Kwanini waluguru hawapendi shule?

Kwanini waluguru hawapendi shule?

Shida sio waluguru wala kabila fulani, bali shida kuu ni kung"ang'ania UTAMADUNI WA MWAFRIKA.

Elimu (shule), dini, utawala - demokrasia n.k, ni utamaduni mpya.

Kuna maeneo mpaka sasa wazee ndio huamua mwenyekiti wa kijiji, mbunge, mtendaji wa kijiji. Yaani kabla ya mtu kutabgaza nia ya ubunge huenda kwanza kuomba ridhaa kwa aaraza la 'wazee'

Kwa jamii iliyochukua muda mrefu pasipo kufungamana na jamii nyingine mambo hayo ya magharibi hayakubaliki vyema. Huko uchawi ndio habari ya siku

Maeneo ya vijijini - pembezoni, maeneo hayakukaliwa na wazungu -utanaduni WA wazungu haukuota mizizi na kustawi, mambo hayo ni mapya na mzigo.
 
Àisee nawagogo tena....!?

jaah wagogo au wakaguru?

jaah njoo huku matombo ndizi tu tunapata pesa shule ya nini?
jaah nguruwe tunafugia kilosa
Viwanda vya molases k1, k2 na mtibwa vinafanya gongo iuzwe bei rahisi kuliko soda

jaah shamba la bhange lipo lukobe mwezi ujao tunavuna shule ya nini? Pesa itakuja tu

msimu wa mvua umeisha sasa ni mavuno na kuchoma tofali jaah karibu tubuyu uje uone SGR

Wasomi watatoka mjini huku bush elimu ya nini?

dah watani zangu waluguru
 
Mkuu nimecheka sana na inaelekea unapajua vema Morogoro.
 
Back
Top Bottom