shule

  1. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Malalamiko dhidi ya Mkuu wa Shule ya Sekondari Kwalakamu kuhusu tuhuma za ukiukwaji wa taratibu za uongozi

    Mimi ni mdau wa elimu na ninaomba utambulisho wangu ubaki kuwa siri kwa sababu za usalama. Naomba mamlaka husika zifanye uchunguzi wa kina kuhusu mwenendo wa Mkuu wa shule huyu kutokana na tuhuma zifuatazo: Matumizi mabaya ya fedha za umma: Inadaiwa hutumia fedha za shule bila idhini ya vikao...
  2. JamiiForums Tanzania Miaka kumi ijayo shule zilizopo Sasa bado zitakuwa na maana?

    Haya mambo ya kupeleka watu kukaa darasani miaka kwa miaka kujifunza nadharia mbalimbali miaka kumi ijayo bado yatakuwa na maana? Naona maendeleo ya teknolojia yataondoa vikwazo vingi kwa watu kujifunza nadharia kadhaa bila ya kuhitaji kukaa darasani. Marekani baadhi ya shule na vyuo...
  3. JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi ya Ualimu Shule ya Ellen White

    Shule hii imetangaza zaidi ya nafasi 28 za walimu. Shule inapatikana Dodoma na yeyote anaweza akaomba. Maelekezo Zaidi juu ya namna ya kuomba na Taratibu zao Soma Hapa. Kitu cha tofuati kuhusu shule hii ni kwamba, inakwenda na wakati, mfumo wake wa maombi ya kazi ni kama ule wa ajira portal...
  4. JamiiForums Tanzania 📚 Vitabu, vitini na mitihani ya shule za msingi vinapatikana 📚

    📚 VITABU, VITINI NA MITIHANI YA SHULE ZA MSINGI VINAPATIKANA 📚 Je, wewe ni mzazi, mlezi, mwalimu au unamiliki shule ya msingi? Tunatoa vitabu na vifaa mbalimbali vya kujifunzia kwa Shule za Msingi za Swahili Medium na English Medium, kwa madarasa yote kuanzia Awali hadi Darasa la VII...
  5. JamiiForums Tanzania Unafikiri kwa nini Mabeberu hayapigi vita maendeleo ya Makanisa na shule katika nchi maskini?

    Habari za Jumapili. Kwa uelewa wangu huu ninaamini kabisa Wazungu, mabeberu kamwe hawataruhusu nchi walizozitawala ikiwemo Tanzania ifanye Jambo ambalo litaiinua nchi, kuiendeleza, ikiwezekana kuwapita wap. Mtibeli naamini, Ukiona Mzungu hakuzuii kufanya Jambo Fulani linalokufanya uendelee...
  6. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Je, ni Serikali imeshindwa kugharamia kikamilifu utekelezaji wa sera ya elimu bila ada?

    Tafsiri halisi ya malipo haya ni ipi? Je, ni kwamba Serikali imeshindwa kugharamia kikamilifu utekelezaji wa sera ya elimu bila ada, au shule zimebaini kuwa fedha zinazotolewa hazitoshelezi mahitaji ya uendeshaji na utoaji wa elimu bora, hivyo zimelazimika kutafuta njia mbadala za kuziba pengo...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini waluguru hawapendi shule?

    Naomba mnisaidie hilo swali langu wadau.
  8. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mamlaka za Elimu Kigamboni zinaombwa kuchunguza shule hii na kuchukua hatua

    Takriban mwezi mmoja uliopita, katika jukwaa hili kuliripotiwa malalamiko ya wadau wa elimu wa Wilaya ya Kigamboni Mkoa wa Dar es Salaam, wakiwalalamikia wamiliki wa shule ya sekondari ya wasichana ya 'Competence' Girls' Islamic Seminary, kuwa wameweka Mkuu wa Shule anayetuhumiwa kwa vitendo vya...
  9. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mpimbwe, Katavi kijiji cha Mwamapuli kuna geti linalokusanya ushuru wa mazao bila utatatibu

    Kuna malalamiko kutoka Kijiji cha Mwamapuli, Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe mkoani Katavi, kuhusu geti linalodaiwa kukusanya ushuru wa mazao kinyume na taratibu. Kwa mujibu wa wanaotoa taarifa hizi, geti hilo halifanyi kazi mchana, bali huanza shughuli zake kuanzia jioni hadi usiku. Inadaiwa...
  10. JamiiForums Tanzania Changamoto za Msingi Zinazohitaji Kufanyiwa Kazi Haraka katika Shule ya Wasichana Jokate Mwegelo Sekondari, Kisarawe

    Shule ya Jokate Mwegelo Girls Sekondari iliyopo Kisarawe ni miongoni mwa shule zinazofanya vizuri kitaaluma, jambo linalotokana na juhudi na kujituma kwa walimu pamoja na wanafunzi wake. Hata hivyo, shule inakabiliwa na changamoto kadhaa za msingi zinazohitaji kushughulikiwa ili kuimarisha...
  11. JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe: Milioni 10 itatumika kuboresha madarasa ya Shule ya Msingi Kibisi

    Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya imetoa ufafanuzi kuhusu uchakavu wa madarasa ya Shule ya Msingi Kibisi iliyopo Kata ya Kyimo kwa kueleza kuwa kuna kiasi cha Tsh. Milioni 10 kimetengwa kwaajili ya maboresho. Hatua hiyo inakuja baada ya Mwananchi kuhoji kupitia JamiiForums.com kuwa...
  12. JamiiForums Tanzania Maono ya kuanzisha na kumiliki shule ya Awali na Msingi

    Habari, Kwa muda sasa tangu nimehitimu chuo Kikuu nimekuwa na ndoto ya kuanzisha na kumiliki shule ya Awali na Msingi japo kuwa tangu nimalize chuo mwaka 2018 sijafanikiwa kupata ajira hivyo nimekuwa nikijiajiri mwenyewe kupitia kituo Cha Masomo ya ziada ( Tuition Center) na Chekechea. Je Kuna...
  13. JamiiForums Tanzania Sasa shule zimefungwa, tutegemee kuona mengi humu

    Mwenye kuishikilia roho yake mkononi na aishikilie, kwa maana tunajua vile wanafunzi hufanya humu kipindi cha holiday. Nasanzuka 😎.
  14. JamiiForums Tanzania Shule inauzwa,ipo Mbagala bei Tsh 28 bilioni

    SCHOOL FOR SALE or RENT as YARD/ SHULE INAUZWA. IPO MBAGALA-TEMEKE Eka 80 Fully fenced Linagusa lami Full DOCUMENTS/ HATI kamili Panafaa Parking ya malori Kiwanda Hospitali BEI/ PRICE NI TSH 28b/ 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717 #tiles #realestate #school #houseforsale #property
  15. JamiiForums Tanzania Kama shule inafundisha vizuri, kwanini wakati wa kusajili inachukua wanafunzi waliopata A na B badala ya D na F?

    Hamjambo! Nimekuta mjadala sehemu. Shule inajivunia mazingira mazuri, waalimu mahiri, na zana bora za ujifunzaji na kufundishia. Huku ikijigamba inauwezo wa kufaulisha. Swali linakuja, kama kweli shule inasifa hizo. Kwa nini Kigezo kikuu cha mwanafunzi anayejiunga shule hizo sharti afaulu...
  16. JamiiForums Tanzania Je, Ni Sahihi Watoto wa Darasa la Kwanza Kulazimishwa Kwenda Shule Kipindi cha Likizo?

    Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na tabia inayozidi kuonekana katika baadhi ya shule binafsi hapa Dar es Salaam ambapo wanafunzi, hata wale wa Darasa la Kwanza wenye umri wa miaka sita au saba, hulazimishwa kuhudhuria masomo ya ziada wakati wa likizo. Hali hii inazua swali muhimu: Je...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Kwa shule na vyuo binafsi, je umeandaa na kuwasilisha taarifa zako za fedha zilizokaguliwa za mwaka 2025 kwenda TRA?

    Kama umekuwa ukivutana na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) sababu ya kodi inayotokana na uandaaji wa hesabu za shule au chuo chako…Basi soma mpaka mwisho… UKWELI USIOPINGIKA…Zipo shule pamoja na vyuo mbalimbali hadi leo hii wamelemewa na madeni makubwa yatokanayo na kodi kutoka TRA. Hili siyo...
  18. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Serikali Iingilie Kati Mishahara Shule Binafsi

    Naomba SERIKALI ifuatilie maagizo kuhusu MSHAHARA KIMA CHA CHINI Kwa TAASISI binafsi hasa Kwa shule mbali mbali MFANO shule ya mchungaji mwema sec iliyoko NGARA KAGERA inalipa Watumishi TSH. 150000 badala ya 350000 Soma Pia Wafanyakazi kwenye Kampuni Binafsi tunapata shida sana kulipwa stahiki zetu
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini walimu wenye Shahada za elimu katika masomo ya sanaa wasiajiriwe shule za msingi ili kupunguza idadi ya wahitimu wa fani hizo mitaani?

    Huu ni mjadala huru : Wahitimu wa taaluma ya elimu katika masomo ya sanaa nchini Tanzania wanapitia kwenye kaa la moto kwa muda mrefu sasa, watu wamesota miaka zaidi ya kumi lakini hakuna anayehisi maumivu yao. Serikali na mamlaka tatizo si kulimaliza bali hata kulipunguza haijatoa mwelekeo...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kigamboni Dar: Wazazi waendelea kumsihi mmliki wa shule kumuondoa Mwalimu Mkuu anayeelezwa kuwa na historia ya maadili mabovu

    Wadau, wakiwemo baadhi ya wazazi wa wanafunzi katika shule ya sekondari ya wasichana ya 'Competence Girls' Islamic Seminary ' iliyopo Wilaya ya Kigamboni, Mkoa wa Dar es Salaam wameendelea kutoa wito kwa mmliki wa shule hiyo kumuondoa mwalimu mkuu aliyeteuliwa hivi karibuni, kwa madai ya kwamba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…