PeterwaPerer
Senior Member
- Sep 12, 2024
- 194
- 195
Siku za hivi karibuni nimemsikia msajili msaidizi wa vyama vya siasa ndugu Sisty Nyahoza akikiri hadharani kuwa pamoja na ukubwa wa CCM lakini wamekuwa wanatii na kuwajibika kwa makosa mbalimbali yanayofanywa na wanachama wake
Si mara moja au mbili wamekuwa wakiwaandikia barua za onyo na kujieleza na CCM wamekuwa wakijibu na kushughulikia changamoto zinazojitokeza kama alivyotoa mfano wa kijana mmoja aliyelewa kule Bukoba
Tofauti na vyama vingine vimekuwa vikikimbilia kwenye mitandao ya kijamii kutafuta kitu kinachoitwa "public sympathy" kwa lugha ya kujing'ata ulimi na sio kushughulika na changamoto hizo ambazo ni kweli wanazo na zinazidi kuwaweka pabaya
Mfano Chadema kwenye moja ya majibu yake (yamo humu) kwa msajili kujibu barua waliyoandikiwa wanadai kuna sheria kwenye vyama vya Siasa eti "Imewekwa kimakosa"
Yes naweza kukubaliana nao kwa namna moja au nyingine lakini ndio mtunishane mabavu nayo wakati ipo valid na inafanya kazi?
Viongozi wa namna gani hawa?
Kwa mtazamo wangu labda kitokee chama kingine cha siasa chenye dhamira ya kweli ya kushika nchi hawa wengine wanapiga maktaimu tu sababu uwezo wao wa kuchambua na kunusa hatari ni kisoda mno!