ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 2,941
- 6,581
Nashangazwa na utendaji kazi wa taasisi hii (LHRC) Huwa wanaibuka pale anapoguswa mwanamke lakini kati hutawaona mwanamke akidhalilisha mwanaume.
Sasa wanamwandama makonda , Jana walimwandama Ngosha wa Goba, juzi wakamwanda Oscar Oscar.
Lakini hawakujikutokeza kumuonya Christina Shusho alivyomdhalilisha mmewe,
Hatukuwaona wakiwaonya Pauline Gekul alivyomdhalilisha kijana Kwa kumwekea chupa kijana sehemu ya haja kubwa.
Hawawakemei wanawake wanatoa faragha za waume zao hadharani na Huwa wanapongeza.
Au mwanaume hana mtetezi ikitokea mwanaume amedhalilishwa akachukua sheria mkonono mtaanza maneno.
Binafsi sioni kosa la makonda, yule mama alikosea mno watu wanahojo vitu vya msingi yeye analegeza sauti akihojiwa eti kadhalilishwa, kadhalilishwa vip kwani kavuliwa nguo, kachwapwa viboko, alibakwa au udhalilishaji Gani ulifanywa,
Yani kumsihi mtu aongeze sauti ndo kumdhalilisha