Tukio lililobadili sheria za ndondi kwenye muda

Tukio lililobadili sheria za ndondi kwenye muda

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
375,761
Reaction score
870,545
Katika historia ya ndondi, mechi ndefu zaidi ilikwenda raundi 110, iliyochukua zaidi ya masaa 7. Andy Bowen na Jack Burke, miamba miwili ya ndondi

Wawili hap , walipigania taji la ubingwa mnamo Aprili 6, 1893, huko New Orleans. Kuanzia katikati ya usiku , mapigano yaliendelea hadi asubuhi. Baada ya saa 7 na dakika 19, Burke hakuweza kuendelea kwa sababu ya mikono iliyovunjika.
Mwamuzi alitangaza "hakuna mashindano" kwani hakuna aliyeshinda. Tukio hili kali lilisababisha mabadiliko ya sheria ya ndondi, hasa kikomo cha muda
.
Zawadi ya $2,500 iligawanywa, pasu kwa pasu ! Kwa viwango vya leo ni sawa na $80,000
FB_IMG_1756634765708.jpg
 
Moja ya mchezo wa ki-barbarism sitaki kuufuatilia. Ukijumlisha na MMA.
 
Back
Top Bottom