Ukimsujudia shetani atakupa utajiri?

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,512
40,609
Katika kusoma soma kwangu kwenye hiki kitabu 'biblia' nikakutana na maneno haya ''Kwa mara nyingine, ibilisi akamchukua Yesu mpaka kwenye kilele cha mlima mrefu na kumwonyesha falme zote za dunia na fahari zake, kisha akamwambia, “Nitakupa hivi vyote kama ukinisujudia na kuniabudu.’’

Sasa najiuliza, hawa wote wanaomiliki fahari za dunia, wameamua kumsujudia shetani, na shetani naye akawapa utajiri?

Je, shetani ana mamlaka gani ya kumiliki mali zote za dunia?
 
SHETANI anakupa utajiri.

1. Kutoa kafara
2. Kudhurumu.
3. KUUA.
4. Kupenda pesa kuliko kugawa kwa wahitaji na masikini,
Sheria ya utajili ni kuwa mchoyo na BAHILI, ya Mungu ni utoaji nankusaidiana.
5. WIZI.
6. Ufisadi na kuingia mikataba ya KITHENGE kama JMT. Kagoda, Richmond, epa nk.

Mambo ya shetani ni mengi mno.
Muda ni mchache.
 
Zab 24:1

Nchi na vyote viijazavyo ni mali ya BWANA, Dunia na wote wakaao ndani yake.
 
SHETANI anakupa utajiri.

1. Kutoa kafara
2. Kudhurumu.
3. KUUA.
4. Kupenda pesa kuliko kugawa kwa wahitaji na masikini,
Sheria ya utajili ni kuwa mchoyo na BAHILI, ya Mungu ni utoaji nankusaidiana.
5. WIZI.
6. Ufisadi na kuingia mikataba ya KITHENGE kama JMT. Kagoda, Richmond, epa nk.

Mambo ya shetani ni mengi mno.
Muda ni mchache.
Utajiri wa dunia ni mali ya shetani
 
Back
Top Bottom