shule

  1. Kama ilivyoanzishwa kampeni ya kujenga Shule za kata sasa tuanzishe kampeni ya kupanga miji na maeneo yetu!

    Nilichojifunza hapa Tanzania, ukidhamiria kufanya jambo fulani, ukalipa jitihada za kutosha na fedha , lazima jambo hilo lifanikiwe. Kwenye moja ya sehemu ambayo kwa macho yangu nimeshuhudia hilo ni ujenzi wa madarasa zaidi ya 12,000 tena kwa viwango vizuri sana uliofanyika kipindi hiki cha...
  2. Nyerere ndiye aliyeshauri umri wa kuanza shule uwe miaka 7

    Kwenye kitabu elimu ya kujitegemea Mwalimu Nyerere alitoa hoja nyingi juu ya mustakabali wa elimu yetu. Moja ya hoja yake ulihusu umri wa mwanafunzi kuanza shule. Alisema kuwa kuanza shule na miaka 5 au 6 haifai sababu mtoto anamaliza na miaka 12-13. Umri ambao hawezi kuwa na manufaa yoyote...
  3. M

    Ni muda muafaka sasa kwa shule za serikali kuwa "english medium"kwa sababu...

    1. Tayari sasa ni mwaka wa saba tangu serikali ilipo anza kuanzisha shule za majaribio ili kuona ufanisi wa tija juu ya mabadiliko hayo ambapo hadi sasa mafanikio yameonekana kuwa makubwa zaidi kwa shule zilizo katika majaribio ikilinganishwa na shule za kawaida (zinazo tumia kiswahili) 2. Hadi...
  4. Akili za Viongozi wangu wa Yanga ni za Kiutopolo sana. Yaani mnashangaza, ina maana wote shule hamna?

    Kwa nini tunapambana sana kumfanya Rais aipende Yanga? Tunajipendekeza kwa kiasi kikubwa mpaka wote tunadharaulika sana. Tunaonekana wote ni akina Manara. Toka Manara amekuja yanga tunaona jinsi ambavyo anashawishi mambo yake yaende mbele. Hili wazo amekuwa akilitoa kila mara akijiwekea...
  5. Nataka kuanzisha website au App ya Elimu, iguse wanafunzi shule ya msingi mpaka university

    Wakuu naangaika kupata idea ya kuanzisha digital platform ambayo itakuwa msaada kwa wanafunzi wa ngazi zote kuanzia primary mpaka university. Nataka iwe ya tofauti kidogo isifanane na shule direct, mtabe wala smartclass. Nilikuwa nawaza kuwa na app ya kuuza vitabu ila nikaona bado utamaduni...
  6. Shule za siku hizi hatuendi kutoa ujinga kama zamani

    Ni kwamba ile dhana tuliyoaminishwa kuwa nenda shule ukatoe ujinga. Imepitwa na wakati. Sasa hivi anayeenda shule anaenda kujaza ujinga na kuongeza ujinga kutoka kwa wajinga(walimu)...Na akihitimu...Anarudi mtaani anakuwa mjinga. Na hahitajiki popote...Kwa sababu bado ni mjinga tena...
  7. Naomba kujuzwa ada za Shule ya ST Mary's, Uleta na ST Mary Goleth

    Habari wana jf. Mimi ni mzazi na nategemea mwanangu kuhitimu daresay la 7 mwaka huu hivyo kujiunga na kidato cha kwanza mwakani mwaka 2023. Ningependa kujua makadirio ya Ada katika shule hizi mbili za St. Mary's ile ya ULETE IRINGA na MARY GOLETH YA MOSHI Ahsanteni
  8. Aliyoyasema Rais Samia alipokuwa kwenye ziara maalum katika shule ya Sekondari Benjamin William Mkapa

    ALIYOYASEMA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHESHIMIWA SAMIA SULUHU HASSAN ALIPOKUWA KWENYE ZIARA MAALUM KATIKA SHULE YA SEKONDARI BENJAMIN WILLIAM MKAPA, DAR ES SALAAM. MACHI 7, 2022. Nichukue nafasi hii kuwashukuru uongozi wa Mkoa, Wizara na Shule kwa shughuli ya kunishtukiza...
  9. Tukio la Kuungua Moto shule ya Shauritanga 18 June 1994

    Habari wakuu!, Ni muda sasa umepita tangu nipotee katika majukwaa mbalimbali hapa JF. 18 June 1994, Usiku wa manane, wanafunzi katika shule ya wasichana ya Shauritanga wakiwa wamelala, moto mkubwa ulizuka. Mabinti wale walipiga kelele za kuomba msaada kutoka kwa walinzi hawakufanikiwa hadi...
  10. Mwalimu Mkuu shule ya msingi Mavovo Wilaya ya Mkinga Mkoani Tanga ana tabia mbovu, hafai kuwa mtumishi

    .
  11. Ukraine: Jeshi la Urusi ladaiwa kushambulia Shule Mji wa Kharkiv

    Jeshi la Urusi linadaiwa kushambulia Shule Tatu katika Mji wa Kharkiv. Pia inaripotiwa kuwa Majengo kadhaa ya Makazi ya Watu huko Okhtyrka nayo yameharibiwa kutokana na mashambulizi yanayoendelea Umoja wa Mataifa (UN) umesema tayari Watu zaidi ya Milioni Moja wamekimbia Ukraine, ikiwa ni siku...
  12. Saa 11:20 alfajiri unapishana na schoolbus zenye watoto wa miaka 4

    Imekaaje hii? Saa 11:20 alfajiri unapishana na schoolbus zimebeba wanafunzi wadogo wa miaka 4-6 wakipelekwa mashuleni. Unabaki unajiuliza maswali mengi sana kichwani, Hivi Hawa watoto wameamshwa saa ngapi? Hivi Hawa watoto wameandaliwa kwa MDA gani? Hivi Hawa watoto wamekaa vituoni kusubiria...
  13. Balozi Batilda Buriani: Mtoto aliyeandika Barua ya kuacha Shule, ana akili sana

    "MTOTO ALIYEANDIKA BARUA YA KUACHA SHULE ANA AKILI SANA" RC TABORA "Niliongea na mkuu wa mkoa wa Mtwara baada ya kuona barua ya mtoto aliyetaka kuacha shule, nikamwambia huyu mtoto ana akili sana kwasababu haiwezekani mwanafunzi mtoro aandike barua kama hiyo, nikamwambia mkuu wa mkoa wa Mtwara...
  14. Wenzetu wanajenda Bombshelter ili kujikinga na maadui kipindi cha uvamizi, sisi hata shule za msingi hatuwezi kujenga

    Aibu kubwa sana unakuta Kiongozi wa Ccm ana Shangingi V 8 lakini watoto wanakaa chini na shule haina majengo huku wamevaa Yeboyebo. Huko Ukraine wanajenga mahandaki ya kujificha ili mabomu ya adui yasiwadhuru. Hii ina maana wanatumia pesa ya umma vyema
  15. B

    Uchambuzi: Huruma ya rais Samia imeondoa mateso ya watoto shuleni siku hizi

    UCHAMBUZI- HURUMA YA RAIS SAMIA, ILIVYOONDOA MATESO YA WATOTO SHULE SHIKIZI. Na Bwanku M Bwanku. Leo Ijumaa Februari 25, 2022 kwenye Gazeti la TANZANIA LEO Ukurasa wa 6 nimechambua uamuzi wa Serikali ya Rais Samia kutoa Bilioni 60 kujenga madarasa 3,000 kwenye Vituo Shikizi 970 na kuwaondolea...
  16. Uhaba wa walimu katika shule za msingi hasa vijijini utakuja kutugharimu sana muda si mrefu

    Shule za vijijini ni kawaida kukuta darasa lina watoto 120 mwalimu ni mmoja na hapo hilo darasa imebidi ligawanywe kati kati nusu wanakuja asubuhi na nusu wanakuja mchana kwasababu vyumba vya madarasa havitoshi na walimu pia hakuna. Mapokeo ya watoto ni tofauti, kuna wale wepesi kuelewa...
  17. Rais Samia kuwa mgeni rasmi kwenye ufunguzi wa Chuo cha Uongozi Mwalimu Julius Nyerere

    Wakuu Mama Amesema Hakuna Kupoa Wala Kutulia Chini. . Rais Samia Kesho Jumatano atafungua ujenzi wa Chuo cha Uongozi cha Julius Nyerere kilichopo Kibaha mkoani Pwani. . Viongozi mbalimbali wa chama tawala na Serikali wameshiriki Ufunguzi huo, wakiwemo viongozi mbalimbali wa vyama vya ANC (Afrika...
  18. S

    Nina mpango wa kufungua shule ya chekechea na Primary. Naombeni mawazo tafadhali

    Ndugu zangu, nimepata mawazo ya kufungua shule ya chekechea maeneo ya kiluvya, tuna eneo mimi na mkwe wangu la heka tisa. Tunataka kuanza na chekechea, baadaye tuongeze hadi primary baada ya kuisoma biashara na mwenendo wake. Naomba mwenye uzoefu na biashara hii atuambie changa moto zake...
  19. D

    Shule ya Mafunzo ya Uongozi isitumie jina la Mwalimu Nyerere, bali itambulike kama Shule ya Uongozi (SUT)

    Sikatai kumuenzi Mwalimu nyerere, Lakini hii kasumba ya kumuenzi Mwalimu kwa kuita Majengo jina lake Naona sasa Imepitwa na wakati! Ifahamike Mwalimu hakuwa malaika! Hivyo tunaweza kufanya bora zaidi kutoka pale alipoishia yeye! Kuita Shule ya Mwalimu nyerere, ni kuweka speed gavana kwenye...
  20. Shule ya msingi inalea madereva walevi

    Dereva wa Shule ya msingi jijini dsm amewasababishia majereha watoto baada ya kusababisha ajali. Inasadikiwa mwanaume hUyo alikuwa amelewa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…