shida

Hikaru Shida (志田 光, Shida Hikaru, born June 11, 1988) is a Japanese professional wrestler, martial artist, actress, and model, currently signed to All Elite Wrestling (AEW), where she is a former and the longest-reigning AEW Women's World Champion. On February 25, 2021, she became the longest reigning overall champion in AEW history, breaking the previous record of 277 days set by former AEW World Champion Jon Moxley.She also works for the Makai company, and makes appearances for the Oz Academy and Pro Wrestling Wave promotions.
She started her professional wrestling career in 2008, when she joined the Ice Ribbon promotion, after taking part in a film titled Three Count, set in the world of professional wrestling. She remained with the promotion until 2014, becoming a one-time ICE×60 Champion and four-time International Ribbon Tag Team Champion. Outside of Ice Ribbon, Shida has held the Wave Single Championship, the Oz Academy Tag Team Championship and the Sendai Girls World Tag Team Championship.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini ndoa za sasa nyingi zinafungwa na ujauzito, nini shida?

    Nimejaribu kuwaza ndoa za enzi zetu Hivi majuzi nilihudhuria ndoa 3 Kila ndoa mdada kabakisha kama mwezi kujifungua hii waliweka mpaka na ambulance na nurse ikitokea emergency Mwingine jumamosi iliopita huyu afadhali kitambi kilikuwa si kikubwa sana Mwingine huuu dah mpaka nilikuwa naogopa...
  2. JamiiForums Tanzania Mke wangu kasema nafeli; je, nafeli wapi?

    Wakuu, Nilikatiwa kipande cha ardhi na kanisa, kwa makubaliano kwamba nijenge fremu halafu tutakatana kwenye kodi na makato yakiisha fremu itakuwa mali ya kanisa. Unapewa miezi 3 ya kujenga, hata kama hujamaliza fremu inaanza kusoma. Nilimaliza ujenzi ndani ya miezi tisa, nikaweka vifaa vya...
  3. JamiiForums Tanzania Hongera Jokate na UWT kwa kuwashika mkono Hanang wakati huu wa shida

    Anaandika Jokate kupitia twitter. "UWT kwa kutambua waathirika wakubwa wa majanga kama haya ni akina mama na watoto, leo tumefanya kikao cha dharula na kuanza zoezi la kutafuta vifaa vya kuwasaidia wakina mama na watoto walioathirika na maafa Hanang, Manyara. "Kwa siku ya leo tumeanza na...
  4. JamiiForums Tanzania Hapa itakuwa shida nini, mwamba kapiga game nusu saa anaona hajafaidi kabisa

    Habarini Sijui kuandika sana kiufupi ipo hivi. Leo nilikuwa na mmoja wa rafiki zangu sasa wakati wa story za hapa na pale jamaa si ndo akanisimulia kuwa juzi alikuwa na pisi yake room kwa hiyo akawa kapiga mzigo kama nusu saa hivi kitu ikalala kabisa. Akatulia usiku tena akamshtua akapiga...
  5. JamiiForums Tanzania Shida ya jicho la kushoto kutetemeka

    Habari zenu wanajamii hasa kwenye hili jukwaa la afya.mimi Nina tatizo la jicho langu la kushoto mboni ya juu kutetemeka sana na inatokea mara kadhaa ndani ya dk 5. nikiongea hivyo naamini wengi washakutana na hii Hali walau mara kadhaa na wengi Huwa wanasema kutetemeka Kwa jicho la kulia Kuna...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi tatizo ni kukosa Elimu,Uelewa au Exposure?

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Nimekuwa nikifuatilia mambo yanayoendelea kwenye hii nchi nabaki kushangaa tu kama mtalii! Ukiangalia hata mambo madogo tu ya mtu mmoja mmoja bado ni tatizo kubwa mno!,Hivi Tatizo ni nini? Nimekuwa nikipitia mitandao kadhaa ya kijamii na kuona namna...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Mashine za Uwakala za NMB ni ghali sana halafu ni shida mno kuzipata

    Nawatafuta NMB, nilishawahi kuona uzi wao humu lakini sijui ulipo sasa. Mashine za uwakala za NMB (POS) moja inauzwa TZS 1,106,000/= (Milioni moja laki moja na elfu sita). Ajabu ni kwamba, pamoja na bei kubwa kiasi hicho kuipata mashine ya NMB ni kazi ngumu mno. Nimeomba kwao kupatiwa hii...
  8. JamiiForums Tanzania Viongozi washamba Yanga hawahitajiki. Tujikite kwenye mechi na Al Ahly

    Kwakweli dunia inakwenda kasi sana, Jana nimeona page ya Yanga ikihamasisha mashabiki kwenda kupokea Mgeni airport, basi nikajuwa ni mchezaji mpya kumbe eti ni msanii. Viongozi msilete masihara, mechi na Al Ahaly ni ngumu Kwahiyo tuache ujinga ujinga tujikite kwenye maandalizi ya mechi hii...
  9. JamiiForums Tanzania Mke wangu ameenda hedhi kwa siku tisa. Je, ni shida?

    Habari JF, Mwezi huu nmekutana na changamoto kuhusu mke wangu maana mpaka sasa sijajua ana shida gani
  10. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wanaendelea kuchukua Mikopo Kausha Damu wakati wengine Wanafilisiwa?

    Wakuu, Mikopo kausha damu inapigiwa sana kelele, na tuomeona watu kadhaa wakiathirika na mikopo hiyo, lakini mbali na hayo yote kutokea na kupigiwa kelele kuwa haifai bado watu wanaendelea kukopa na wahanga wanaongezeka! Kwanini watu wanaendelea kuchukua mikopo hii mbali na athari wanazopata...
  11. JamiiForums Tanzania Simba kulikoni mbona hampost trend ya mauzo ya tiketi kama kawaida yenu? Shida ni nini!!

    Tumezoea awa mabwana kupost mauzo ya ticket yalipofikia kwenye page zao na mitandao ya kijamii uku wakionyesha sold out za kutosha Kila jukwaa, Sasa nashanga safari hii wamekuwa Kama wamepigwa na shot ya umeme wameganda Kama barafu. Hii sio kawaida yao kabisa mechi ni kesho lakini akuna post...
  12. JamiiForums Tanzania Kuna siri ya mafanikio ya Yanga kwa kusaidia vituo vya watu wenye uhitaji maalum?

    Na sio ndani ya nchi tu ni mpaka nje ya nchi, mfano kwa sasa timu ipo Algeria lakini ikiongozwa na Rais Hersi leo mchana walitembelea na kuwapatia mahitaji mbalimbali. kituo cha watoto wenye uhitaji maalum kiitwacho Orphans of El MOHAMMADIA kilichopo mjini Algiers,
  13. JamiiForums Tanzania Malalamiko ya kuendelea mgao wa Umeme! Kumbe shida sio January Makamba?

    Kuna watu humu kipindi mgao umetamalaki kila siku kulikuwa na kelele dhidi ya January Makamba mara mpigaji mara anauza majenereta. Kwenur kupanda bei ya mafuta pia maneno hayakupungua. Tulio na siasa safi tusioangalia mtu tuliposema shida sio makamba wale jamaa zetu roho mbaya fc walituona...
  14. E

    JamiiForums Tanzania Nina shida na Mtumishi wa THPS (Tanzania Health Promotion Support)

    Habarini, Nilikuwa naomba kama kuna mtumishi yoyote wa THPS humu ndani naomba tuwasiliane. Asanteni
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini picha ya kujaa Maji Bwawa la Nyerere haionekani google wakati huu, nini shida

    Tangu kuanza kujazwa maji katika bwawa la nyerere ni takribani mwaka mmoja umepita, na maendeleo ya ujenzi wa bwawa la nyerere limefikia asilimia takribani 90. Sasa toka maji yameanza kujazwa disemba 2022 maji yameingia mengi mno, na ujazo umefikia mita takribani 160+, hawa google kwanini...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Picha hii inathibitisha Dar kuna shida ya chakula. Chapati zote hizo?

  17. M

    JamiiForums Tanzania Miaka nenda rudi mvua huleta shida barabara ya Jangwani

    Nimeona leo jinsi mvua ilivyoleta shida pale jangwani. Sio leo tu bali ni miaka nenda rudi, miaka yote hali ni hiyohiyo. Tangu uhuru hadi leo tupo serikali awamu ya 6. MUDA MWINGINE NAHISI NAWEZA KUKUFURU lakini MWENYEZI MUNGU ANISAMEHE. NAHISI UAFIRIKA NI LAANA. Mwafrika ni jamii ya mwisho...
  18. JamiiForums Tanzania TANAPA ni shida Wanawaonea sana Wafugaji, Mbunge Musukuma anasema kweli

    Nimesikiliza na kuangalia Bunge kuhusu utendaji kazi wa baadhi ya maafisa wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) bila shaka Serikali inatakiwa kuangalia taasisi hii au mamlaka hii.
  19. B

    JamiiForums Tanzania Rafiki niliyemsaidia wakati wa shida akanitosa nilipopatwa shida, leo kanifanyia surprise ya kufungia mwaka

    To cut short story huyu jamaa ni rafiki yangu wa tangu utotoni. Mwaka 2012 nikiwa vizuri sana kiuchumi alipatwa na msiba wa baba yake mzazi. Yeye kwao ndio wa kwanza na ndio mtoto anae tegemewa na familia nzima. Kwao ni Dar ila msiba ulimkuta akiwa kaenda kufanya interview ya kazi Kigoma...
  20. JamiiForums Tanzania Hakikisheni Watoto Wachanga Hawapati Shida Watumiapo Kadi za Wazazi Wao

    Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amewataka watendaji wa mfuko wa bima ya afya na vituo vyote vya huduma za afya nchini kuhakikisha watoto na wazazi hawapati shida iwapo mama atakuwa na kadi yake inayoonyesha ushahidi wote kuhusu mtoto husika na ni mtoto wangapi kwenye familia. Dkt...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…