sheria

  1. JamiiForums Tanzania Ukiondoa kupita bila kupingwa unakua umeaondoa ununuzi na utekaji wa wagombea kwenye chaguzi. Ushauri, rekebisha Sheria kwa maslahi ya demokrasia

    Mazee mpo? Naenda kwenye hoja. Kiukweli moja ya uchafuzi mkubwa wa Democrasia ya vyama vingi ni ununuzi na utekaji wa wagombea wakati wa uchaguzi. Tumeamua multiparty democracy,ni vyema tukawa serious kidogo. Haiwezekani Tanzania Kila jambo linafanywa kisanii sanii. Democracy ni kuruhusu raia...
  2. JamiiForums Tanzania Huwa unafuata Sheria zipi au Utaratibu upi Mara uitwapo kwenye Mjumuiko (Jamii ya watu) ya watu au Date?

    Ni swali kwa wote ila Nitaanza na Sheria chache najua kuna wajuzi wengi wataziongezea.. Ukiomba kuonana na mtu eleza shida yako usimletee aliyekuita/Waliokuita umbea. Fika eneo la kukutania Kabla yake na Kama utachelewa mjulishe mapema ukiwa na sababu za msingi. Ukiwakuta watu wamekaa mahali...
  3. JamiiForums Tanzania Asante Rais Samia kwa Muswada huu. Umuhimu wa mabadiliko ya Katiba kabla ya Sheria hii bado ni muhimu sana. Huu ni uchambuzi Wangu - Part 1

    Wanabodi, Hii ni Nipashe Jumapili ya leo 19 Nov. 2023. Kama kawa, leo nimepata fursa tena kuwaletea makala elimishi ya uchambuzi wangu wa muswada huu wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa mwaka 2023, kwa muktaasari wa sura zote 10 za sheria hii, kuwaelimisha elimu ya uraia na...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Nani mwenye ushahidi au mfano wa BOT kuchukua hatua kwa watu binafsi na Taasisi zinazoto mkopo bila kuzingatia sheria ya huduma ndogo xa fedha?

    HIili swala la mikopo uumiza mitaani na na kwa njia ya online, limegeuka kilio na maumivu kwa watu wengi na ushahidi ni kuongezeka kwa nyuzi(thread) kuhusu mikopo umiza hapa hspa JamiiForums. Malalamiko haya hayajaanza leo, jana wala juzi, bali ni ya muda mrefu na bahati nzuri serikali ikaja na...
  5. JamiiForums Tanzania Kitanda kinazaa haram, sheria ya kupima DNA iangaliwe upya

    Habari wana nzengo, Sheria ya kupata kipimo cha vinasaba (DNA) hapa Tanzania ina mchakato mgumu kidogo. Ni kwamba ni ofisi maalum zinaweza kuomba kupata vipimo hivyo tu, katika kutekeleza majukumu yake. Either ni mahakama katika kutatua mgogoro, polisi katika uchunguzi, ofisi ya ustawi wa Jamii...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia aagiza waliokuwa wanaishi Bonde la Mto Msimbazi kinyume na sheria kulipwa Tsh. Milioni 4 kila mmoja

    Waziri wa TAMISEMI, Mohammed Mchengerwa amesema kuwa Serikali itaanza kuwalipa wakazi wa Bonde la Mto Msimbazi Tsh. Mil 4 kila mmoja kama sehemu ya fidia ili wahame eneo hilo. Malipo haya yataanza kufanyika kuanzia Novemba 16, 2023. === Hisia mchanganyiko za wakazi wa bonde la Mto Msimbazi...
  7. JamiiForums Tanzania Je, wajua Muswada Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani 2023 ni batili? Ni mvinyo wa zamani, kwenye chupa mpya? Why ubatili huu?

    Wanabodi, Kama kawa, leo nimepata fursa kuwaletea makala elimishi ya uchambuzi wangu wa muswada huu wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa mwaka 2023, kwa swali Je Wajua Muswada Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani 2023 ni Batili? Je, muswada huu ni mvinyo ule ule wa...
  8. JamiiForums Tanzania Plato alisema Demokrasia itafaa kwa wananchi wasomi tu; kugombea na kupiga kura si kila mtu anapaswa kupiga kura

    Hivi elimu ya ampiga kura inatosha kabisa kumwezesha mtu kupigiwa kura? Mimi naona kama waAfrika wengi demokrasia ipo lakini wananchi Hawana uelewa wa serikali na kwanini wanachagua viongozi. Wewe unaona je? Plato alisema huwezi kachagua mtu yoyote tu kwenda kuamua kuhusu Maisha ya watu. Labda...
  9. JamiiForums Tanzania Sheria ya droo (sare) kwenye mpira wa miguu iangaliwe upya

    Wakuu mpo? Naamini wengi tunaangalia mechi inayoelekea mwishoni kati ya Chelsea na Man City ila pia huenda tunnangalia mechi inayoendelea kati ya Lazio na Roma ambayo huenda ikaisha kwa suluhu ya 0-0. Hivi kwa logic ya kawaida ni sahihi Chelsea na Man City walifungana 4-4 wapate point moja...
  10. JamiiForums Tanzania Tujadili kifungu 47(3) cha Muswada wa sheria ya Tume ya Uchaguzi

    Nimeona hiko kifungu cha 47(3) kinaipa mamlaka Tume ya Uchaguzi kufanya maamuzi ya nani apige wapi kura siku ya uchaguzi wa Rais.... Watanzania mnakionaje hiki kifungu? Kinasherehesha haki au ndiyo tunaingizwa mkenge kama wa DP World?
  11. JamiiForums Tanzania Vyama Vya Siasa Vyasema Kusoma kwa Muswada wa Sheria ya Uchaguzi ni Ishara Nzuri

    Siku moja baada ya kusomwa kwa muswada unaokwenda kutunga sheria mpya itakayoanzisha Tume ya Taifa ya Uchaguzi itakayojitegemea, Vyama vya siasa vimesema ni ishara nzuri ya kuelekea kuwa na uchaguzi huru na haki. Wakati hilo likifanyika pia vyama vimesema umefika wakati sasa wa kuhakikisha...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Siyo lazima kila alama ya mvuka kwa miguu (zebra) dereva wa gari asimame, Sheria ifumuliwe imepitwa na wakati

    Habari Tunaongozwa na sheria zilizo expire muda wake! Iko haja sheria ya usalama barabarani ifanyiwe marekebisho kwani ilitungwa zamani enzi hizo Tanzania hatukuwa na barabara za lami na magari ya kutosha! 1. Siyo kila zebra lazima mwenye gari asimame hata kama hakuna mtu, lakini baadhi ya...
  13. JamiiForums Tanzania Hivi green guard ni jeshi usu? Kwanini mnapigia saluti Makonda na kuvunja sheria za nchi?

    Eti mnapiga saluti kama askari wa majeshi yetu. Acheni uduanzi wa kuvunja sheria za nchi. Kifungu cha 8E cha sheria ya vyama vya siasa inazuia kuunda vikundi kama green guard.
  14. JamiiForums Tanzania Miswada miwili ya sheria za uchaguzi yatua bungeni

    Leo tarehe 10 novemba 2023, Bunge limesoma miswada miwili ya sheria za uchaguzi kati ya miswada mitano iliyosomwa kwa mara ya kwanza. Miswada hiyo kuhusu sheria ya uchaguzi kwa mujibu wa bunge ni Muswada wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa Mwaka 2023; na Muswada wa Sheria ya...
  15. JamiiForums Tanzania Nyuma ya pazia nchi hii kuna ufisadi na uvunjaji mkubwa wa sheria

    Ukitaka kujua nyuma ya pazia nchi hii kuna ufisadi mkubwa na uvunjaji wa sheria angalia mambo haya mawili tu yaliyopigiwa kelele sana na wananchi. Kwanza kuna wale wabunge 19 wa chadema waliyotimuliwa uanachama na chama chao. Utaratibu tunaoujua tanzania mbunge akitimuliwa uanachama na chama...
  16. JamiiForums Tanzania Azim Dewji: Siku za Nyuma ripoti ya CAG ilikuwa Siri. Wanaochezea pesa za miradi watungiwe Sheria kali

    Mfanyabiashara maarufu nchini, Mzee Azim Dewji amezungumza na vyombo vya habari kumpongeza Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuruhusu mjadala wa ripoti ya CAG unaoendelea bungeni kuwa mjadala wa wazi, amesema uwazi huo utasaisia wezi wa pesa za miradi kuacha tabia hiyo Kwa upande mwingine...
  17. JamiiForums Tanzania Busara, hekima na sheria

    Habari za muda huu waunhwana. Leo nimependa tuongee kidogo kuhusu busara na sheria Katika kila taasisi kuna uongozi na uongozi huo ni kuongoza watu wenye akili, mtazamo, uelewa na pengine malengo na imani tofauti ambavyo huenda vyote hivyo haviendani na taasisi au malengo ya taasisi. Je, nini...
  18. JamiiForums Tanzania Mbunge Esther Malleko alishauri Bunge kutunga Sheria za Kuwadhibiti wabadhirifu wa Fedha za walipa kodi

    MHE. ESTHER MALLEKO ALISHAURI BUNGE KUTUNGA SHERIA ZA KUWADHIBITI WABADHIRIFU WA FEDHA ZA WALIPA KODI "Nampongeza Rais Samia Suluhu Hassan, nayasema kwa moyo wa dhati kwa namna ambavyo ameweza kufanya kazi kubwa. Tumeona miradi mikubwa inayofanyika katika Majimbo na mikoa yetu. Nitakuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Sheria ya Uchaguzi: Je Tupige Ndege Wawili kwa Jiwe Moja kwa Uchaguzi Serikali za Mitaa/Mkuu, Ufanyike Siku Moja au Tuendeleze Mazoea?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala zangu elimishi kwa Maslahi ya Taifa, ambazo ni kuhusu jambo lolote la Kisiasa, Kiuchumi au Kijamii . Bandiko la leo ni bandiko muendelezo Mnaonaje Uchaguzi wa Serikali za Mtaa Ufanywe Siku Moja na Uchaguzi Mkuu na Usimamiwe na...
  20. JamiiForums Tanzania Sheria ya Mafao ya wenza wa viongozi wakuu: Usultani unapiga hodi!?

    Mwananchi huyu kaeleza yote. Kati ya sheria za kuchekesha na kuudhi kwa pamoja kwa mlipa kodi, ni hii sheria iliyopitishwa na Bunge wiki hii. Ati nao WENZA wa viongozi wakuu , nao wapewe mafungu ya pesa zilizokusanywa kama kodi kutoka kwa walalahoi. Sasa mwenza naye ameshakuwa kiongozi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…