shule

  1. JamiiForums Tanzania Wapi wanafanya TOEFL exams kwa Dar es salaam?

    Wakuu naomba mnisaidie ni wapi hapa DSM wanafanya mitihani ya TOEFL kwa ajili ya kwenda US? Kuna jamma yangu ana uhitaji. Thanks
  2. B

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Shule za binafsi zinawafundisha watoto wetu uongo sana

    Ndugu Wazazi kuweni makini sana na watoto wenu wanaosoma shule za binafsi kwa sababu kuna mtoto wa rafiki yangu yupo darasa la nne shule X walikuwa wanafanya mtihani wa darasa la nne WILAYA sasa kuna mwl alikuwa anasimamia hiyo shule na anafahamiana na mzazi wa huyo mtoto wake anayesoma hiyo...
  3. JamiiForums Tanzania Wazazi walalamika Wanafunzi wa shule tatu za Msingi kusomea chini ya miti Kigoma

    Wanafunzi wa Shule za Msingi Muungano, Mvugwe na Kasasa katika Kata ya Makere, Wilayani Kasulu Mkoani Kigoma, wanalazimika kusoma wakiwa wamekaa chini ya miti na wakati mwingine kwenye sakafu kwa kile kinachoelezwa na wazazi wao na viongozi kuwa wamekosa madawati ya kutosha. Hayo yameelezwa na...
  4. JamiiForums Tanzania DC Gondwe: Msaada wako mto Kawe. Watoto awaendi shule

    MH DC SHALOM Tunaomba msaada wako wachimba mchanga mto Kawe wanachimba tope. Watoto wanashindwa kwenda mashulen. Polisi Kawe wameshindwa kutusaidia wanakuja kukusanya pesa kila siku badala ya kuzuia malori Tunaomba tusisubiri kusikia wamekufa watoto tunaomba marufuku kuchimba mto Kawe Wako...
  5. A

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kumaliza shule siyo tiketi ya kuoa ama kuolewa

    "Subiri nimalize shule" imeongeza idadi kubwa ya wasomi ambao wameshindwa kutimiza malengo yao. Wengi hudhani ya kwamba, kuhitimu masomo ndiyo mwanzo wa kuanzisha familia. Wakike kwa waume wanasahau ndoto zao za awali na kukimbilia kuoa ama kuolewa pasipo kutimiza zile ndoto walizokuwa nazo...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Ni mambo gani ya kuzingatia kama nataka kujenga shule ya chekechea?

    Habari wanaJF, Nawaza kujenga shule ya chekechea, sio Dar, ni mkoani, eneo ni la kutosha na sehemu hiyo ni mji ambao unakaribia hadhi ya makao makuu ya wilaya. Je, nizingatie mambo gani muhimu ? Ahsanteni.
  7. JamiiForums Tanzania SoC02 Tuzikumbuke na Shule za Msingi

    Nimekuwa nikijiuliza Kwa Muda mrefu sana kuhusu Hali ya shule zetu za msingi. Serikali yetu imefanya jitihada kubwa sana katika kuhakikisha takribani kila kijiji kinakuwa na shule ya msingi. Jambo ambalo limefanikiwa kwa kiasi kikubwa mno. Lengo la kufanya hivyo lilikuwa ni kuhakikisha kila...
  8. JamiiForums Tanzania CC YA CCM: Hata kama tozo zimejenga vituo vya afya 234 na shule za Sekondari 214 bado wananchi wana hoja, zitazamwe upya

    CCM yatoa maelekezo kwa Serikali kuhusu tozo,Asante CCM kwa kulituliza Taifa, Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi Taifa (CCM) imeielekeza Serikali kuchukua ushauri wa wananchi kuhusu tozo sambamba na kujielekeza katika kubana matumizi ya serikali na kutanua wigo wa kodi...
  9. JamiiForums Tanzania India: Serikali yafunga Shule 34 baada ya Wanafunzi wote kufeli mitihani

    Mamlaka za Jimbo la Assam lililopo Kaskazini-Mashariki mwa Nchi hiyo zimefikia uamuzi wa kufunga shule 34 baada ya Wanafunzi wengi kufanya vibaya katika mitihani na kuwahamishia katika shule nyingine Maelfu ya wanafunzi kutoka shule mbalimbali za Jimbo hilo walifanya mtihani wa Cheti cha...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Mnatuchosha wanasiasa. Mtulipishe tu huo umeme wenu laki 8, Kila kitu tumejenga shule, afya mara barabara. Hizo V8 zenu mbona hamzitaji?

    Viongozi wa serikali Kila gharama serikali inayoingia kuhudumia jamii mnalalamika wakati Kodi mnazichukua kwetu. Kwani mnataka pesa ya serikali mfanyie nini? Mbona kama V8 zenu, maposho na mishahara mikubwa mnayolipana hatulalamiki? Juzi Waziri Afya eti NHIF inapata hasara Hadi kutamani...
  11. JamiiForums Tanzania Korogwe: Mkurugenzi wa Halmashauri adaiwa kuficha milioni 100 za ufadhili wa ujenzi wa shule

    Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Omary Mgumba amempa saa 24 Mkurugenzi wa Halmashauri ya Korogwe Vijijini, Khalfani Magani kujieleza kwa nini asichukuliwe hatua za kinidhamu kwa madai ya kuficha fedha za mfadhili za ujenzi wa shule. Agizo hilo amelitoa jana Alhamisi Septemba Mosi 2022 wakati wa mkutano...
  12. I

    JamiiForums Tanzania SoC02 Shule za kata mkombozi wa wengi, changamoto na maboresho yake

    Na Amour A. Mawalanga Ilikua ni mwaka 2005 kwenye uchaguzi mkuu ndipo sera ya uanzishwaji wake ilipoanza chini ya mzee wa Msoga Rais wa awamu ya nne Jakaya M. Kikwete huku mtendaji wake mkuu wa serikali akiwa Edward N. Lowasa. Mwaka 2006 ndipo utekelezaji ukaanza ambapo kila kata ilitakiwa iwe...
  13. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa shule nzuri ya english medium iliyopo karibu na Mbezi Makabe

    Habari wanajamvi, naomba kujuzwa shule nzuri yenye nafasi ya kuhamia ya english medium iliyopo karibu na mbezi makabe. Ninataka kuwahamishia watoto wangu wawili, darasa la nne mwakani na darasa la pili. pia mdogo wao anatarajia kuanza chekechea ya watoto. Iwe na matokeo mazuri na malezi...
  14. JamiiForums Tanzania Mhasibu afungwa miaka 76 kwa kufoji risiti na kujipatia tsh. mil. 97

    Bernald Mnyilenda aliyekuwa Mhasibu wa Shule ya Southern Highlands amehukumiwa kifungo hicho baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Iringa kumkuta na hatia ya kutumia kitabu ghushi cha Risiti na kupokea ada kiasi cha Tsh. milioni 97. Mahakama hiyo imemkuta na makosa 22 baada ya kusikiliza...
  15. JamiiForums Tanzania SoC02 Salama ya mabinti shule za sekondari katika ‘punjabi’

    Kuna changamoto kadhaa katika mavazi ya wanafunzi wa shule za msingi na sekondari. Changamoto hizi huathiri matendo ya ufundishaji na ujifunzaji hali kadhalika mielekeo ya wanafunzi kwa namna fulani. Katika kujadili hili, nitajikita katika mavazi ya wanafunzi wa kike wa sekondari kwa sababu...
  16. JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba inapangishwa Tabata Shule laki mbili kwa mwezi

    Nyumba inapangishwa Tabata shule. Nyumba ipo ndani ya fensi ina vyumba viwili vya kulala, sebule, jiko, choo cha ndani, maji ya bomba. Kodi laki mbili kwa mwezi Call me 0747744895 Mnakaribishwa.
  17. Z

    JamiiForums Tanzania SoC02 Jamii inampokeaje mtoto wa kike aliyepata ujauzito akiwa shule?

    Jamii nyingi zimekuwa zikiwatenga sana watoto wa like ambao wanabeba mimba wakiwa shule, wengi wao hawapati ushirikiana wankutosha kwa jamii zinazowazunguka, wahanga wengi wa tatizo hili huishia tu kuwa na msongo wa mawazo na kujiona ndio wameshafeli kwenye maisha. Serikali imewaruhusu watoto...
  18. JamiiForums Tanzania Wajapan kujenga shule ya uhandisi wa tiba jijini Dodoma

    Kampuni ya Japan ya Association of African Economic Development (AFRECO) imeonesha nia ya kujenga chuo cha uhandisi wa tiba (School of Medical Engineering) kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ili kupunguza tatizo la wataalamu wa tiba na vifaatiba nchini. Rais wa kampuni hiyo, Bwn...
  19. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Utoaji wa elimu kwa watoto wanao anza shule kwa maeneo ya vijijini

    Imekuwa changamoto kubwa sana kwa watoto wanao anza awali au darasa la kwanza kwa maeneo ya vijijini na hususa ni kwenye makabila yanayo dumisha zaidi Lugha mama kuliko kiswahili. Kuna kuwa na kazi kubwa ya kumtoa mtoto kutoka lugha yake mama kwenda Kiswahili kisha kumleta katika Kingereza hapo...
  20. JamiiForums Tanzania Shule aliyopelekwa Polepole ilimfundisha jinsi ya kucheka kama Balozi?

    Ninaweza nisieleweke, ila kimsingi tangu Mh. Polepole ateuliwe na aripoti ubalozini nchini Malawi Kuna jinsi anacheka kwa kweli, mpaka ukimwona kwenye picha unashindwa kuelewa mbona anacheka kicheko cha hela yote? Saa nyingine picha anazotupia kwenye mtandao hazioneshi content ya kumfanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…