Nimeamini kila shetani na mbuyu wake

Nakadori

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
8,781
20,952
Waungwana natumaini mko salama.

Basi bwana week end hii nikasema ngoja niibukie porini kidogo nikacheki watu wanaishije ishije huko pamoja na mishe nyingine nyingine.

Shida ilianza baada ya kuchelewa kuamka na kukuta muda wa magari ya uhakika yanayoweza kunifikisha kwa wakati na nikarudi mapemba umepita (hii ni kutokana na mwamba flani kunichatisha hadi mida mibaya so najikuta mda mwingi nina mausingizi). Sasa baada ya kuchelewa nikawaza sana niende au nisiende ....nikajisemea ngoja niende tu kwa kuunga unga.

Basi nikafika pale magufuli terminal...mpiga debe akanipokea kama kawaida yao.... basi nikamwambia ninapoelekea na kwamba nataka niwahi.....akashauri nitege golini pale.... sijakaa sawa dakika sifuri gari ikatoka nkavutwa na mpiga debe nkasumiwa ndani huko ndanii.... (hii inaitwa utapambana na hali yako...siti iwepo au isiwepo utajua mwenyewe).

Basi safari ilikuwa shwari kweli ...nikaunga unga hadi nikafika... (kwanza haikuwa ndefu kwakuwa mwamba kama mwamba alikuwa ananichatisha njia nzima).

Basi nikafika shamba nikawa natembea tembea kusalimiana na marafiki wengi tulipoteana muda sana.

Nikampigia chawa angu flani (huyu kwangu ni kama dada kwakuwa amenipita kiaina..)ambaye nikiwa maeneo haya lazima niwe naye popote pale hata kwenye kumwagilia moyo... yani popote utakaponikuta na yeye unamkuta. Baada ya kumpigia akanielekeza niende sehemu nyingine mbali kabisa na nilipozoea... nikamuuliza kulikoni akaniambia we usijali...tutaongea ukifika.

Haya nikakamata toyo hadi alipo... jaman jaman nakuta yuko dukani anauza duka na hapo pembeni pia kuna baa watu wamejaa wanakunywa. Baada ya maongezi ananiambia amepata chalii flani ameamua kutulia kuolewa na hapo alipo ana mimba ya miezi 2....duka ni la kwao na bar ni ya kwao.

Mumewe ana watoto wa 2 ambao mmoja yuko grade 5 mwingine baby class (kayumba lakini). Huyu shem wangu alishindana na mkewe wa kwanza wakagawana mali akaanza upya...

Nilimpongeza shoga angu huyu slay aunty lakini nikajiuliza shoga angu huyu huyu ambaye alikuwa anaponda sana kuolewa na aliwakataa wengi sana leo ametulizwa?? Huyu walishashindwa wengi kumtuliza maana yeye ilikuwa chake mkononi hisia hanaga lakini chalii amemtuliza pakubwa... yani hata ukimtajia kwenda center anaomba ruhusa ila chalii anapiga mkwara hakuna safari na bi dada anatulia tuliii.

Kweli starehe zina mwisho na kila shetani na mbuyu wake.
Chalii ni mwamba .....
Halafu wakataa ndoa mje muweke sumu zenu.
 
Hiyo kawaida ata kwenye soccer team ikishindwa kupanga mashambulizi, hurudisha mpira golini kwa kipa

Naona kama slay aunty kaamua kurudisha mpira kwa kipa hana mbinu tena
Weee yule hachujiii na ni mafia kwelii
Me nahisi ndumba imetumika kabisaa
Huyu anatetemekewa na kila rika asee
Ni wale kata mti panda mti
 
Waungwana natumaini mko salama.

Basi bwana week end hii nikasema ngoja niibukie porini kidogo nikacheki watu wanaishije ishije huko pamoja na mishe nyingine nyingine.

Shida ilianza baada ya kuchelewa kuamka na kukuta muda wa magari ya uhakika yanayoweza kunifikisha kwa wakati na nikarudi mapemba umepita (hii ni kutokana na mwamba flani kunichatisha hadi mida mibaya so najikuta mda mwingi nina mausingizi). Sasa baada ya kuchelewa nikawaza sana niende au nisiende ....nikajisemea ngoja niende tu kwa kuunga unga.

Basi nikafika pale magufuli terminal...mpiga debe akanipokea kama kawaida yao.... basi nikamwambia ninapoelekea na kwamba nataka niwahi.....akashauri nitege golini pale.... sijakaa sawa dakika sifuri gari ikatoka nkavutwa na mpiga debe nkasumiwa ndani huko ndanii.... (hii inaitwa utapambana na hali yako...siti iwepo au isiwepo utajua mwenyewe).

Basi safari ilikuwa shwari kweli ...nikaunga unga hadi nikafika... (kwanza haikuwa ndefu kwakuwa mwamba kama mwamba alikuwa ananichatisha njia nzima).

Basi nikafika shamba nikawa natembea tembea kusalimiana na marafiki wengi tulipoteana muda sana.

Nikampigia chawa angu flani (huyu kwangu ni kama dada kwakuwa amenipita kiaina..)ambaye nikiwa maeneo haya lazima niwe naye popote pale hata kwenye kumwagilia moyo... yani popote utakaponikuta na yeye unamkuta. Baada ya kumpigia akanielekeza niende sehemu nyingine mbali kabisa na nilipozoea... nikamuuliza kulikoni akaniambia we usijali...tutaongea ukifika.

Haya nikakamata toyo hadi alipo... jaman jaman nakuta yuko dukani anauza duka na hapo pembeni pia kuna baa watu wamejaa wanakunywa. Baada ya maongezi ananiambia amepata chalii flani ameamua kutulia kuolewa na hapo alipo ana mimba ya miezi 2....duka ni la kwao na bar ni ya kwao.

Mumewe ana watoto wa 2 ambao mmoja yuko grade 5 mwingine baby class (kayumba lakini). Huyu shem wangu alishindana na mkewe wa kwanza wakagawana mali akaanza upya...

Nilimpongeza shoga angu huyu slay aunty lakini nikajiuliza shoga angu huyu huyu ambaye alikuwa anaponda sana kuolewa na aliwakataa wengi sana leo ametulizwa?? Huyu walishashindwa wengi kumtuliza maana yeye ilikuwa chake mkononi hisia hanaga lakini chalii amemtuliza pakubwa... yani hata ukimtajia kwenda center anaomba ruhusa ila chalii anapiga mkwara hakuna safari na bi dada anatulia tuliii.

Kweli starehe zina mwisho na kila shetani na mbuyu wake.
Chalii ni mwamba .....
Halafu wakataa ndoa mje muweke sumu zenu.
Umebaki Ww sasa gubegube,njoo kwangu tuumalizie huu uzee
 
Huu mbuyu una mizimu ya kale mikali sana itakukimbiza sana
Niliwahi kukutana na mmoja ana mizimu, skumoja ikapanda wakati napiga show..... mkuu yani sikuangalia cha mizimu wala majini, miniliendelea kugonga show kilicho nikuta sinto kaa nisahau...😜😜
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom