sheria

  1. G

    JamiiForums Tanzania Nalazimishwa kumuoa binti niliyemzalisha lakini nimegoma. Sheria za nchi zinasemaje?

    Imetokea kuna binti 21 yrs, nilikuwa napunguza naye upwiru (siyo mchumba), akapata mimba na kujifungua mtoto. Wazazi wake hawanijui hata chembe maana miji (, hometowns) yetu ni tofauti na iko mbalimbali lkn binti kanitaja kwao kuwa mimi ndiye mhusika. Sasa Jana jioni, baada tu ya mtoto kutimiza...
  2. JamiiForums Tanzania SoC04 Itungwe sheria ya kila nyumba ya ibada kuwa na kituo cha kulea watu wenye mahitaji maalum kama yatima, wazee na walemavu

    Nyumba za ibada kwa maana ya makanisa na misikiti ni sehemu ambazo waumini wa dini kuu mbili yaani wakristo na waislamu hukutana katika siku zao maalumu kwa ajili ya kufanya ibada na mikusanyiko mingine. Kwa kipindi kirefu nyumba hizi zimekuwa na mchango mkubwa katika jamii kwa kushiriki moja...
  3. JamiiForums Tanzania ifike mahali sheria ya mavazi itungwe hasa kwa wanawake.

    wakuu ukweli tu usemwe huu uzungu sijui niuite uwhiteblack,,, sikuizi umetimba sana mjini hapa wenzetu wana miili iko simple lakin uku bongo kitu kiki trend wao wanazidisha sasa.. ifije mahala haya mavazi nyakati za harusi sheria itungwe wanawake wavae vitenge,, sasa hapa mali yote inejichoraaa...
  4. JamiiForums Tanzania Kuishi Afrika ni sawa na kuishi vitani, usipokuwa mkali utaonewa, hii ni kwasababu watu wake hawatii Sheria wala kuheshimu haki

    Kuishi Afrika ni sawa na kuishi vitani, usipokuwa mkali utaonewa, hii nikwasababu watu wake hawatii Sheria wala kuheshimu haki Afrika ni bara linaloongoza kwa kesi nyingi zinazosababishwa na kuvunjwa kwa sheria ndio maana Waafrika wanaohamia mataifa makubwa kama Ulaya, China, Japan, Germany...
  5. JamiiForums Tanzania Video Clip: Jerry Silaa adai kuna Jaji anamlinda tapeli wa viwanja

    Awali "Y" alikuwa Wakili na aka attest nyaraka za Mzee "X". Hatimaye Tapeli "Z" akadhulumu kiwanja, kesi ikafunguliwa. Na kwa bahati mbaya ikaanguka kwa Jaji "Y" ambaye ndiye alikuwa Wakili wa Mzee "X". Na sasa Jaji "Y" anawaita Mawakili wa Serikali kutaka kuwa CORRUT. Je huyu Jaji "Y" ni...
  6. JamiiForums Tanzania Kuna haja ya sheria ya Ndoa kufanyiwa maboresho, watu wakizaa pamoja basi ihesabike ni Ndoa halali

    Ni hayo tu , haiwezekani unazalisha mwingine unakwenda oa mwingine kisa hampendani au kuendana au una zaa na mwingine kirahisi tu unakwenda olewa na mwingine. AU huoi kabisa Haya maumivu ya kisaikolojia wanayosababishiana watu hayana afya kwa jamii
  7. JamiiForums Tanzania Maajabu ya lugha ya kingereza (sehemu ya tatu). Sheria ya T zinapokutana

    Habari zenu wana JF! Hii makala imebidi niiandike kwaniaba maana nimeona baadhi ya watu hawaijui hii sheria ya T T zinapokutana katika lugha ya kingereza T zinapokutana basi T moja haitamkwi na T iliyobaki inatamkwa kwa kukazwa. Mfano: 1. streeT Town. Neno hili litatamkwa stree 'Town. 2...
  8. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tunayoitaka: Tufundishe masomo haya kuanzia Awali, Msingi, Sekondari na kuendelea

    Elimu ni nguzo kuu sana kwa maendeleo ya nchi yoyote. Kwa kuzingatia hilo, nadhani kuna umuhimu zaidi wa kufundisha masomo yafuatayo ambayo yanazingatia mahitaji ya sasa na ya baadaye kwa maendeleo ya nchi yetu, kuanzia elimu ya awali, msingi, sekondari, na kuendelea: 1. Kusoma, Kuandika, na...
  9. JamiiForums Tanzania Mbunge Edward Ole Lekaita Atoa Darasa la Sheria Kuhusu Kutatua Migogoro ya Ardhi Nchini

    MBUNGE EDWARD OLE LEKAITA ATOA DARASA LA SHERIA KUHUSU MIGOGORO YA ARDHI NCHINI "Mhe. Jerry Silaa tangu umeteuliwa umefanya kazi kubwa hasa kupitia Kliniki ya Ardhi, endelea hivyo hivyo kwani matarajio ya Mheshimiwa Rais na wananchi walio wengi wanataka migogoro ya Ardhi iishe na tuwasikilize...
  10. JamiiForums Tanzania Hivi kituo cha sheria na haki za binadamu(LHRC), kinawatetea tu wanawake

    Nashangazwa na utendaji kazi wa taasisi hii (LHRC) Huwa wanaibuka pale anapoguswa mwanamke lakini kati hutawaona mwanamke akidhalilisha mwanaume. Sasa wanamwandama makonda , Jana walimwandama Ngosha wa Goba, juzi wakamwanda Oscar Oscar. Lakini hawakujikutokeza kumuonya Christina Shusho...
  11. JamiiForums Tanzania Sheria zetu zimeshindwa kuwathibiti matapeli wa ardhi?

    Haya ni miongoni mwa "mauozo" machache: 1. Kiwanja kimoja kumilikishwa kwa watu zaidi ya mmoja 2. Wamiliki halali wa rdhi kupokonywa maeneo yao kinyemela 3. Shamba au kiwanja kimoja kuuzwa kwa zaidi ya mtu mmoja. 4. Watu kuuziwa mashamba/viwanja hewa Wauzaji wa viwanja hewa, kwa mfano...
  12. A

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kuanzishwa kwa Somo la Sheria, kuanzia shule za msingi mpaka Sekondari

    Jamii inauhitaji mkubwa wa kujua SHERIA mbalimbali muhimu. Kutojua SHERIA sio sababu ya mtu kujitetea dhidi ya shitaka lolote linalomkabili mbele ya mahakama, hivyo kunauhitaji mkubwa kwa jamaii kujua SHERIA. Pia kupitia ufundishaji huo wa SHERIA mashureni, utawawezesha pia watoto kujua haki...
  13. JamiiForums Tanzania Mapinduzi ya sheria na mifumo ya kodi kwa maendeleo

    Mamlaka ya Mapato wamekuwa wakijitahidi sana kukusanya mapato (kodi) kwa kutumia mbinu mbalimbali ili kufikia malengo ya mwezi na mwaka. Mpanuko wa mahitaji ya fedha katika nchi umekuwa ukiongezeka kila leo na kila mwaka, hivyo mahitaji ya fedha yamekuwa makubwa hata kupelekea nchi kukopa zaidi...
  14. JamiiForums Tanzania Zambia: Wananchi wapinga Serikali kuanzisha Sheria ya Kudhibiti Vyombo vya Habari vya Mitandaoni

    Tangazo la Serikali kuitaka Mamlaka Huru ya Utangazaji (IBA) kuongeza Kanuni mpya zitakazodhibiti Uendeshaji wa Vyombo vya Habari vya Mitandaoni limeibua malalamiko ya Wananchi wanaodai zinalenga kuminya Uhuru wa Habari na Kujieleza Baadhi ya Wanahabari na Wanaharakati wamesema "Kuna haja...
  15. JamiiForums Tanzania Wadau: Tutasubiri upatikanaji wa sheria mpya za Habari Zanzibar mpaka lini?

    ZANZIBAR. WADAU wa vyombo vya habari wameiomba serikali ya Mapinduzi Zanzibar kukamilisha mchakato wa marekebisho ya sheria za habari zilizotolewa maoni na wadau ili kutoa mazingira rafiki kwa waandishi wa habari kutekeleza majukumu yao bila vikwazo. Imeelezwa kwa muda mrefu licha ya wadau...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Kumbe TRA hawatungi Sheria za Kodi

    Nimesikiliza clip mbili za Waziri wa fedha Mwigulu Lameck Nchemba akizungumzia kuhusu ukusanyaji wa kodi na ingine akiongelea madeni ya kodi bungeni leo. Kuna ujumbe naona kama waziri alikuwa anamjulisha mtu bungeni leo sijajua ni nani hasa. PIA SOMA - Serikali yasisitiza matumizi ya mashine za...
  17. JamiiForums Tanzania Ili kuchochea uboreshaji wa viwanja LIGI KUU wadau mbali mbali wa soka waandae maandamano ya "viti" na "magunia" kwenye kila mechi.

    Habari wakuu, Mpira wetu umepiga hatua mbili mbele, ila viwanja vyetu vimepiga hatua mbili nyuma. Leo hii Feitoto anachuana na Aziz ki kuchukua kiatu cha mfungaji bora, kipa Rey Matampi anapambana na Diara kuwania tuzo ya golikipa bora, wakati huo Simba akipambana na Azam kupigania nafasi ya...
  18. JamiiForums Tanzania Profesa Ndakidemi ataka bunge litunge sheria mashoga na wasagaji wanyongwe

    Mbunge wa Jimbo la Moshi Vijijini(ccm),Profesa Patrick Ndakidemi amewataka wabunge kutofumbia macho vitendo vya ushoga na usagaji vinavyoendelea kushika kasi nchini na kushauri bunge kutunga sheria Kali kwa wanaojihusisha na vitendo hivyo ikiwamo adhabu ya kunyonywa. Profesa Ndakidemi ametoa...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali imesema imeandaa Sheria na kanuni ili kumlinda mlaji

    Na. Saidina Msangi, WF, Dodoma Serikali imesema imeandaa Sheria na kanuni ili kumlinda mlaji, na kuhakikisha kuwa bei za bidhaa na huduma zinapangwa kwa msingi wa nguvu ya soko. Hayo yameelezwa bungeni, jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), wakati akijibu swali...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa jinsi hali ilivyo nchini, ukipewa nafasi kuwa Waziri wa Katiba na Sheria utabadili nini kuongeza Uwajibikaji na Haki?

    Kama leo imetokea umepata nafasi ya kuwa Waziri wa Katiba na Sheria, ukangalia hali ya masuala ya Kisheria nchini pamoja na mfumo wa utoaji Haki, utaanza na mabadiliko gani ili kuongeza Haki na Uwajibikaji nchini?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…