UKIBISHA HAPA HUTOBOI mkuu
1. Kama uliumiza watu kuna siku utaumizwa,
2. Kama ulisaidia watu kuna siku utasaidiwa
3. Kama ulikdhurumu watoto kwa Mali za wazazi wao wakati ulikua msimamizi wa mirath ipo siku utarudi 0 kimaisha,
4. Kama kuna siku ulitengeneza connection kimaisha kwa watu ipo siku...
Lazima tubadili sheria ya uteuzi ili mtu asije kuwaondoa wakuu wa usalama wazalendo na kuwaweka watoto wake au machawa wake ataharibu nchi.
Raisi ataendelea kuwa na mamlaka kwenye vyombo vya usalama lakini sio kwa maslahi yake binafsi.
Samia Hakuna sheria inayokataza mtu kuongelea siasa za Tanzania. mbona mikopo na misaada na tuzo wakitoa uwa hawaingilii siasa za nchi, wewe utaratibu huu umeutoa wapi ?
watanzania tunataka utawala wa kisheria na wa haki na sio hisai au hila za mtu wala kitu kingine,
Huu utaratibu wa kumkamata mtu bila kosa lolote kumpiga na kumtupa maporini Jeshi la polisi ndio sheria zetu zinasama hivi ?. Hii ni kwa mara ya kwanza nchi kushuhudia unyanyasaji mkubwa wa binadamu kwenye utawala wa samia.
Huu ni uthibitisho tosha kuwa nchi haina utawala wa sheria, jeshi la...
habari wadau.
naombeni mnijibu kwa nini leo hii wachungaji kanisani wanafata mistari ya biblia ya agano la kale kukusanya sadaka za fungu la kumi kwa waumini wao, na wanasisitiza ni sheria ya Mungu usipotoa ujue unamuibia mungu.
ila sheria zingine za agano la kale wachungaji na makanisa...
Wakuu Hii ni sehemu ya hotuba ya baba wa Taifa Mwl. Julius Nyerere aliyoitoa siku ya wafanyakazi Duniani Mei1, 1995 Mjini Mbeya. Pengine angekuwepo leo angesema 'No reforms No election'
===
Hoja ya kuruhusu wagombea binafsi
Nataka kusema kauli ya mwisho kuhusu sheria ya uchaguzi ilivyo sasa...
NIANZE kushukuru Mungu
Allah swbaahannah watalla
Mjaza Neema
Ndogondogo na KUBWA
Ndefu na fupi
Nene na nyembambaaaaa
NIMEONA mda huu viongozi WA TFF na BODI mtakuwa mmeshaongia OFISIN kama hamna emergency yoyote kama magonjwa wagonjwa ama misiba ya karibu
NDUGU ZANGU mgutthooo na karia na...
Kuna ambao hapa wanasema kila siku tunataka nchi ya amani na kufuata sheria sasa je watekaji wanafuata sheria
Kama serikali inafuata sheria na katiba kwanini Polisi na usalama wanateka watu? hiyo ya juzi
https://youtu.be/kIxFCHt9t1A?si=bxFkzJxgjLraKtI7
Salaam tutasalimiana siku nyingine Leo tuingie kwa topic chap chap, hakuna kupoteza muda harufu ya damu imenipanda.
Nianze kwa yaliyonitokea miaka 6 iliyopata. Mwaka 2019 nikiwa mkoa Y nilipata tukio lililonoachia kovu kubwa sana. Nilikua na biashara mbili Moja ya pharmacy na dukani kuuza vifaa...
Ndugu zangu Watanzania,
Kupiga makelele, kupaza Sauti au kuzungumza vyovyote vile kwa lengo la kushinikiza na kulazimisha lissu aachiwe huru bila Masharti ni kujidanganya ,ni kupoteza muda ni kupiga makelele yasiyo na msingi ,ni kuwasumbua watu tu na kujitia ujinga tu usio na msingi...
Msameheni msajiri wa vyama ya siasa hajafanya kwa kumaanisha kwa sasa hakuna usalama tena nchini.
Kama kungekuwa na utawala wa sheria na haki msajiri angekuwa huru kufanya maamuzi lakini kwa kuunganisha matukio ni wazi kuenguliwa kwa viongozi wa chama kama ilivyo kwenye kuwapa kesi za uhalifu...
UKAMATAJI, KIZUIZI NA MIPAKA YA MAMLAKA: HAKI ZA MSINGI KATIKA SHERIA YA TANZANIA
Katika mazingira ya kawaida ya maisha ya kila siku, si jambo la ajabu kusikia mtu amekamatwa either barabarani, ofisini au hata nyumbani kwake mbele ya familia. Wapo waliowahi kushuhudia mtu akibebwa kimya kimya...
Zanzibar leo Mei 8, 2025, imeweka historia ya kuwa mwenyeji wa Mkutano Mkuu wa kwanza wa Sheria za kazi, Mkutano huo ulioandaliwa na Taasisi ya Tanzanite CEO Roundtable - Zanzibar Chapter kwa kushirikiana na Kamisheni ya Kazi Zanzibar (ZLC), mkutano huo wa siku moja umefanyika katika Ukumbi wa...
Kimsingi, hauwezi kumuadhibu mtu au taasisi kwa sheria au kanuni ambayo haipo.
Kwenye sakata la derby ya Yanga vs Simba ambalo tumekuwa nalo kwa miezi kadhaa sasa, imetuonyesha mapungufu ya kanuni mbalimbali za uendeshaji wa ligi na adhabu zake.
Tukiacha yote hayo, moja ya mapungufu makubwa ni...
Serikali ya Tanzania imeweka wazi msimamo wake kuhusu hali ya kisiasa nchini, ikisisitiza kuwa hakuna sheria zilizovunjwa katika kutekeleza majukumu yake kama taifa huru na linalozingatia utawala wa sheria.
Akizungumza na wahariri jijini Dar es Salaam, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa...
Jana tukijiandaa kuingia mahakamani, tulibishana hoja kadhaa na mawakili wenzangu, kuna Revised Edition 2023 ambayo Rais Samia alizindua hapa juzi na tukaambiwa inauzwa milioni 4, sheria hizo zilizohuishwa tunaambiwa zitaanza kutumika July 2025.
AG Feleshi aliyepita alipohuisha R.E 2022...
Uhuru wa Kujieleza:
Mwaka 2024, uhuru wa kujieleza uliathiriwa na sheria kandamizi, kusimamishwa kwa leseni za vyombo vya habari, na matukio ya kukamatwa, kushambuliwa, kunyanyaswa, na kufungwa kwa waandishi wa habari.
Pia kulikuwa na Vikwazo dhidi ya uhuru wa kisanii na ubunifu. Ingawa...
Meta inatishia kufunga Facebook nchini Nigeria kutokana na kutozwa faini kubwa
Watu nchini Nigeria wanaweza kupoteza ufikiaji wa Facebook na Instagram baada ya kampuni mama ya Meta kusema ilikabiliwa na faini kubwa na matakwa ya udhibiti "yasiyo halisi" kutoka kwa mamlaka ya Nigeria.
Mwaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.