📚 Vitabu, vitini na mitihani ya shule za msingi vinapatikana 📚

📚 Vitabu, vitini na mitihani ya shule za msingi vinapatikana 📚

Acehood

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,700
Reaction score
2,904
📚 VITABU, VITINI NA MITIHANI YA SHULE ZA MSINGI VINAPATIKANA 📚

Je, wewe ni mzazi, mlezi, mwalimu au unamiliki shule ya msingi?

Tunatoa vitabu na vifaa mbalimbali vya kujifunzia kwa Shule za Msingi za Swahili Medium na English Medium, kwa madarasa yote kuanzia Awali hadi Darasa la VII.

Tunapatikana na:

  • Vitabu vidogo vya masomo yote
  • Vitini vya mazoezi na marudio
  • Mitihani ya kila mwezi, muhula na mwaka
  • Mock Examinations
  • Past Papers zenye majibu
  • Assessment na Worksheets
  • Vifaa vingine vya kujifunzia vya elimu ya msingi

✅ Bei nafuu
✅ Vifaa vyenye ubora na vinavyoendana na mtaala wa Tanzania
✅ Huduma kwa shule binafsi, serikali, walimu, wazazi na wanafunzi

Kwa maelezo zaidi au kufanya oda, wasiliana nasi kupitia uzi huu.

Karibu upate vifaa bora vya kujifunzia vinavyochangia kuongeza ufaulu wa wanafunzi.

NB: Uwanja wa meseji upo wazi muda wote.
 
Back
Top Bottom