shule

  1. ngara23

    JamiiForums Tanzania Sheria gani ya shule ambayo ilikuwa lazima uivunje

    Shule tulizosoma zilikuwa na sheria na kanuni zake Binafsi shule niliyosoma pamoja nilikuwa mwanafunzi mtiifu ila sheria zifuatazo zilinishinda 1. Kufika shule siku ya kufungua shule Hapa ilikuwa lazima nivute nifike baada ya wiki 1 au 2 2. Kutochomekea shati Hapa hata ungeniua nisingeweza...
  2. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Kada wa CCM Deo Mushi ashinda vita dhidi ya tajiri mtoto wa Ndesamburo uporaji shamba la shule ya msingi Wereni,apewa siku 14 kusalimisha hati feki

    DEo Mushi kada wa Chama cha mapinduzi(CCM)ameshinda vita kubwa dhidi ya tajiri mtoto wa mwanasiasa mkongwe(marehemu)Philemon Ndesamburo aitwaye Thomas Philemon Kiwelu ambaye amekuwa katika jitihada za siku nyingi za kupora eneo la shule ya msingi Wereni iliyopo kata ya Kibosho Magharibi wilaya...
  3. Mkoba wa Mama

    JamiiForums Tanzania Badala ya elimu bure, serikali igharamie chakula cha mchana kwa shule zote za sekondari za kutwa na shule za msingi

    Suala la lishe ni muhimu sana, lakini naona mpango wa chakula cha mchana kutolewa kwa wanafunzi inaendelea kubaki kuwa changamoto. Mtoto anatoka nyumbani saa 12/1 asubuhi anarudi saa 10/11 jioni ndio anapata chakula cha mchana, kwa tafsiri ya haraka haraka ni kwamba; watoto wa shule huwa wako...
  4. BigTall

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wanafunzi Shule ya Misingi Kitonga (Dar) wanaenda na viroba shuleni kwa ajili ya kukalia kama mbadala wa dawati

    Kutokana na uhaba wa madarasa pamoja na madawati, Wanafunzi Shule ya Misingi Kitonga iliyopo katika Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam (Ilala) wamekuwa wakilazimika kwenda na viroba shuleni kwa ajili ya kukalia. Kuna kipindi 'member' mmoja alileta uzi hapa jukwaani kuhusu miundombinu ya Shule...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge: Ukaguzi ufanyike Shule ya Wasichana Morogoro, ujenzi hauendani na Tsh. 700M zilizotolewa

    Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), Halima Mdee imeielekeza Ofisi ya mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) kufanya ukaguzi maalum katika mradi wa ujenzi wa shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mkoa mkoa wa Morogoro. Mdee ameyasema hayo mara baada ya ziara ya...
  6. Amani Girls Organization

    JamiiForums Tanzania BUSTANI ZA SHULE: MBEGU ZA LEO, ZAO LA KESHO

    Waswahili wanasema, “Ukiona vyaelea, vimeundwa.” Hivyo ndivyo, wanafunzi wa shule ya msingi ya Mnane na Kikio, Mkoani Singida wanavyoandaliwa mazingira mazuri ya kujifunza kuhusu kilimo na lishe bora. Shirika la Amani Girls (AGO) kwa kushirikiana na walimu wa mazingira na wanafunzi wa shule ya...
  7. Bunchari

    JamiiForums Tanzania Nini tafsiri ya ndoto ya kurudi shule

    Habari wakuu Kuota ndoto upo shuleni unazunguka eneo la shule pasipokuingia darasani huku unapishana na makundi ya wanafunzi wameondolewa madarasani kwa kukosa hada wamejitenga pembeni wanajisomea wakati eneo lote la shule likiwa na ulinzi mkali wa askari. Hii ndoto inamaana gani??? N:B Hali...
  8. G-love

    JamiiForums Tanzania Majengo yanauzwa Tabata

    MAJENGO Bei Tsh 1.3 B
  9. Maganjila tz

    JamiiForums Tanzania Waalimu hawataki kufundisha shule za vijijini

    nini kifanyike na shule za vijijini zipate waalimu wa kutosha kama za mijini?
  10. Mkoba wa Mama

    JamiiForums Tanzania SHULE NA WANAFUNZI BORA WATAMBULIWE NA WATANGAZWE

    Anayefanya vizuri lazima apongezwe na atambuliwe, haiwezekani mtoto amefanya vizuri mpaka kufikia kuwa Tanzania One lakini hatambuliwi na kupewa heshima yake, vilevile kwa shule zinazofanya vizuri zaidi. Kama kuna kasoro na mapungufu, mamlaka husika ziyafanyie kazi na sio kuondoa utaratibu wa...
  11. excel

    JamiiForums Tanzania Nauza Kiwanja: Ubungo Kibamba Shule

    wazee na Vijana wa JF Nauza kiwanja kiko Kibamba shule 👉 Ibwegere size mita 20 kwa 20 Kutoka kibamba shule hadi Site ni 1,500 Tsh kwa Boda Bei elekezi 4,000,000 Tsh Simu ziite 0744-033-555
  12. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kagera: Wanafunzi wa Kidato cha Tano na Sita wamshukuru Rais Samia kutenga bilioni nne ujenzi shule ya wasichana

    Wakuu uchawa unapandikizwa kwa nguvu mpaka kwa wanafunzi, hizi kauli za mitano tena kwa hawa watoto na za kumezeshwa na watu wasiojitambua. ==== Wanafunzi wa Kidato cha Tano na Sita katika Shule za Sekondari za Kagera River na Kituntu Sekondari zilizopo katika Wilaya ya Karagwe, mkoani Kagera...
  13. Damaso

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Japani watoa dola 140,103 kwa ajili ya kujenga jengo la darasa katika shule ya Wasichana Sakura jijini Arusha

    Ubalozi wa Japan ulifanya hafla ya utiaji saini Mradi wa Ujenzi wa Kitalu cha Darasa la Kiwango cha Juu katika Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Sakura iliyopo Wilaya ya Arusha, Mkoa wa Arusha. Serikali ya Japani ilikubali kuongeza msaada wa ruzuku hadi kufikia Dola za Marekani 140,103 kwa...
  14. G

    JamiiForums Tanzania SHULE ZA MSINGI ZAIDI YA 468 ZIMEJENGWA TANGU RAIS SAMIA ALIPOINGIA MADARAKANI

    Tangu kuingia madarakani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan mwaka 2021, shule za msingi mpya zaidi ya 468 zimejengwa huku vyumba vya madarasa zaidi ya 15,000 vipya vya msingi na Sekondari vimejengwa, lakini kama haitoshi kumejengwa shule za awali 1,600 ambazo...
  15. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Mnakumbuka umaarufu wa shule za St Mary's?

    Miaka hio ya 2000s hadi 2010s Zilikuwa shule flani za kishua na ndoto ya kila mtoto kwenda Kuna wakati walisema ni za yule mama Lwakatare Sijui zimeishia wapi siku hizi?
  16. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Rungwe Mkoani Mbeya tupieni jicho Shule ya Msingi Kibisi, hii miundombinu sio rafiki

    Shule ya Msingi Kibisi iliyopo Wilayani Rungwe Mkoani Mbeya haipo katika hali ya kuridhisha kutokana na baadhi ya majengo yake yanayotumiwa na Wanafunzi kuwa chakavu sana. Nimepita katika shule hiyo mara kadhaa na nimekuwa nikiumia sana kuona hali hii, nashauri Serikali ifanye maboresho kabla...
  17. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge wa Geita Mjini, Constantine Kanyasu, atoa msaada wa kumpyuta zenye thamani ya milioni 9 Shule ya Sekondari Ihanamilo

    Mbunge Kanyasu Akabidhi Kompyuta zenye thamani ya Tsh Mil 9. Geita - Mbunge wa Jimbo la Geita Mjini, Constantine Kanyasu, ametekeleza ahadi yake kwa uongozi wa Shule ya Sekondari Ihanamilo kwa kukabidhi kompyuta tano zenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni tisa. Akizungumza wakati wa...
  18. Ritz

    JamiiForums Tanzania Trump anatishia kusitisha ufadhili kwa vyuo, shule au chuo kikuu kinachoruhusu "maandamano ya Palestina

    Wanaukumbi. ⚡️🇺🇸IRais wa Marekani Trump anatishia kusitisha ufadhili kwa vyuo, shule au chuo kikuu kinachoruhusu "maandamano haramu" Haya yanajiri baada ya maandamano ya chuo kikuu yaliyokuwa yakitetea Wapalestina na Wazayuni wakidai kuwa maandamano haya ni "chukizo". Swali hapa ni: Je, ana...
  19. upupu255

    JamiiForums Tanzania Wazazi na Walezi Mtwara wajitolea kuchimba Msingi kwa Ujenzi wa uzio Shule ya Sekondari Chuno

    Wazazi na walezi katika Manispaa ya Mtwara Mikindani Mkoani Mtwara wamehamasika kujitolea kuchimba msingi katika ujenzi wa uzio shule ya sekondari chuno ili kudhibiti wanafunzi kuingia na kutoka shuleni kiholela. Kukamilika kwa uzio katika shule hiyo ya Sekondari Chuno kutasaidia wanafunzi...
  20. Just Pray

    JamiiForums Tanzania RC Shinyanga, Anamringi Macha aweka jiwe la msingi Shule mpya ya sekondari Bumva, Kata ya Segese

    MKUU wa Mkoa wa Shinyanga, Anamringi Macha ameweka jiwe la msingi Shule mpya ya sekondari Bumva, Kijiji cha Bumva Kata ya Segese Halmshauri ya Wilaya ya Msalala iliyojengwa kwa gharama ya Sh. Milioni 603,890,563/=. Shule hiyo inatarajiwa kupokea wanafunzi zaidi ya 100 kutoka shule za sekondari...
Back
Top Bottom