shule ya msingi

  1. Siempre Hechos

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanafunzi wa shule ya Msingi na Sekondari siku hizi hawana vitambulisho?

    Nimekuwa nikijiuliza kwani kitambulisho maana yake ni nini? na kazi yake ni nini?, au vinatumika kwa baadhi tu ya watu na taasisi na sekta nyingine?. Wanafunzi wa Shule ya Msingi na Sekondari siku hizi hawana vitambulisho ama ni mimi sifatilii mambo? Yawezekana kwao sio muhimu kwa sababu wanavaa...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Tanga: Mwanafunzi wa Darasa la 5 adaiwa kujinyonga. Ndugu wadai kuna kitu nyuma ya pazia kinafichwa na Shule na Polisi

    Ujumbe huu nimeukuta huko Duniani Naomba utupazie sauti, kuhusu mtoto wetu Heri Severin Yagaza (11) ambaye anadaiwa kujinyonga shuleni. Heri alikua darasa la 5, shule ya msingi Triple A iliyopo mjini Tanga. Inadaiwa amejinyonga bwenini kwa kutumia shuka, siku ya jumatano saa 10 jioni. Heri ni...
  3. BigTall

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Shule ya Msingi Tumaini ya Tabata Kimanga Wanafunzi wasiochangia Tsh. 800 wanatolewa Darasani

    Wazee nendeni Shule ya Msingi Tumaini, ipo Kata ya Kimanga, Dar es Salaam kila siku kila Mwanafunzi wa Darasa la Saba anatakiwa atoe mchango Tsh. 800 na kwa siku ya Alhamisi wanachangishwa Tsh. 2,000 ya mtihani. Pia soma: Malalamiko yaendelea kuhusu malipo ya 'Mchango wa Uendeshaji wa Shule...
  4. Said Shagembe

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mdhamini wa kuniwezesha kujenga shule kwa ajili ya kuhudumia wanafunzi wanaotembea umbali mrefu kwenda shule lakini pia kutengeneza ajira

    Wapenda wana Jamii Forums, je naweza nikapata shirika litakaloniwezesha kuanzisha mradi wa kuanzisha ujenzi wa shule ya msingi kwa ajili ya kupunguza tatizo la watoto kutembea umbali mrefu kwa ajili ya kupata elimu. Lakini pia kutengeneza ajira za kudumu kwa walimu waliohitimu na wenye sifa...
  5. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya Shule ya Msingi Yaliyotoswa na Wanufaika

    Kama yote yaliyofundishwa mashuleni, hasa Shule ya Msingi, huenda haya yasingetokea: 1. Matumizi ya leso Ni kawaida kwa baadhi ya watu, wanapopenga "kamasi", kutokkutumia leso. Bdala yake, hutumia mikono yao kuziba pua kidogo na kupuliza pia, " pwiii", kupuliza pembeni. Halafu maji maji...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Arusha: Mtoto adaiwa ‘kupooza’ mkono baada ya adhabu ya Mwalimu wa Shule ya Msingi Miririni Wilaya ya Meru

    Mwalimu anayefahamika kwa jina la Nkya mtumishi katika Shule ya Msingi Miririni iliyopo Wilayani Meru Mkoani Arusha anatuhumiwa kufanya ukatili kwa Mwanafunzi ambao umesababisha mkono wa kulia wa mtoto 'kupooza' hasa sehemu ya vidole. Mwanafunzi aliyejeruhiwa ametambuliwa kwa jina la Milcah...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Kwa yeyote anayeijua shule ya msingi ikoma iliyopo kishapu mkoani shinyanga please

    Kwa mwalimu yeyote wa msingi mkazi wa wilaya ya kishapu anaehitaji tunadilishane vituo vya kazi anitafute please.
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Prof. Sospeter Muhongo: Kila Shule ya Msingi/Sekondari Iwe na Maktaba

    Prof. Sospeter Muhongo - Kila Shule ya Msingi/Sekondari Iwe na Maktaba/Maabara Prof. Sospeter Muhongo Akiishauri Wizara ya Elimu, Sayansi & Teknolojia Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof. Sospeter Muhongo ametoa ushauri kwenye uboreshaji wa ELIMU yetu. Mbunge huyo ameelezea umuhimu wa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo kutofundishwa shule ya msingi ni kasoro kubwa kwa rasimu ya mtaala

    Bado hali ya uchumi wa nchi yetu ktk sehemu kubwa ya taifa letu Wananchi hujishughulisha na kilimo na bado inasemekana uchumi wetu hutegemea kilimo. Kwa kutofundishwa somo la kilimo ni tafsiri halisi kuwa hata Wananchi huko wanakolima hawatathamini kilimo na baadae wageni wawekezaji watakuja...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DC Rungwe apongeza mchango wa Wananchi katika ujenzi wa Shule ya Msingi na Bweni la Sekondari

    Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu amefanya ziara katika Kata ya Ikuti na kukagua miradi ya maendeleo pamoja na kuzungumza na wakazi wa kata hiyo. Akikagua ujenzi wa shule mpya ya msingi katika Kijiji cha Ikuti pamoja hosteli ya wavulana katika Shule ya Sekondari Ikuti kwa nyakati tofauti...
  11. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Mathias Mnyampala: Nguli wa fasihi aliyeanza shule ya msingi akiwa na mke tayari

    Ni ngumu kuzungumzia fasihi ya kiswahili bila kumzungumzia Mathias E. Mnyampala. Mnyampala alizaliwa mwaka 1917 huko Dodoma akiwa ni Mgogo. Baba yake alikuwa ni mfua chuma na alimiliki ng'ombe wengi ambao Mathias ndiye alikuwa mchungaji. Mwaka 1931. Akiwa kama na miaka 14-15 aliozwa mke...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mwanafunzi wa Shule ya Msingi afariki Dunia kwa kujinyonga, yadaiwa chanzo ni kukaripiwa

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, ACP Benjamin Kuzaga amesema Februari 27, 2023 majira ya saa 02:00 usiku katika Mtaa wa Mwafute uliopo Kata ya Ilemi, Tarafa ya Sisimba, Jijini Mbeya, Mwanafunzi wa darasa la VI katika Shule ya Msingi Lyoto aitwaye IBRAHIM EDSON [12] alikutwa akiwa amefariki baada...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba Arusha ya kupanga

    Natafuta nyumba Arusha ya kupanga maeneo ya Sakina, Ngarenaro shule ya msingi au Kambi ya Fisi...Budget 150000 tsh
  14. BigTall

    JamiiForums Tanzania Rungwe: Madarasa 6 ya Shule ya Msingi yaliyojengwa kwa Milioni 64 yazinduliwa

    Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu, leo tarehe 07.02.2023 amezindua vyumba sita (06) vya madarasa katika Shule ya Msingi Kinyangwa iliyopo Kijiji cha Katunduru, Kata ya Ilima. Mradi wa ujenzi wa vyumba hivyo umetekelezwa na Kampuni ya Bioland kupitia Mradi wa Cocoa for School kwa gharama ya...
  15. Kalebejo

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Michango shule ya msingi Kilimahewa tishio

    Kwanza Kabisa nampongeza Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa jitihada zake za kuboresha mazingira ya shule za msingi nchini lakini ninachotaka kusema ni kuwa waziri wako wa elimu ameshindwa kabisa kufikia matamanio yako ya kuona watoto wa watanzania wanyonge wanapata elimu bora kama watoto wao...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB yakabidhi madarasa mawili shule ya msingi Chuda, jijini Tanga

    Kaimu Mkurugenzi wa Jiji la Tanga, Hawa Msuya (wapili kushoto) kwa pamoja na Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Tanga, January Kilambata (wapili kulia) wakibadilishana hati ya makabidhino ya madarasa mawili kwa ajili ya wanafunzi wenye uhitaji maalumu wa Shule ya Msingi Chuda, jijini Tanga leo...
  17. BigTall

    JamiiForums Tanzania Arusha: Wanafunzi Shule ya Msingi Unga Limited wakaa chini kwa kukosa madawati

    Wanafunzi wanaosoma shule ya Msingi Ungalimited Jiji la Arusha wamelazimika kukaa chini kutokana na uhaba wa madawati huku uongozi ukidai ni kutokana na ukarabati wa vyumba vya madarasa unaoendelea katika shule hiyo kongwe. Hata hivyo Ofisa Elimu Msingi Jiji la Arusha,Hosseni Madengale amesema...
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi kuhusu nyumba ya Mwalimu wa Shule ya Msingi Maweni, Igunga inayosambaa mitandaoni

    UFAFANUZI KUHUSU NYUMBA YA MWALIMU WA SHULE YA MSINGI MAWENI, IGUNGA INAYOSAMBAA MITANDAONI Tarehe 20 Septemba 2021 nikiwa naendelea na Ziara ya Kijiji kwa Kijiji kwenye Jimbo la Igunga, Nikiwa na Wasaidizi wa Ofisi ya Mbunge na Waandishi wa Habari, tulifika Shule ya Msingi Maweni iliyopo...
  19. crome20

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna gharama za uhamisho kwa mtoto wa Shule ya Msingi?

    Nimekwenda shule fulani hapa Dar kutaka kumuhamisha kijana wangu anayeingia STD 7 nikaambiwa gharama ni sh 10000/=, Is this real? Cha ajabu risiti hatoi nilipo muhoji maelezo yake hayakunitosha. Kwa vile nilikuwa na assignment ya haraka sikuwa na MUDA wa kubishana nae. Lakini Kama itakuwa sio...
  20. JaxenDL

    JamiiForums Tanzania Rafiki wa shule ya msingi akumbushia stori hii mbele ya mchumba wake

    Akiwa darasa la 5 katika moja ya shule ya msingi huko Arusha Republic John alikumbana na tukio kuingiliwa kinyume na maumbile kwa nguvu na wanafunzi wa darasa la 7 [wa kiume pia]. Baada ya kushtaki kwa mwalimu wa darasa kesi ilifika kwa mkuu wa shule, taratibu za uwajibishwaji zilifanyika kwa...
Back
Top Bottom