Matumizi ya nembo ya Taifa. Je, inafaa kutumiwa na mtanzania yeyote? Mara nyingi nimewahi kusikia kesi za matumizi mabaya ya nembo! Je, kuna matumizi mazuri kwa raia wa kawaida? Mbali na kuziweka profile picture kwenye mitandao ya kijamii.
Je, inafaa kuichanganya nembo hii na nembo ya biashara...