shule

  1. L

    JamiiForums Tanzania SoC01 Gereza ni Shule ya Uchumi

    GEREZA NI SHULE YA UCHUMI Gereza ni sehemu au makazi ambapo wakosefu wa sheria za nchi Fulani wamekua wakiishi kwa ulinzi na uangalizi mkali. Inafahamika kua gereza ni sehemu ya kuadhibu watu ambao wamekiuka maadili yaliyowekwa na jamii ya watu Fulani au nchi Fulani. Katika Maisha ya kawaida...
  2. JamiiForums Tanzania Shule za Dar es salaam ni pasua kichwa

    Kwa wale wanaofundisha shule za Dar es salaam huu ni ujumbe kwenu. Fanya kazi sana lakini ujue hakuna bosi anayejali maslahi yako, utafanya kazi kama punda, sifa zote kwa mwenye shule. Kuna shule hasa hizi kubwa kubwa wafanyakazi hawafanani na ukubwa wa shule, mfano unakuta waalimu wamechoka...
  3. JamiiForums Tanzania Hii ilikuwa mwaka 2008, shule ya bweni ya wavulana "Bwiru boys sec" walitucharaza bakora

    Tulicharazwa bakora na wanafunzi wa sekondari ya bweni "Bwiru Boys". ILIKUWA HIVI... Kulikuwa na upinzani mkali wa kabumbu kwa timu za shule kati ya shule yetu ya sekondari yaani "KITANGIRI SEC" na shule ya bweni ya wavulana yaani "BWIRU BOYS SEC". Bwiru Boys wana viwanja viwili vya mpira...
  4. K

    JamiiForums Tanzania SoC01 Urithi Unaotutenganisha

    Nakusalimu ndugu usomaye makala hii. Makala hii haikusudii kumlazimisha mtu akubaliane na mtazamo ulioandikwa ndani yake, kila msomaji ana uhuru wa kukubali au kukataa chochote kilichoandikwa katika makala hii, au hata makala nzima. Makala hii ni ndefu ila ni vema ukijitahidi kuisoma yote...
  5. JamiiForums Tanzania Kuwatumia "Mafundi" badala ya Wahandisi kwenye Ujenzi wa Vituo vya Afya na Shule ni dharau

    Hongera kwa kukusanya TOZO ya dhuluma, mnataka kujenga vituo vya Afya ambavyo "vilianza kujengwa" tangu enzi za JK....sina tatizo! Tatizo langu ni lile sharti kwamba "Ujenzi" ufanywe na wale mafundi wetu a.k.a Fundi Maikoz kwa kisingizio cha kupunguza gharama. Majengo ya serikali sio nyumba...
  6. JamiiForums Tanzania Ni sawa wanafunzi kusimamishwa masomo kwa kutolipa ada?

    Ni haki kwa wamiliki wa shule kuwasimamisha masomo wanafunzi ambao hawajalipa ada kulingana na ratiba ya muhula (kabla mwaka haujaisha)? Mfano: Mtoto alitakiwa alipiwe 3,000,000 Tshs jumla kwa utaratibu huu: Muhula wa kwanza: 1,200,000, Muhula wa pili: 1,000,000 na Muhula wa tatu: 800,000...
  7. JamiiForums Tanzania Hawa watoto wetu wangejua tunayopitia ili upate ada ya shule na mkate mezani, wangesoma kwa bidii

  8. JamiiForums Tanzania Wasiowapeleka watoto shule wachukuliwe hatua

    Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Mwanaidi Ali Khamis ameagiza kuchukuliwa hatua kwa wazazi wanaowakosesha watoto haki ya msingi ya kuendelezwa kwa kupata elimu. Mhe. Mwanaidi ameyasema hayo Wilayani Mbinga mkoani Ruvuma wakati akishiriki zoezi la ujenzi wa...
  9. JamiiForums Tanzania Wamiliki Wa Shule Binafsi Hii Nimuhimu Sana Kuipitia

    Habari za muda huu wana jf, Natumaini ni wazima wa Afya njema na mko salama kabisa, Nitaenda moja kwa moja juu ya mada yangu Ulimwengu unakua kwa kasi kubwa sana huku teknolojia ikiwa msitari wa mbele kabisa katika kuongoza ukuaji wa dunia. sasa ni kitu gani kwa watu wa shule binafsi mnaweza...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali itenge fedha za kukarabati shule za Msingi nchi nzima, hali ya shule hizo ni mbaya

    Kwenye bajeti ya Serikali juu 2021/22 sijaona fedha zilizotengwa na Serikali kukarabati shule za Msingi Tanzania. Shule nyingi za Msingi Tanzania sasa zimekuwa magofu. Hapa Kilosa Mkoa wa Morogoro kuna shule ya msingi inaanguka.
  11. N

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ya shule: Nilipata mtoto nikiwa Sekondari

    Habari waungwana, Nawasimulia kwa ufupi kisa changu cha mapenzi ya utotoni ila naanzia nyuma kidogo. Nilipokuwa kidato cha pili nilikuwa naendela vyema tu na masomo japo sikuwa nafaulu sana, nilikuwa mpole sana na mkimya mno. Siku moja Mwalimu wa kiswahili akasema wanataka kuanzisha kikundi...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ajabu! Mbunge ashangazwa shule kuwa na madarasa ya mwaka 1976

    "Haiwezekani shule tangu mwaka 1976 mpaka leo ina madarasa manne tu na wanafunzi wanasomea nje wakati serikali inatoa fedha nyingi kwaajili ya ujenzi wa madarasa, nimuombe Mhe. Rais na Waziri mkuu waje kufanya ziara Sengerema" - Hamis Tabasam mbunge wa Sengerema My take: Huyu inaonekana hata...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Utitiri wa shule za chekechea na Tuition wilayani Arumeru

    Wakuu narudia tena kuirudisha hii mada mpaka tupate majibu kutoka wizara husika. Kumekuwa na utitiri wa shule nyingi za chekechea na zingine zikiitwa Tuition zinazochukua watoto chini ya miaka mitano ambao hawajaanza shule. Katika safari zangu nilizotembea katika mji wa Arusha nimeona mjini...
  14. JamiiForums Tanzania TANGA: Wanafunzi wakimbia shule kisa hofu ya kuchanjwa

    Leo Rais Wa Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameongoza Viongozi wa Juu wa Serikali Kuchanjwa Chanjo ya COVID 19 Aina ya Johnson And Johnson Sasa huko Tanga wanafunzi wamekimbia Shule Hasa Hasa Wakihofia Kuchanjwa, huku wazazi wakiwaambia wasije kuchanjwa maana wataambukiza...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Kulikoni utitiri wa shule za Chekechea Arusha mjini zisizokidhi vigezo? Mamlaka zitazame hili haraka sana

    Wakuu naombeni msaada kuhusu hii wizara ya elimu. Kuna mambo naona hayaendi sawasawa kuhusu hizi shule za chekechea/nursery. Mimi sio mwenyeji sana nimehamia Arusha majuzi tu nikabahatika kupita maeneo ya Sanawari kuanzia Sanawari ya chini mpaka ya juu nimekuta shule za chekechea ni nyingi...
  16. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri TAMISEMI, David Silinde aagiza vipindi vya Dini viwe vya lazima kwenye Shule kupunguza uovu

    Naibu Waziri TAMISEMI, David Silinde ameagiza vipindi vya Dini viwe vya lazima kwenye Shule zote ili kupunguza uovu sababu Wanafunzi wenye hofu ya Mungu hawawezi fanya utovu wa nidhamu kama kuchoma Shule “Atake asitake, ahudhurie hata kama hafanyii Mtihani”
  17. JamiiForums Tanzania Natafuta shule nzuri ya Nursery kwa Mbeya

    Natafuta shule nzuri ya Nursery kwa Mbeya.
  18. A

    JamiiForums Tanzania SoC01 Uboreshaji wa Shule za Upili za Ufundi Tanzania kuleta tija zaidi

    Shule za Upili za Ufundi Tanzania (Technical Secondary Schools in Tanzania) ni shule maalumu zilizoanzishwa kwa dhumuni la kuandaa wataalamu. Zilijidhatiti zaidi kuandaa vijana wenye umri mdogo, mafundi makenika, umeme, useremala, ujenzi, usanifu, ushonaji na ususi. Lengo kuu lilikuwa ni kuandaa...
  19. K

    JamiiForums Tanzania SoC01 Shule maalumu za Sayansi kwa wanawake za Mama Samia Hassan Suluhu

    Kwanza napenda kumshukuru Mwenyezi MUNGU kwa ajili ya Rais wetu mpendwa Mama Samia Hassan Suluhu ambaye ni Rais wa Kwanza Mwanamke katika Taifa letu pendwa Tanzania na Afrika Mashariki. Pili nitoe pongezi zangu za dhati kwa upeo wake mkubwa na nia ya dhati ya kuendeleza nchi yetu pendwa...
  20. JamiiForums Tanzania SoC01 Mateso ya Binti wa Shule yaliyopuuzwa na Jamii

    Katika familia nyingi za kiafrika hasa ndani ya nchi yetu ya Tanzania, kuzaa watoto inachukuliwa kama baraka kubwa sana na hasa watoto hao wakiwa wa jinsia zote mbili, watoto wa wakiume na watoto wakike. Na hata inapotokea familia imepata watoto wote wa jinsia moja, wazazi huiona kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…