Kuelekea uchaguzi mkuu October 29, Jana August 20, kamanda Jumanne Murilo alifanya tathmini ya UHALALI wa kauli mbiu ya "October tunatiki" ya CCM, dhidi ya "No reforms No ection" ya CHADEMA.
Kwa maoni yake, alihitimisha kwa kusema "October tunatiki ni HALALI na "No reforms, No election" ni...
Matendo ya zamani yanabaki ni makosa mbele za Mkono wa sheria hata kama ukiamua kuanza kufuata sheria leo.
Kwa kusema hivyo kumbe mtu yeyote akiamua kuanza kuishi kwa kufuata sheria leo, makosa aliyoyafanya jana bado yanamhukumu.
Ndio maana watu huomba msamaha kwanza ili wapate kusamehewa...
Tunaokolewa kwa imani katika Yesu Kristo na sio kwa kufuata SHERIA.
Tunahesabiwa haki kwa imani ndani ya Yesu Kristo na si kwa matendo ya sheria. Wokovu ni kwa neema kupitia imani ya Yesu Kristo, si kwa jitihada za kufuata sheria.
YESU ANASEMA MKINIPENDA MTAZISHIKA AMRI ZANGU.
KUSHIKA AMRI...
Kutoka X: Wenye njaa Sasa pale Lumumba wanavyo kasirika sasa.wanajisahaulisha kuwa hii NCHi ni ya vyama vingi Sasa hawataki.
Mwl. Nyerere alionaga mbali Sana alijua hawa MaCCM HOFU NDANI YAO watasumbua waTanganyika
Naiona CCM ikipasuka kama KANU. Na mpasuko huo utaleta tumaini jipya kwa...
Akizungumza Jumatatu Agosti 18, 2025 Mwenyekiti wa baraza la vyama vya siasa Juma Khatibu katika Mafunzo kuhusu Sheria ya Gharama za Uchaguzi yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), mkoani Dar es Salaam, Khatibu amempongeza Msajili wa Vyama vya...
Kupitia Ukurasa wake wa Instagram, Dkt. Godwin Mollel ambaye ambaye pia ni Naibu Waziri wa Afya anayemaliza muda wake ameandika ujumbe huu kuhusu Askofu Josephat Gwajima:
Hakuna aliyefunga Makanisa ya Gwajima ni yeye Mwenyewe Gwajima kafunga Kwa kuvunja Sheria alizo ridhia yeye mwenyewe na...
Nchi nyingine wana sheria kali dhidi ya kuchangiwa pesa kutoka nje ya nch au na wasio raia.
Hawataki nguvu au mawazo ya watu Urusi iamue nani anatawala Wafaransa, kwa mfano. Kwa saab ni lazima ana lake jambo, la maslahi yake yeye, vinginevyo anajali nini, mambo ya Wafaransa yanamhusi nini...
Tayari ameshaanza kuona dhahiri shahiri, athari za mizaha, kutafuta tension kizimbani, kuja mahakamani kwa matumaini na matarajio hewa na ujuaji mwingi usio na faida kwake na kwa wafuasi wake na ambao unampotezea muda mwingi zaidi kusota mahakamani na korokoroni daily, huku giza totoro likitanda...
Kuna rafiki yangu alikuwa na mwanamke akafanikiwa kuzaa naye watoto wawili,badaye akaachana na huyu mwanamke akao mwanamke mwingine akafanikiwa kuzaa naye mtoto mmoja.
Bahati mbaya huyu rafiki yangu akafariki huku akiacha watoto watatu,wawili kwa mke wake wa kwanza wa miaka 13 na 11,na mmoja...
Bodi ya Nidhamu ya CAF imefungulia mashitaka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa kuvunja masharti ya Usalama na Ulinzi kama yalivyoainishwa katika Kanuni za Nidhamu za CAF, Ibara ya 82 na 83, pamoja na Ibara ya 24 na 28 za Kanuni za Usalama na Ulinzi za CAF.
Mashitaka hayo...
Baada ya Mahakama Kuu ya Masijala ya Dar es Salaam kukubali ombi la upande wa Jamhuri la kuficha majina na taarifa nyingine za mashahidi raia wa upande wa Mashitaka katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, chama hicho kimesema kinaipinga Sheria hiyo ya iliyopitishwa...
Ni muhimu sana kwa watu kujua sheria,kuzisoma,kuzitafsiri,namna ya kuzitunga nk.
Watu wengi wanakutana na kadhia lakini wanashindwa hata kujua ni namna gani afungue kesi mahakani mpaka amtafute mwanasheria ama wakili ndio amsaidie.
Kuna ulazima wa kuwa na somo liitwe FUNDAMENTALS OF...
Ni lazima tuseme kwa uwazi na kwa msisitizo: hakuna ushahidi wa ‘siri’ uliowahi kuwepo katika muktadha halali wa kisheria wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni uhalisia wa legal fact, na kinyume chake ni manufactured narrative inayokiuka misingi ya Katiba ya JMT, hususan Ibara ya 13(6)(a)...
Katika hotuba ya Bajeti 2025/26 iliyosomwa na Mhe. Waziri wa Fedha Ndugu Mwigulu Nchemba ilitamka wazi kuwa kuanzia Bajeti mpya HOTEL LEVY imepunguzwa kutoka asilimia 10 mpaka asilimia 2. Wengi wa Wafanyabiashara hawana taarifa hii lakini wanapoenda Halmashauri bado wanalipishwa Hotel Levy kwa...
Ukipita mitandaoni, sehemu mbalimbali mitaani, iwe mijini na vijijini, lawama za watanzania wengi zimekuwa zikielekezwa kwa mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) kwamba ina uonevu mkubwa kwa wafanyabiashara na imekuwa ikianzisha tozo au kodi mbalimbali ambazo zinalenga kumkandamiza mfanyabiashara au...
Mwabukusi na WENZAKO wote nyie ni vihiyo haiwezekani mnajua Lissu sio muhaini nyie mmekaa TU mmeshindwa hata kuandaa maandamano ya kushikiza aachiwe
Hivi Jana mliona alivyosukumwa kama kondom iliyotolewa kwenye sehemu za Siri za kiume zilizomaliza kujamiana
Shame on you all rubish lowyer...
Eti maboss niambie kitu kimoja nijue kinahusiana vipi kuna huyu mtalaam wa kuandika hizi acts kwa sasa anaitwa Bw. Onorius John Njole sasa kwanini anakuwa ofisi yake ni tume ya pamoja ya fedha chini ya wizara ya fedha me nilifikiria labda angekuwa chini ya taasisi kama Bunge, mahakama,n.k
In every functioning democracy, polling agents play a critical role in ensuring transparency, accountability, and integrity at polling stations. However, in Tanzania, the legal provisions permitting the deployment of polling agents by opposition parties are routinely undermined. While electoral...
Leo hii, Tundu Antiphas Lissu, mwanasheria wa kiwango cha juu, anarejea katika chombo cha haki — mahakama — si kwa ajili ya maigizo ya kisiasa, bali kwa ajili ya kuitafuta na kuisimamia constitutional justice kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hususan Ibara ya 13(6)(a)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.