shule

  1. seroh star

    JamiiForums Tanzania Kuna ndugu angu amemaliza form 4 shule za technical na amefaulu vzr ila anataka chuo je asomee kozi gani yenye soko kwa upande wa technical?

    Huyo ndugu yangu kafaulu vzr kidato cha nne akiwa na B kwenye masomo yake ya ufundi kasomea electronics and communication engineering(B) , engineering science (B) na masomo yote ya science ana A Swala la A level hataki kusikia na kama ijulikanavyo tamisemi wamefungua dirisha la kubadilisha...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Shule ya Msingi Lomakaa Wilaya ya Siha Hatarini Kufungwa

    Dunia iko katika karne ya 21 ambapo maendeleo ya sayansi na Teknolojia kwa sasa yanapewa nafasi kubwa katika kuchagiza maendeleo ya Nchi mbalibali duniani. Tunatambua juhudi kubwa zinazofanywa na Serikali ya awamu ya sita Chini ya Mhe. Rais Dr. Samia Suluhu Hassan katika kuboresha huduma za...
  3. 05CUBA

    JamiiForums Tanzania just for fun: Ni kitu gani ulifanya ukiwa shule ukikikumbuka hadi leo unacheka peke ako?

    Sio Kila mtu ana kumbukumbu nzuri za utoto wake. Wengine tumepitia life gum Sana utotoni. lakini hata hivyo hatukosi Jambo la kutufurahisha Kila tukumbukapo maisha ya utoto tukiwa shule. Jambo linalonifurahisha nikiwa Mdogo ni pale nilipo mpiga mwalim Kofi kiganjani pake nilipohisi kanichapa...
  4. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara acheni tamaa ya uchumi wa fremu na uchuuzi kila mahali

    Tamaa za Wafanyabiashara kufikiria kila mahali Panamanian kuwa na fremu na kufanyia uchuuzi ni janga kwa taifa hili na ndio imesababisha hata Dar es Salaam kukosa open spaces za umma. Shule sio kitu cha kupunguzwa bali kuongezwa kila mahali, ni bora mngependekeza makanisa na misikiti kupunguzwa...
  5. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Hivi serikali unapesa za kuchezea imewahamisha watu misugusugu shule kwa kutumia mabilion halafu wamepaacha wazi

    Katika vitu ambavyo najiuliza hivi kumbe serikali yetu inapesa za kutosha hapa misugusugu shule ya msingi wamewahamisha watu na kuwalipa mabilioni ya pesa Kwa kigezo eti wanataka kujenga mradi wa maegesho ya magari ila mpaka Leo kimya wamepaacha wazi tu sijui inasemekana Kuna wajanja wenye...
  6. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Shule 868 zimekarabatiwa

    SHULE 868 ZIMEKARABATIWA Shule 868 zimekarabatiwa zikiwemo za msingi 794 na za sekondari 74 na kuweka mazingira mazuri ya wanafunzi kujipatia elimu. Serikali imeendelea kujenga na kukarabati miundombinu ya elimu pamoja na kuhifadhi na kuendeleza mazingira ya shule hizo kama ilivyoelekezwa...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Familia yadai ndugu yao kauawa mikononi mwa Askari katika Kituo cha Polisi Tabata Shule

    Mnamo Tarehe 6 Aprili 2025, kijana mwenye umri wa miaka 29, Nestory Raphael Majembe, aliripotiwa kukamatwa na kupelekwa katika kituo cha polisi Tabata Shule kwa tuhuma za wizi wa simu. Saa chache baadaye, familia yake ilipokea taarifa ya kifo chake ndani ya kituo hicho, hali iliyoibua maswali...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Shule ya sekondari ya waislamu, Yombo Islamic imegeuzwa Yadi ya kupaki malori, Bakwata inafeli wapi? Wafadhili wa kujenga misikiti wasaidie shule pia

    habari wadau, miaka ya 1980s mwishoni katika kata ya Yombo vituka iliyopo wilaya ya temeke vilipimwa viwanja vingi sana, ambavyo wananchi walipewa na kuuziwa na manispaa ya temeke. katika viwanja hivyo waislamu walipewa eneo kubwa la kujenga shule. Wakatoliki na wao walipewa eneo kubwa la...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Tupate shule kidogo: What is sedition, how can you prove it in a court of law?

    c&p SEDITION What do you understand by sedition? Critically comment on the way the courts have interpreted the Section 124(A) of the penal code. (India) Sedition is about when a person's speech,behaviour, language, written words attracts the group of people or a mob acts rebellion against...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa chakula katika shule za awali.

    SHULE ya awali ni kituo cha kuwalelea au kuwasomesha watoto wadogo ambao hawajaanza elimu ya msingi (darasa la kwanza)na kwa sasa serikali imeagiza kwa shule zote za msingi zinazomilikiwa na serikali zimetakiwa kuwa na madarasa ya wanafunzi wa Awali. Na kwa msingi huo hata miundo mipya ya idara...
  11. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Nitazishtaki shule za miaka hii ya 90 kwa Unyanyasaji huu mkubwa waliotufanyia

    Miaka ile ya 90 shuleni ilikuwa walimu wakiona tunasimamisha sana minara usiku gizani wala hawahangaiki nasi. Kesho yake utakuta chakula cha mchana kinanuka mafuta ya taa. Jioni kinanuka mafuta ya taa. Wapishi wanafanya uzembe wanamwagia mafuta ya taa kwenye maharage. Utaenda kushtaki hakuna...
  12. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Shule za Baobab mnatukosea sana Wazazi, tumewavumilia sasa mmevuka mipaka komesheni huu uhuni.

    Jana jumamosi tarehe 5 ilikuwa ni graduation kwa wanafunzi wa form Six Baobab high school Bagamoyo. Kuna tatizo Sugu kuhusu huduma ya vyakula siku ya visiting day au mahafali huruhusiwi kwenda na chakula chako au bites zozote kutoka nje, ili swala tumelijadili muda mrefu kwenye vikao rasmi...
  13. ngara23

    JamiiForums Tanzania Sheria gani ya shule ambayo ilikuwa lazima uivunje

    Shule tulizosoma zilikuwa na sheria na kanuni zake Binafsi shule niliyosoma pamoja nilikuwa mwanafunzi mtiifu ila sheria zifuatazo zilinishinda 1. Kufika shule siku ya kufungua shule Hapa ilikuwa lazima nivute nifike baada ya wiki 1 au 2 2. Kutochomekea shati Hapa hata ungeniua nisingeweza...
  14. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Kada wa CCM Deo Mushi ashinda vita dhidi ya tajiri mtoto wa Ndesamburo uporaji shamba la shule ya msingi Wereni,apewa siku 14 kusalimisha hati feki

    DEo Mushi kada wa Chama cha mapinduzi(CCM)ameshinda vita kubwa dhidi ya tajiri mtoto wa mwanasiasa mkongwe(marehemu)Philemon Ndesamburo aitwaye Thomas Philemon Kiwelu ambaye amekuwa katika jitihada za siku nyingi za kupora eneo la shule ya msingi Wereni iliyopo kata ya Kibosho Magharibi wilaya...
  15. Mkoba wa Mama

    JamiiForums Tanzania Badala ya elimu bure, serikali igharamie chakula cha mchana kwa shule zote za sekondari za kutwa na shule za msingi

    Suala la lishe ni muhimu sana, lakini naona mpango wa chakula cha mchana kutolewa kwa wanafunzi inaendelea kubaki kuwa changamoto. Mtoto anatoka nyumbani saa 12/1 asubuhi anarudi saa 10/11 jioni ndio anapata chakula cha mchana, kwa tafsiri ya haraka haraka ni kwamba; watoto wa shule huwa wako...
  16. BigTall

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wanafunzi Shule ya Misingi Kitonga (Dar) wanaenda na viroba shuleni kwa ajili ya kukalia kama mbadala wa dawati

    Kutokana na uhaba wa madarasa pamoja na madawati, Wanafunzi Shule ya Misingi Kitonga iliyopo katika Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam (Ilala) wamekuwa wakilazimika kwenda na viroba shuleni kwa ajili ya kukalia. Kuna kipindi 'member' mmoja alileta uzi hapa jukwaani kuhusu miundombinu ya Shule...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge: Ukaguzi ufanyike Shule ya Wasichana Morogoro, ujenzi hauendani na Tsh. 700M zilizotolewa

    Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), Halima Mdee imeielekeza Ofisi ya mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) kufanya ukaguzi maalum katika mradi wa ujenzi wa shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mkoa mkoa wa Morogoro. Mdee ameyasema hayo mara baada ya ziara ya...
  18. Amani Girls Organization

    JamiiForums Tanzania BUSTANI ZA SHULE: MBEGU ZA LEO, ZAO LA KESHO

    Waswahili wanasema, “Ukiona vyaelea, vimeundwa.” Hivyo ndivyo, wanafunzi wa shule ya msingi ya Mnane na Kikio, Mkoani Singida wanavyoandaliwa mazingira mazuri ya kujifunza kuhusu kilimo na lishe bora. Shirika la Amani Girls (AGO) kwa kushirikiana na walimu wa mazingira na wanafunzi wa shule ya...
  19. Bunchari

    JamiiForums Tanzania Nini tafsiri ya ndoto ya kurudi shule

    Habari wakuu Kuota ndoto upo shuleni unazunguka eneo la shule pasipokuingia darasani huku unapishana na makundi ya wanafunzi wameondolewa madarasani kwa kukosa hada wamejitenga pembeni wanajisomea wakati eneo lote la shule likiwa na ulinzi mkali wa askari. Hii ndoto inamaana gani??? N:B Hali...
  20. G-love

    JamiiForums Tanzania Majengo yanauzwa Tabata

    MAJENGO Bei Tsh 1.3 B
Back
Top Bottom