siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. JamiiForums Tanzania GE2020 Msajili: Vyama vya siasa vyenye lengo la kushirikiana uchaguzi mkuu vimeshachelewa

    Afisa kutoka Ofisi ya Msajili wa Vyama ameeleza kuwa iwapo vyama vinataka kuunda ushirikiano vinapaswa kufanya hivyo kwa kufuata utaratibu wa vikao rasmi na sio utashi wa viongozi. Ameainisha kuwa muda wa kufanya coallition ni miezi mitatu kabla ya kuanza kwa mchakato wa uchaguzi. Tuwe tunasoma...
  2. JamiiForums Tanzania GE2020 Mwana wa kulitafuta Lijualikali kalipata, baada ya kuangukia pua Ubunge ajaribu udiwani na kuambulia kura 5. Adaiwa kutamani kurudi CHADEMA

    Habari kutoka huko jimboni Kilombero hali ya mtoto wa mjini Lijualikali ni tete kisiasa. Baada ya kuunga mkono juhudi kuangukia mikononi mwa spana za wajumbe wa CCM na kuambulia kura 2 ameamua kujiongeza na kwenda kwenye kura za maoni udiwani akaambulia kura 5,Sasa anaomba kurudi CHADEMA.
  3. JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu haijui vizuri siasa, wamjenge kisaikolojia asije kupata tena maumivu mengine

    TUNDU LISSU akae chini atulize kichwa ajiulize kuwa kwa nini chama hakimpi heshima anayoistahili ya kupita bila kupingwa? Chama kinajua ukweli kuwa Tundu Lissu amepoteza sifa za kuomba ridhaa ya kuchaguliwa nafasi yoyote ya kisiasa kwa kukiaka masharti ya watumishi wa umma baada ya kuvuliwa...
  4. JamiiForums Tanzania Umuhimu wa ushirikiano wa vyama vya siasa katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020

    UMUHIMU WA USHIRIKIANO WA VYAMA VYA SIASA KATIKA UCHAGUZI MKUU WA OKTOBA 2020. Maaskofu katika DR Congo walitoa mchango mkubwa sana katika kuifanya ya DRC kuwa na utulivu kabla na baada ya Uchaguzi Mkuu. Ushiriki wao katika kuyaunganisha makundi au vyama ndani ya DRC hauwezi kusahaulika...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Siasa yetu imekuwa nyepesi sana, hata kuku tu anakuwa mjadala mpaka ngazi ya kitaifa!

    Inawezekana hii ni mojawapo ya sababu ya kujitokeza mamia ya watia nia kwenye kura za maoni kwenye kiti cha mgombea urais 2015, urais Z'bar 2020 na ubunge 2020, sio kukua kwa demokrasia kama inavyodaiwa na viongozi mbali mbali wa CCM. Je, tunafikiri viongozi watangulizi walikuwa hawapewi...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Wanataka kuufuta Mfuko wa wafanyakazi wa WFC, hivi Serikali haioni hata aibu?

    Wewe ni Waziri mzuri ndiyo. Unajitahidi kufanya kazi zako vizuri - hulali usiku na mchana ndiyo maana ukafanikiwa hadi kuifukuza corona. nchini mwetu. Uko vizuri sana. Mwanzoni mwa juma lililopita Tarehe 21 Julai 2020 baba mdogo wangu anayefanya kazi mgodini akawa ananipiga stori kuwa Serikali...
  7. JamiiForums Tanzania Kinachofaa kwa Vyama vya Siasa kwa Ushindi 2020 Muungano wa Mabadiliko ya Fikra(MUMAFI)

    Kinachofaa kwa Vyama vya Siasa vya Upinzani-Tanzania. MUUNGANO wa MABADILIKO ya FIKIRA (MUMAFI). Don Nalimison, Mwanamziki, Mtetezi wa Haki za Binadamu na Mshauri wa Maswala ya Kiusalama Duniani leo nakuja kuunda Umoja utakaowapa Ushindi wa Kishindo Uchaguzi Mkuu 2020 kwa vya Kisiasa hasa...
  8. JamiiForums Tanzania Muziki na siasa

    Joto la uchaguzi limeanza, wanasiasa wanapishana huku na kule wakitafuta njia za kuweza kuendelea kushiriki kwa namna moja au nyingine katika ngazi mbalimbali za uongozi wa kisiasa. Wanamuziki nao, wengine kwa upenzi wa kambi moja au nyingine ya kisiasa, au kwa kuona fursa ya kutengeneza fedha...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Tunakoelekea Siasa inakwenda kuwa panga la kufyekea taaluma, PhD zitakuwa hazina maana

    Kama tutaendelea hivi pasipo kuilinda taaluma, tutarajie kila mtu kutamani siasa kuliko elimu. Kama tutaruhusu mwanasiasa kuwa Mungu mtu! Basi taaluma inakwenda kuwa Buriani! Kama mwanasiasa ataendelea kujitia anajua kila kitu! ubunifu unakwenda kupotea. Siasa inakwenda kuwa panga la kufyekea...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Mkapa kaondoka, je nani atamfunga paka Kengele?

    Ni siri iliyo wazi kuwa Hayati Benjamin Mkapa alikuwa nguzo muhimu sana CCM haswa katika utawala huu wa Magufuli. Mkapa alikua mtu pekee ambae alikua haogopi kumpa Magufuli za uso. Magufuli mwenyewe alikua sio tu anamheshimu sana, bali alikua anamchukulia kama baba yake maana Mkapa ndiye...
  11. JamiiForums Tanzania Biashara katika Siasa na ajira ya Serikali katika Siasa

    Nimesikiliza kilio cha waajiliwa wa serikali walioonesha niya ya kutaka kugombea nafasi ya Ubunge baada ya kujikuta wanakatiwa mshahara wa mwezi July. Serikali iko sahihi maana kuna mwongozo wa aina hiyo. Tatizo ni kwa nini serikali iliweka mwongozo wa kibaguzi aina hiyo? Yaonekana serikali...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Makonda: Mkapa hakuwa mbaguzi alinichangia fedha kwenda Dodoma kuanza safari yangu ya Siasa

    Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dsm ndugu Paul Makonda amefika nyumbani kwa mzee Mkapa rip na kusaini kitabu cha maombolezo. Makonda amemuelezea mzee Mkapa kama mtu aliyeuchukia ubaguzi na akatoa ushuhuda wa yeye kupewa fedha na Mkapa wakati anaanza safari yake ya kisiasa. Makonda anasema mzee Mkapa...
  13. JamiiForums Tanzania Mgombea Ubunge ashawishi Kamati ya Siasa ya Wilaya kuwakata majina yote watia nia ya Udiwani wasiomuunga mkono

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida aliyekua mbunge jimbo la Singida Magharibi ndugu Elibariki Kingu alishawishi kamati ya siasa ya Wilaya kuwakata majina wale wote waliotia nia ya kugombea udiwani CCM wasio muunga mkono yeye. Sasa watia nia hawa wa udiwani wanasubiri majina yao yakatwe watinge...
  14. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu amesema anatarajia kurudi Tanzania Julai 28

    Mwanasiasa wa upinzani nchin Tanzania Tundu Lissu amesema anatarajia kurudi nchini humo Julai 28. Lissu ametangaza nia ya kugombea urais kupitia chama chake cha CHADEMA Oktoba mwaka huu. Mwanasiasa huyo kwa sasa yuko ughaibuni ambapo alienda kupata matibabu baada ya kushambuliwa kwa risasi...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Sugu na Profesa Jay yalivyowaponza Wasanii na Siasa chakavu za CCM

    Hali imekuwa ndivyo sivyo. Ni vilio na simanzi . Kila kona ni aibu tupu. Wahenga walisema Tamaa mbele mauti nyuma. Au majuto ni mjukuu. Inasemekana kuna tofauti kubwa kati ya wasanii wa tanzania, uganda a Kenya, wachambuzi wa maswala ya siasa na uchumi, utamaduni na maendeleo wanasema kundi la...
  16. I

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa Vyama vya Siasa na rushwa iliyopo kwenye chaguzi zao

    Kutokana na ukweli usiofichika ndani ya nchi ya Tanzania kwamba, Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni miongoni mwa Chama Kikubwa cha Siasa na pia ndio Chama kilichoshika madaraka mpaka sasa na ambacho kinatabiriwa kwa asilimia kubwa kuendelea kushika madaraka na kuunda Serikali kwa mara nyingine tena...
  17. E

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa msajili wa Vyama vya Siasa Nchini

    Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana siasa za zitto na chama chake cha ACT tangia mwaka 2018. Nimejiridhisha pasina shaka yoyote yakuwa, siasa za zzk siyo zile siasa alizokuwa akizifanya akiwa chadema na baada ya kuanzisha chama. Zzk alipoanzisha chama cha ACT alipata wakati mgumu kupata...
  18. JamiiForums Tanzania Tuache uzembe, siasa inalipa kuliko hata elimu

    Habari zenu wakuu. Ni wazi kwamba hakuna aliyefanikiwa hapa duniani kwa kuwa muoga kuthubutu kufanya jambo lolote lenye faida. Moja kati ya fursa ambayo wengi hanaogopa kujihusisha nayo ni siasa, aidha kwa kuiogopa au kuto itilia maanani. Wapendwa tuacheni uoga na uzembe, we have to take risk...
  19. JamiiForums Tanzania Ni nini kinawafanya watu wanaojfanya kumcha Mungu, kuwa na Roho mbaya na za Kikatili katika ulimwengu wa SIASA

    Najua tukokatika kipindi cha mauzo. Makundi kama waumini makanisani, bodaboda, wafanyabiashara ndogondogo,mashabiki wa muziki, timu za mpira et al ni rahisi tu kuuzwa kwa mwanasiasa fulani nyakati hizi. Mfano: Mwaka 2015 Gwajima alimpa Lowassa waumini wake, na mwaka huu kampa Magufuli. Pia...
  20. JamiiForums Tanzania Upinzani muwe mnakusanya ushahidi wa CCM kukiuka sheria/maadili ya vyama vya siasa na wasilisheni kwenye mamlaka husika proactively kila yatokeapo

    Zitto John Mnyika CHADEMA ACT Wazalendo You guys know what I mean am sure, but we are here to swing the whip so that you stay up and walk the talk. Haijalishi mamlaka husika itayafanyia kazi mawasilisho yenu ama la. Just bloody do it! Na msiwe reactive - yaani msisubiri hadi ninyi mpigwe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…