sheria

  1. JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania sheria ya viumbe hai ikoje?

    Tunaona mara kwa mara operations za kuwaua baadhi ya viumbe hasa wanyama kwa sababu fulani fulani. Sikatai uhai wa binadamu ni muhimu na unatangulizwa mbele (unapewa kipaumbele) dhidi ya uhai wa viumbe wengine Lakini nashangaa na ninaona kama muda mwingine hatua inayochukuliwa ni ya juu mno...
  2. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Video: Mbunge wa Jimbo la Kibra, Peter Ochieng Orero akivunja sheria za barabarani na kujihami kwa maneno 'Peleka kwa Ruto'

    Mbunge wa Jimbo la Kibra, Peter Ochieng Orero, aliyeteuliwa kupitia uchaguzi mkuu wa Agosti 2022, alinaswa Oktoba 9, 2025 katika kisa cha mvutano barabarani na mwandishi wa habari wa CNN kutoka Kenya, Larry Madowo Video iliyorekodiwa na Larry inaonyesha mbunge huyo akiwa ndani ya gari aina ya...
  3. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ashangaa kuwa kuna kikao kimekaa na kupanga hukumu yake kuwa 12/11. Awataka majaji waeleze limetoka wapi hilo na kwa sheria gani..

    Kama tunavyojua leo tarehe 6/10/2025 kesi ya uhaini ya Tundu Lissu inaanza kusikilizwa mfululizo kwa jamhuri kuanza kuwasilisha ushahidi wa mashikata yao.. Mara baada ya mahakama kuanza, Tundu Lissu ameibua hoja tatu za kisheria ambazo imewalazimu majaji kuahirisha mahakama kwa dakika 30 ili...
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Ni muhimu polisi wafuate sheria za ukamataji ili kuondoa sintofahamu

    Imeshakuwa ni jambo la kawaida watu waliovaa kiraia na gari la kiraia kuondoka na mtu kisha baadae mnaambiwa alikuwa polisi. Wengine wanapotea kauli inatoka waliomkamata hawakuwa polisi. Huu mkanganyiko ni kwa kuwa mara nyingine inakuwa shida kutofautisha watu hawa, na itakuwa matokeo ndio...
  5. JamiiForums Tanzania Watu wa sheria naomba mnisaidie kwenye hili: Muuaji na mwizi akikimbia Bara akakimbilia Kisiwani, mnaweza kumrudisha, au hakuna huo utaratibu?

    Nilikuwa nauliza hivyo tujue utaratibu uko vipi. Kuna mtu tumekuwa tukimuhusisha na muuaji ya ndugu zetu pamoja na utopeaji wa hela tunazichanga kila siku. Ila kuna tetesi anataka kukimbia nchi, sasa nawaza akikimbiilia hapo visiwani anaweza kurudishwa huku bara au hilo haliwezekani
  6. R

    JamiiForums Tanzania Wahamiaji 11 kutoka Marekani waishtaki Serikali ya Ghana kwa Kuzuiliwa kinyume cha Sheria

    Watu 11 waliorejeshwa nchini Ghana kutoka Marekani wameifungulia mashtaka serikali ya taifa hilo, kwa madai ya kuzuiliwa kinyume cha sheria. Wakili wao, Oliver-Barker Vormawor, ameiambia BBC kuwa wateja wake hawajavunja sheria yoyote ya Ghana, lakini walihifadhiwa kwenye kambi ya kijeshi bila...
  7. JamiiForums Tanzania Maxence Melo: Mamlaka za Serikali na zenyewe zifuate sheria

    Mamlaka za Serikali na zenyewe zifuate sheria,' anasema Maxence Melo Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Africa
  8. JamiiForums Tanzania Walitumwa wakidhani wanatekeleza sheria mpya wanakula mtama tunduni

    Tai kazoea kunyakua vifaranga bila resistance. Bosi wa kampuni akatoa agizo vifaranga vilivyopo mabanda ya mbali kwamba washughulikiwe. Tai wanne waliotumwa kwa Anko Tom wameishia mikononi mwa wanaojulikana. Wanashindia uji na migebuka kwa sasa. Mashavu muimba taarabu anazidi kujisogeza mwisho...
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Chama Cha Wanasheria wa Serikali: Hakuna Anayeijua Sheria Kuliko Wakili wa Serikali

    Rais wa Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania (TPBA), Bavoo Junus, amewaonya wananchi kuepuka kujadili masuala ya kisheria bila kuwa na uelewa wa kutosha, akisema kitendo hicho kinasababisha upotoshaji unaoweza kudhoofisha imani ya jamii kwa taasisi za sheria. Akizungumza leo Ijumaa, Septemba...
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Wakili Madeleka: CHADEMA wanavunja sheria waende mahakamani

    Sehemu ya mazungumzo na Wakili Peter Madeleka ambaye ni Waziri Kivuli wa Katiba na Sheria kupitia chama cha ACT-Wazalendo, na mgombea Ubunge wa Jimbo la Kivule 2025 - 2030 kuhusu sababu iliyomwondoa CHADEMA. CHADEMA walisema hawangeshiriki uchaguzi mkuu na kutoa wito wa mabadiliko fulani ya...
  11. JamiiForums Tanzania JamiiForums Imezuiwa Siku 90? TOR Ndiyo Suluhisho Bila Form ya TCRA!

    Habari za Jumapili wadau wa JamiiForums! Leo nimekujieni na hii thread, haswa baada ya jana kusikia kuwa JamiiForums imepigwa ban ya siku 90 na TCRA kwa kile wanachodai ni maudhui yanayopotosha! (Kulingana na taarifa rasmi za TCRA Septemba 6, 2025, hii suspension inaanza mara moja na...
  12. JamiiForums Tanzania Walio mhoji Murilo sakata la kukamata watu kisha kuwapiga na kuwatupa porini nilisikia amewaambia eti amefuata sheria ?

    Nilisikia murilo anasema alifuata sheria kwenye lile sakata la kuwakamata watu na kuwapiga na kuwatupa porini kwamba ni la kisheria. Mlio muhoji mbona hamkumuuliza vizuri ni sheria gani hiyo isiyo staharabika ya kutupa watu porini, mimi sijasoma sheria lakini haipo sheria kama hiyo. Kama...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Barabarani kuna watu wana Immunity, usijaribu kuiga. Sheria haziwahusu

    Namaanisha sheria za Barabarani, Leo walitaka kunilaza ndani. Nimefuata gari zenye namba za kibalozi! Ilikuwa rahisi hadi niliposimamishwa na Polisi muda mchache baada yakuvuka Mkata. Barabara ya Dar - Moshi. Hawa jamaa wako na gari mbili LC 300 wamenikuta Msata kuna kimgahawa pale...
  14. JamiiForums Tanzania Wamiliki silaha kinyume na sheria kusamehewa

    Jeshi la Polisi kupitia Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Innocent Lugha Bashungwa(Mb) kwa mamlaka aliyopewa chini ya Kifungu cha 66 cha Sheria ya Udhibiti wa Silaha na Risasi ya Mwaka 2015, Sura ya 223 na marejeo ya mwaka 2023 ametoa msamaha wa kutoshitakiwa kwa wamiliki wa silaha kinyume...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini kusiwe na sheria ya mtu kuchagua dini/dhehebu akifikisha miaka 18?

    Habarini, Kumekuwa na mgongano wa maslahi karibu kwenye kila famila ya kiafrika pale linapokuja swala la wazazi kuanza kumpeleka mtoto mdogo kuabudu dini fulani wakati mtoto hajui lolote na baadae anafuata na kukubali asichokijua bali alichoaminishwa tangu utoto. Kama mambo mengi ikiwemo...
  16. JamiiForums Tanzania Tukio lililobadili sheria za ndondi kwenye muda

    Katika historia ya ndondi, mechi ndefu zaidi ilikwenda raundi 110, iliyochukua zaidi ya masaa 7. Andy Bowen na Jack Burke, miamba miwili ya ndondi Wawili hap , walipigania taji la ubingwa mnamo Aprili 6, 1893, huko New Orleans. Kuanzia katikati ya usiku , mapigano yaliendelea hadi asubuhi...
  17. JamiiForums Tanzania Hili la kuzuia kuruhusu maiti kuchukuliwa bure mbona linakinzana na sheria ya bima ya afya kwa wote? Kina nani hao watatozwa pesa za matibabu?

    Serikali imeanzisha utaratibu wa kodi ili kugharamia maswala ya bima ya afya kwa wote. Kwanini mgombea urais wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi ameahidi kuruhusu wanaofariki na kushindwa kulipia gharama za matibabu ndugu zao wataruhusiwa kuchukua maiti bure! Swali ni kina nani hao...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere: CCM inatumia sheria kwasasa haikubaliki

    Hali ya Tanzania ya sasa ni hii hapa Nyerere quoted 😰😰😰🤝 https://www.facebook.com/share/v/17PEnm9VsA/
  19. JamiiForums Tanzania GE2025 MWABUKUSI nenda bungeni zinakotungwa sheria, kelele za nje ya Bunge ni too late

    Sheria ni sheria hata kama ni sheria mbaya. Uchaguzi huu unaendeshwa kwa mujibu wa sheria zetu hadi hapo sheria itakaposema vinginevyo. Kelele zinazosikika za akina MWABUKUSI na wengine ni kelele za kutaka watu wapindishe sheria ili kuwaridhisha watu wasioipenda sheria husika. Katiba hii ni...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Dhana ya wasomi tu kuwa wabunge Tanzania kwa kigezo cha kutunga sheria imepitwa ma wakati

    Kazi ya mbunge siyo kutunga sheria tu pia siyo sheria zote hutokana na wabunge hasa ukizingatia wabunge wasomi ndiyo wameifikisha Tanzania hapa tulipo kwa kukosa uzalendo kwa nchi yao. SHERIA NA VYANZO VYA SHERIA TANZANIA MAANA YA SHERIA Sheria ni kanuni zinazoongoza shughuli na mahusiano ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…