Binafsi nafikiri Sheria ya kubinafsisha mali aliyoiweke Mwalimu Nyerere iendelee kuwepo ILI wale wote watakaobainika kutumia raslimali za umma kwa faida yao binafsi mara watakapo tiwa hatiani ziweze kubinafsishwa na kutumiwa kwa manufaa ya umma.
Nafikiri kuifuta kabisa hii sheria ni sawa na kufungulia milango wale walafi wapore kwa kadri wanavyoweza wakiamini, hakuna mahala wataweza kutiwa hatiani na kunyanganywa...
Mwisho, niwakumbushe, kutumia muda kutengeneza maisha yajayo baada ya kifo kwani siku za mwisho zitakuwa Ngumu sana....