Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 63,621
- 107,636
Nimeshangaa sana kuna shule za mjini mpaka miaka hii wanafunzi bado wanapeleka kuni za kupikia na wanafanyishwa kazi za kufagia mavumbi asubuhi shuleni.
Shule ya msingi niliyosoma ilikuwa na ujinga wa kututuma mbolea na maua bila kujali kama 99% ya wanafunzi hawakuwa wafugaji wala wenye bustani nyumbani kwao.
Shule ya msingi niliyosoma ilikuwa na ujinga wa kututuma mbolea na maua bila kujali kama 99% ya wanafunzi hawakuwa wafugaji wala wenye bustani nyumbani kwao.