sheria

  1. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande, sawa maandamano yalikiuka sheria. Sasa, jibu swali hili

    You might be sahihi as per my heading, kwa hiyo serikali ilikuwa na uhalali wa kuwaua waandamanaji wasio na silaha? na kuwazika in mass graves?
  2. JamiiForums Tanzania Sheria za tume ya uchunguzi Tanzania

    Sheria ya Tume za Uchunguzi ya Tanzania, Sura ya 32 Toleo Lililorekebishwa 2002, inampa Rais mamlaka ya kuanzisha tume za kuchunguza masuala ya maslahi ya umma, ikiwa ni pamoja na mwenendo wa watumishi wa umma, idara za serikali, na masuala ya rushwa. Sheria hii inaruhusu uteuzi wa makamishna...
  3. JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Sheria UDOM wanufaika na wiki ya usuluhishi

    Viongozi mbalimbali kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dodoma, pamoja na Wizara ya Katiba na Sheria, leo tarehe 16 Aprili 2026 wamefanya majadiliano ya pamoja na wanafunzi wa Sheria wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). Majadiliano hayo yamefanyika katika ukumbi wa CT1 uliopo Ndaki ya Biashara...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Julius Malema wa EFF atiwa hatiani kwa kukutwa na silaha/matumizi kinyume cha sheria akikabiliwa na kifungo cha miaka 15 jela

    Amekutwa na hatia (convicted) ya kumiliki silaha bila kibali na kufyatua risasi hadharani kinyume cha sheria. Kesho saa tatu asubuhi atasomewa adhabu (sentensing) ambapo prosecutors wanaiomba mahakama impe maximum sentense of 15 yrs in prison Kosa hili alilifanya mwaka 2018 katika mkutano wa siasa
  5. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Huku Chunya kuna Wamalawi wengi wanaoishi kinyume cha Sheria

    Nina shida kuna Jambo linanisumbua hapa nilipo nipo Chunya sehemu ninayofanyia kazi kuna raia wa Malawi ni wengi sana na wengi wao hawana uhalali wa kufanya kazi hapa nchini. Shida iliyopo Wamalawi wanatubagua sisi na kutuita kuwa tuna roho mbaya, naomba unisaidie hili neno limenitesa sana na...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa nini Wayahudi wanakiburi sana,wao hawafuati sheria za Kimataifa

    Habari wandugu Tukiwa tumemka salama huku tukisubiri mlejesho wa kikao kutoka Pakistan,nimeona kila mtu akishuka kwenye ndege na makablasha kwapani kila upande umesheheni security expert maalumu wa ku negotiate. Je umewahi kujiuliza kwa nini hawa wayahudi huwa hawafuati utaratibu wa dunia...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Demokrasia kwa tajiri maana yake ni kumnyonya mwananchi wa kawaida sio kuwa na utawala wa sheria

    Matajiri wote wanaopigania demokrasia maana yake wawe na uhuru wa kupanga bei za bidhaa bila hata kuangalia mnyororo wa udhalishaji. Moja wapo ya njia hizo ni kutengeneza cartels. Matajiri wanakubalia bei ya soko ili kusiwe na ushindani makampuni ya mtandao ya simu ni mfano mzuri.
  8. JamiiForums Tanzania Wataalamu wa Sheria mje hapa, mueleze hii kesi atashinda nani

    Kuna kijana mpigapicha nchi jirani kaipeleka mahakamani kampuni kubwa ya kuuza maji kwa kutumia picha aliyoipiga bila ridhaa yake. Picha yenyewe ni ya mtu anakunywa maji yanayotengenezwa na hiyo kampuni. Kuna watu wanasema kampuni haina kesi kwa sababu mpigapicha alipiga kinywaji chao bila...
  9. JamiiForums Tanzania Je, kuna sababu ya kutungwa sheria kali kwa wanaotengeneza bidhaa feki hasa bidhaa za vyakula na vinywaji wajulikane kama wauaji?

    Wana bodies kasi ya bidhaa feki imekuwa kubwa na watengenezaji hawajali tena afya za watanzania kabisa,na bidhaa hatarishi kwa afraid,zikiwa na kemikali hatarishi,hambazo zimeua vijana wengibkwa sababu ya Figo vitu kama hivyo,je niwakati sahihi wa kutungwa sheria kali sana hata ikiwezekana...
  10. JamiiForums Tanzania Mwanasheria wa Simba SC: Damaro na Yanga SC wao hawajafika, Sheria inaruhusu kwenda CAS kama tusiporidhishwa

    Shauri la Simba SC dhidi ya Damaro na Yanga SC limesikilizwa Aprili 2, 2026 katika Ofisi za TFF, Karume Ilala Jijini Dar es Salaam, ambapo Mwanasheria wa Klabu ya Simba, HOSEA CHAMBA amesema, Damaro na Yanga SC wao hawajafika, Sheria inaruhusu kwenda CAS Kama tusiporidhishwa Sakata la SIMBA...
  11. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali kuhuisha sheria ya Utumishi wa Umma, sura ya 298. Wale waliokuwa wanalipwa mishahara binafsi wajiandae

    Wakuu habari, Kwa taarifa za chini chini, Serikali inaenda kuhuisha sheria hizo kupitia Ofisi ya waziri Mkuu... Kumbuka sheria hasa ya mishahara binafsi inaenda kufanyiwa marekebisho; kuanzia mwezi wa saba watu watapunguziwa mishahara yao.
  12. JamiiForums Tanzania Trump kasema ataenda mahakamani leo kushuhudia shauri la kupitisha sheria ya kubatilisha 'uraia wa kuzaliwa' nchini Marekani

    Mzuka wana jamvi ? Rais wa Marekani kasema Leo hasubiri kuona kwenye Tv Ofisini anataka kwenda live mahakamani kuangalia shauri la kufuta uraia wa kuzaliwa' nchini Marekani. Trump anadai hiyo ilikuwa Maalumu kwa ajili ya watoto wa watumwa enzi hizo Marekani na haipaswi kuwepo sasa , ameenda...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hiyo adhabu ya mafisadi ni kuwaaibisha?! Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Rais Samia

    Leo Rais Samia amesema kuwa ripoti ya CAG ijayo itaje wanaofanya vibaya ili waone aibu, hivi anatambua kuwa kuiba ni aibu tosha ambayo wameivumilia hivyo ya kutajwa ni ndogo na hawawezi kuwaza wala kustuka? https://www.instagram.com/reel/DWgypeRjIYe/ Yaani mtu aibe pesa inayoweza kujenga...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Ni kama vile kila kukicha sheria zaidi zinatungwa kuwabana wananchi wa Tanzania, hadi nchi inakera sasa

    Yaani nchi hii mambo ya sheria za mambo madogo madogo ya maisha ya kila siku ya watu hadi inakera sasa. Mara sheria ya hiki,mara ya kile, mara sijui nini,hadi sasa tunakuwa sheria state. NI kweli sheria ni muhimu katika kufanya watu wawajibike katika uhuru wao, lakini kwa hapanchini naona sasa...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kwanini Hospitali ya Wilaya ya Ubungo haiwaruhusu wagonjwa kuingia na simu kwa baadhi ya wodi, Je, ndiyo Sheria inataka hivyo?

    Naomba tuwasilishe changamoto ya Hospital ya Wilaya ya Ubungo kutowaruhusu wagonjwa kuingia na simu wodini (wodi ya wazazi na emergency kwa watoto). Hii ni hatari sana kwani ni kumnyima mgonjwa haki ya kuwasiliana na ndugu zake, na endapo akapata changamoto yoyote kabla ya ndugu kumtembelea...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Nchi ya Tanzania Haina Dini kuweka masharti yoyote ya kidini ni kinyume Cha katiba ya nchi kufunga sio Sheria ya nchi viongozi wasiwe wanafiki

    Zanzibar sio nchi ni sehemu ya nchi ya Jamhuri Moja ya jambo la hatari Kwa taifa ni kuruhusu masharti ya kidini kuingizwa na KUSIMAMIA Kwa watu wote wa Jamhuri ya TANZANIA Nakemea vikali unafiki wa viongozi Jamhuri ya muungano wa Tanzania kufumbia macho masharti ya kidini kutekelezwa Kwa watu...
  17. JamiiForums Tanzania Ninatamani iwepo sheria ya kulazimisha watu kuitwa kwa majina yao ya asili ya makabila yao badala ya haya ya kizungu na kiarabu

    Katika mazuri machache aliyofanya dikteta Mobutu wa DRC (Zamani Zaire) ni kulazimisha wananchi wote kutumia majina asili ya makabila yao badala ya haya ya kigeni. Imesaidia sana kulinda utamaduni wao na inarahisisha kutambulika bila kujieleza sana. Tanzania tukiendelea hivi tutapoteza kabisa...
  18. JamiiForums Tanzania Ukikamatwa na Afisa wa LATRA barabarani, tulia kama unanyolewa. Sheria imewapa nguvu sana

    Tanzania bora ukamatwe na Polisi sio LATRA. Kwanza hawahongeki, hawazoeleki, hawaonei wala hawana huruma. Hata haya mambo ya Foleni wakiachiwa kazi LATRA, mambo yatanyoka. Afisa huyo wa LATRA akikukamata, atakusalimia kisha atakuomba kukukagua. Mfano kwa wanaobeba abiria, atakagua...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini hii Sheria ya shule huwa haifanyiwi kazi au haitimizwi?

    Wizara ya Elimu iliweka miongozo na sheria ktk shule zote nchini, Km bango linavyo someka hapo. Hii sheria niliyoweka vidoti, mbona sijawahi ona ikifanyiwa kazi, hata pale inapoonekana wazi na uthibitisho usio na shaka, hasa hiyo Ushoga na Usagaji. Mara nyingi suala linamalizwa kimya kimya...
  20. Q

    JamiiForums Tanzania John Heche: Hakuna sheria inayozuia mtu kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine ndani ya Tanzania. Ni Udikteta.

    Nchi hii hakuna sheria wala utaratibu wa polisi kupangia mtu aende wapi, au asiende wapi.. Polisi Tanzania hawana mamlaka kisheria wala kikatiba kuingilia uhuru wa watu kwenda wanapotaka wao wenyewe.. Polisi Nchi nzima wameweka barriers wanakamata viongozi na wanachama wa Bawacha waliokua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…