Eneo la shule kuwekwa maduka

Eneo la shule kuwekwa maduka

greater than

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2018
Posts
1,764
Reaction score
3,228
Mimi ni Mkazi wa Pugu,Ninapokuwa njiani kuelekea kazini/Mjini nilikuwa nikishuhudia kuvunjwa kwa sehemu ya uzio wa shule na ujenzi wa frame za maduka....
Hiyo shule ni ya elimu ya Msingi Pugu Kajiungeni.
1. Je,hili suala ni linaruhusiwa...
2. Kama ni sawa ,mfumo wa uksanyaji pango na faida yake, kisheria unakuwa chini ya taasisi gani?
20260816_092257.jpg
 
Maeneo mengi yana fremu nyingi mno kuliko mahitaji, hivyo nyingi hubaki bila kutumika kwa miaka. Huku ni kuzika mitaji!
 
Back
Top Bottom