Mashine za Uwakala za NMB ni ghali sana halafu ni shida mno kuzipata

TensorFlow

JF-Expert Member
Feb 11, 2020
812
969
Nawatafuta NMB, nilishawahi kuona uzi wao humu lakini sijui ulipo sasa.

Mashine za uwakala za NMB (POS) moja inauzwa TZS 1,106,000/= (Milioni moja laki moja na elfu sita). Ajabu ni kwamba, pamoja na bei kubwa kiasi hicho kuipata mashine ya NMB ni kazi ngumu mno. Nimeomba kwao kupatiwa hii mashine huku nikifuatilia mara kwa mara kwa zaidi ya mwaka sasa.

Mimi ni wakala wao na natumia NMB app - NMB mkononi kuhudumia wateja, ambayo wateja wanaichukia hasa.

Wakati huohuo bank ya CRDB inauza mashine zake moja kwa TZS 400,000/= na niliipata muda mfupi tu baada ya kuomba.

Hivi NMB kwa nini mnakuwa hivyo ?

tf
 
Hii ukweli nmb Wamefeli.
Wao wanasema wanataka kuondoa mashine za nmb, wanasajili wateja wapya kwa kutumia simu, ila wale wa mwanzo wanaendelea kuzitumia. Kumekuwa na matabaka ya huduma za nmb, kati ya wenye mashine ambao ndio wanafanya kazi na tabaka la hawa wenye simu ambalo ni shida hamna kazi.

Halopesa Nmb amueni moja mashine Au bila mashine msigawe wateja.
 
Nimi ninaoffice zangu za uwakala office mbili nina machine za nmb na zingine hazina machine, zina nmb mkononi.tofauti naiyona kwenye commission ...office zenye machine kila machine inalaza karibu 400000 kwa mwezi while zinazotumia simu zenyewe zinalaza 70 mpaka 80 hapo imejitahidi. Machine inauwezo wakulipa vitu vingi vinavyohitaji risiti...pia hii ya mkononi ni complicated sana kwa wakala na mteja.
 
Hizo mashine walikuuzia TZS ngapi ?
 
Wameanza lini na bei gani??
Hii hapa
1. Ukitaka mashine ya poss 1,106,000/=
2. Ukitaka Bluetooth printer 613,0000

Kazi kwako.
IMG-20231113-WA0018_1.jpg

#YNWA
 
Nawatafuta NMB, nilishawahi kuona uzi wao humu lakini sijui ulipo sasa.

Mashine za uwakala za NMB (POS) moja inauzwa TZS 1,106,000/= (Milioni moja laki moja na elfu sita). Ajabu ni kwamba, pamoja na bei kubwa kiasi hicho kuipata mashine ya NMB ni kazi ngumu mno. Nimeomba kwao kupatiwa hii mashine huku nikifuatilia mara kwa mara kwa zaidi ya mwaka sasa.

Mimi ni wakala wao na natumia NMB app - NMB mkononi kuhudumia wateja, ambayo wateja wanaichukia hasa.

Wakati huohuo bank ya CRDB inauza mashine zake moja kwa TZS 400,000/= na niliipata muda mfupi tu baada ya kuomba.

Hivi NMB kwa nini mnakuwa hivyo ?

tf

Kuna sababu kwa nn ni ghali
 
Gharama ya mashine pekee yake
Kuhusu hilo ulilouliza ni Mil 1 kamili.

Ila unalipa hiyo 1.106 halafu siku ukiitwa kuchukua mashine yako unaenda na cash ya float ya mil 1

#YNWA
Duh si mchezo milion mbili mashine pekee hapo bado kulipia ofisi nk
 
Back
Top Bottom