shule

  1. JamiiForums Tanzania Shule ya Msingi Mitambo, Mkoa wa Mtwara

    Hawa ni watoto wanaotegemewa kufaulu kwa alama za juu. Hii ndiyo nguvu kazi ya siku zijazo.
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali isiige mfumo wa elimu kama IST?

    Hii shule ni Moja kati ya shule bora katika kuaanda watoto level ya primary. A full Graduate wa shule hii humlinganishi na katoto ka shule yeyote ile hapa Tanzania katika communication skills. Nimefikiria na kujiuliza hivi kwanini serikali isijaribu walau kuiga mfumo wa shule walau katika...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Shule Binafsi za Sekondari zipo hoi

    Mambo yamebadilika. Miaka sita iliyopita watu walikuwa wanazikimbia shule za serikali wanagombania shule za private. Hali imekuwa kinyume miaka hii na hasa mwaka huu. Sasa shule za serikali zimefurika wanafunzi wakati sekondari za private zina wanafunzi kiduchu. Ukizingatia kwamba sekondari za...
  4. JamiiForums Tanzania Shule ni ngumu kuliko mtaa

    Wakuu! Kwa uzoefu wangu, ninaona shule ni ngumu kuliko kitaa. Mimi nikikuburuza shuleni ukakaa, basi jua mtaani hutonishinda kwa chochote kile hata kuzaa tuu watoto ambao ni bure kabisa. Kuna mdau kaanzisha mada kasema Vipanga jeuri mtaa unawanyoosha, kiukweli mimi nilishaapa kuwa nikikuzidi...
  5. JamiiForums Tanzania Tazama hali ya Darasa la Shule ya Msingi Bushekya iliyopo Halmashauri ya Muleba

    Wakuu salaam kwenu, Nimeiona hii video imenisikitisha kwakweli. Daah kuna watoto wanasoma kwenye mazingira mabaya sana. Tazama hiyo video chini inaonesha hali ya mazingira ya darasa mojawapo linalopatikana katika Shule ya Msingi Bushekya iliyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Muleba kata ya...
  6. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa shule ya UWCEA Moshi na viongozi wa mkoa wakanusha taarifa za kufungwa kwa shule hiyo

    Moshi. Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira amekanusha taarifa zilizosambaa katika mitandao ya kijamii kuhusu kufungwa kwa shule ya International School Moshi (ISM) kwa madai ya mwanafunzi mmoja kukutwa na maambukizi ya ugonjwa wa Corona. Wakati uongozi wa Mkoa wa Kilimanjaro ukikanusha...
  7. JamiiForums Tanzania Waliofunga shule kwa corona, maslahi ya walimu yatakuwepo? Je, wazazi hawatalazimishwa kulipa tena ada?

    Kabla sijaenda kwenye maswali zaidi niweke wazi kuwa, I have never bought any Conspiracy lakini najua attention ya dunia dhidi ya corona is greater than the real problem. Corona kuwepo ni jambo moja, impact yake ni suala jingine, Idadi ya wanaopona ukilinganisha na wanaokufa inaoesha haja ya...
  8. JamiiForums Tanzania Waziri Jafo atoa wiki 2 kwa Uongozi wa Dodoma kuifanyia ukarabati Shule ya Msingi Nkuhungu na kuhakikisha inafikisha ufaulu wa asilimia 100

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-Tamisemi, Selemani Jafo ameliagiza Jiji la Dodoma chini ya Mkurugenzi wake Joseph Mafuru kuifanyia ukarabati Shule ya Msingi Nkuhungu pamoja na kuhakikisha inafikisha ufaulu wa asilimia 100 kwenye matokeo ya mitihani ya darasa la nne. Jafo ametoa kauli hiyo leo...
  9. JamiiForums Tanzania Shule ya Wavulana ya Ihungo yazinduliwa rasmi, iliharibiwa na tetemeko la 2016

    Shule hiyo iliathiriwa na tetemeko lililotokea Mkoani Kagera Septemba 10, 2016 na kupelekea majengo mengi kuharibika ambapo Serikali iliagiza ijengwe upya. Mradi huo umegharamiwa na Serikali za Uingereza na Tanzania. Waziri wa Elimu, Prof. Joyce Ndalichako amesema Shule ya Wavulana ya Ihungo...
  10. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Shule ya sekondari ya Ihungo umegharamiwa na serikali ya Tanzania au UK?

    Nimesoma sehemu jana inasema kwamba shule ya Sekondari ya Ihungo imejengwa na serikali ya Tanzania baada ya kuharibiwa na earthquake. Lakini leo katika ufunguzi nimemwona kuna mzungu fulani nadhani ni balozi wa UK Tanzania akiwa kwenye msafara lakini kama anapotezewa vile. Hii imeni-prompt...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kamata kamata michango ya ujenzi wa shule Kagera

    Mabibi na mabwana hii imekaa je. Pana habari tokea pande za wilaya ya Ngara kuwa wanakamatwa watu hovyo kisa 10,000/= michango ya ujenzi wa shule hasa pande za kule Rusumo. Sheria zipi zinazohalalisha unyanyasaji huu? Au ni moja ya zile amsha amsha katika ziara ya lile jembe letu mkoani Kagera...
  12. JamiiForums Tanzania Kagera: Rais Magufuli kuzindua Shule ya Sekondari Ihungo iliyokarabatiwa kwa Tshs Billioni 10.9

    Shule ya Sekondari ya wavulana Ihungo iliyoko mjini Bukoba inayotarajiwa kuzinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 18 Januari, 2020. Shule hiyo imefanyiwa ukarabati uliogharimu shilingi Bilioni 10.9 baada ya kuharibika kufuatia tetemeko la ardhi...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Nani ni mmiliki wa shule za Twibhoki na Graiyaki ziizopo mkoani Mara?

    Habari za jumapili wakuu? Naomba kufahamishwa, kwa miaka mingi sasa, kuna hizi shule mbili za Twibhoki na Graiyaki zilizoko wilayani Serengeti mkoani Mara, zimekuwa hazikosekani top 5 ya kwenye matokeo ya shule za msingi. Ningependa kufahamu mmiliki wake ni nani?
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeshangaa kule Tanzania kumbe kuna shule za serikali ambazo ni English medium,. Wenzetu mbona huwa wanajikanganya hivi?

    Kuna uzi nimekutana nawo humu unaongelea kuhusu shule za serikali ambazo ni English medium, nikawa nachanganyikiwa, maana Watz haswa walalahoi wote huwa wameaminishwa Kingereza ni cha mkoloni mara sijui ni cha malkia, hivyo watoto wao wapelekwe kusomea kwenye shule za st Kayumba, ilhali wenye...
  15. JamiiForums Tanzania Shule zote za serikali za msingi zibadilishwe kuwa English Medium

    Shule zote za serikali za msingi zibadilishwe kuwa English Medium ili kuondoa ubaguzi kwenye shule za msingi za serikali sababu serikali yenyewe inazo shule za English Medium kibao kwa nini wengine wasome English Medium na wengine Swahili medium wakati zote za serikali? Pili sasa hivi tuko...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Shule za mkoa wa Kilimanjaro zinafeli wapi maana hazimo Top ten ya matokeo kidato cha nne!

    Nimeangalia orodha ya shule zilizofanya vizuri kwenye mtihani wa kidato cha nne lakini kwenye 10 bora sijaona shule za mkoa wangu wa Kilimanjaro. Tunafeli wapi jamani? Maendeleo hayana vyama!
  17. JamiiForums Tanzania Upepo wasomba jiko la Shule ya Sekondari Mkwasa, wadau waomba kutoa msaada

    Zaidi ya wanafunzi 500 wa Shule ya Sekondari Mkwasa wilayani Hai Mkoa wa Kilimanjaro watakosa huduma ya chakula waliyoizoea kutokana na jiko la shule hiyo kusombwa na upepo mkali ulioambatana na mvua Shule hiyo iliyopo kijiji cha Mungushi kata ya Masama Kusini ilikumbwa na kadhia hiyo Januari...
  18. JamiiForums Tanzania Nimeanza kuichukia CCM rasmi baada ya Serikali kuanza kuwatia ndani ndugu zangu kisa hawana pesa ya kuchangia ujenzi wa shule

    Nimekerwa sana na watendaji wa Serikali huko Shinyanga hususani wilaya ya Kishapu kuanzisha michango mikubwa, ndani ya wiki mbili mkulima analazimishwa kutoa elfu 70. Mheshimiwa Rais hivi ni kweli hii ni agizo lako? Maana wanasema ni maagizo kutoka juu. Kama ndivyo ilivyo, Mimi kuanzia Leo...
  19. JamiiForums Tanzania Jaman kuna sisi ambao tunarudi shule mnatuambiaje?

    Kuna sisi ambao tunarudi mashuleni kuanzia leo hadi juma tatu, kama watu wenye busara na fikra endelevu tushaurini vyakuvifanya ambavyo sio vya kufanya kwa mafanikio kujenga taifa amina :)
  20. JamiiForums Tanzania Iwepo tume ya kuratibu ada za shule binafsi. Kuna shule kila mwaka ada wanapandisha asilimia kubwa na hakuna mabadiliko shuleni

    Wadau Mimi nashauri Serikali iangalie kuunda tume ya pamoja na shule za binafsi kuhusu suala la ada. Kuna shule zinapandisha ada kila kukicha yaani kila mwaka aisee na kwa kiwango kikubwa bila sababu. Unajua ada inapanda labda kuna mazingira shule au walimu watabadilika hakuna inabaki pale pale...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…