiwezi ikawa na uhai...
  16. fimboyaukwaju

    Ushirikiano baina ya wakristo na waislamu ni muhimu kuliko hata vyama vya siasa

    Ni bora pasiwepo na vyama vya siasa lakini ukawapo ushirikiano wa dhati baina ya waislamu na wakristo kwani kila siku,tunashirikiana kwenye mambo mengi mno.Angalia baadhi ya mambo tunayoshirikiana japo kwa uchache: 1.Kuzikana 2.Kusafiri pamoja 3.Kufanya biashara 4.Kufanya ngono 5.Kucheza michezo...
  17. R

    Chama cha siasa kikubwa kuliko vyote Tanzania ni CHADEMA

    Chadema ndicho chama pekee kikubwa kuliko vyote ambacho kina support ya wananchi kwa mapemzi ya kutoka moyoni. CCM iko kwa sababu ya polisi ma watu kutafuta RIZIKI. CCM ikitoka madarakani hutamuona mtu kule. CHADEMA IPO BILA RUZUKU, BILA BIASHARA LAKINI WATU WANAIKIMBILIA NA KUIAMINI NA...
  18. Kimbesa11

    Watumishi wa Mungu mnaoendekeza siasa madhabahuni mnajishushia heshima mnapuuzwa

    Zamani mtumishi wa Mungu akiongea unaona kabisa Mungu ameongea🤣 Ila sahz mtumishi wa Mungu anaongea unaona kabisa ni uongo na anapingwa kwa hoja na unaona kabisa hoja zinazompinga mtumishi wa Mungu zinamashiko hii ni aibu nikushusha chini utume wa Mungu, lakini yote hayo ni kwasababu ya...
  19. ChekoFagia

    Nicki Minaj apoteza followers milioni 10 kwa kuongelea siasa

    Nicki Minaj amejiondoa kwenye mtandao wa Instagram, baada ya kurudi, ndani ya muda mfupi baada ya kukumbwa na upinzani mkali mtandaoni. Tukio hilo linahusishwa na ushiriki wake katika mkutano wa kisiasa wa Turning Point USA (AmericaFest) uliofanyika Phoenix, Arizona. Kwenye mkutano huo, Nicki...
  20. stakehigh

    Mwaka mzima unajadili siasa tu, 2026 badilika sasa anza kujadili uchumi wako

    Siasa ni michezo ila kwa science yake binafsi, ukikaa ukiwa unasubiria kuelewa siasa basi utasubiria sana,, Hivo basi ebu anza kujadili namna ya kujisogeza kimaisha ata watoto wako wakiwa wakubwa wajue umewaachia kitu, mtoto anakua anachojua ni mzee wake alikua anaongoza kwa kuandika nyuzi JF
Back
Top Bottom