sheria za uchaguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    PreGE2025 Askofu Dkt Shoo: Mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi ni muhimu kwa Maendeleo ya Nchi

    Dkt. Fredrick Shoo, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT), amesisitiza umuhimu wa mabadiliko ya sheria za uchaguzi kwa ajili ya chaguzi nchini Tanzania. Akizungumza katika mkutano wa kuwasilisha maoni ya CCT kuhusu miswada mbalimbali, Dk. Shoo alieleza kuwa mabadiliko haya ni muhimu...
  2. Roving Journalist

    PreGE2025 Mkutano wa Kitaifa kutafakari na kujenga uelewa juu ya Sheria za Uchaguzi zilizopitishwa kuelekea Chaguzi za 2024/2025 (siku ya pili)

    Leo ni Siku ya pili ambapo TCD inawakutanisha wadau katika Mkutano wa Kitaifa kutafakari na kujenga uelewa wa pamoja juu ya sheria za Uchaguzi zilizopitishwa kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa wa Mwaka 2024 na uchaguzi mkuu wa Mwaka 2025. Mkutano huu ulianza jana Mei 8 na unamalizika leo...
  3. Roving Journalist

    PreGE2025 Mkutano wa Kitaifa kutafakari na kujenga uelewa wa pamoja wa Sheria za Uchaguzi zilizopitishwa kuelekea Chaguzi za 2024/2025

    TCD kuwakutanisha wadau kutafakari Sheria za Uchaguzi zilizopitishwa kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu. Mkutano huu wa Kitaifa kutafakari na kujenga uelewa wa pamoja juu ya sheria za Uchaguzi zilizopitishwa kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa wa Mwaka 2024 na uchaguzi...
  4. R

    PreGE2025 Akili ya Zitto Kabwe kuwa sheria za uchaguzi zinakidhi haja ni "Tukose wote"

    Anajua fika kuwa chama chake hata sheria zikawa kama zilivyopendekezwa na wadau wote, hawezi kupata wabunge/madiwani etc. Anajua Chadema kinaweza kuzoa viti vingi tu kwenye uchaguzi huru na haki. Kwa vile amejinasibu kuwa "rival" wa Upinzani particularly chadema, basi anaona afadhali sheria ziwe...
  5. Roving Journalist

    PreGE2025 LGE2024 LHRC: Sheria Mpya za Uchaguzi zimeacha maoni ya Wadau kuhusu maamuzi ya Tume ya Uchaguzi kuhojiwa Mahakamani

    Siku chache baada ya uwepo wa taarifa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kusaini miswaada ya Sheria za Uchaguzi na kutangazwa kuwa Sheria, Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC, kimeeleza kuwa Sheria hiyo hajazingatia baadhi ya mambo muhumu kama ilivyoshauriwa...
  6. Erythrocyte

    PreGE2025 Rais Samia asaini miswada ya Sheria za Uchaguzi

    Taarifa zilizosambazwa kwa vyombo vya Habari Nchini Tanzania zinaeleza kwamba Rais wa Nchi hiyo amesaini ile Miswada mibovu inayopingwa na kila mwenye akili timamu Bila Shaka kwa kitendo hiki inamaanisha kwamba Rais Samia AMEWAPUUZA KABISA WALE WOTE WANAOPINGA MISWADA HIYO MIBOVU YA SHERIA ZA...
  7. Erythrocyte

    Tunapoandamana kupinga miswada mibovu ya Sheria za Uchaguzi muwe mnaelewa

    Huyu hapa ni miongoni mwa Wasimamizi wa Uchaguzi wa Tanzania , sasa hata kama wewe ni kipofu wa Ubongo unadhani huyu anaweza kutenda haki yoyote ? Ndio maana Chadema na Wapenda haki wengine wameamua kukinukisha kwa wiki nzima Nchi nzima na Duniani kote . Hifadhi tarehe hii .
  8. R

    Zitto ACT: Tumeridhishwa na marekebisho ya sheria za uchaguzi

    Zito amekengeuka kiasi hiki kweli? anasema Masuala 6 kati ya 10 yamekubaliwa: 1. Anasema: sasa kutakuwa na tume huru, mabadiriko si ya siku moja 2. Anasema tumelipwa sehemu ya deni, baki italiwa baadaye ie madai mengine yatafanyiwa kazi huko mbeleni analinganisha haki ya asili ya demokrasia...
  9. Hismastersvoice

    PreGE2025 Mbunge Waitara: Tutapitisha miswada yote kwa kutumia wingi wetu

    Kwenye kikao cha bunge cha Februari 1, 2024, mbunge nyangarakasha Mwita Waitara alitamba bungeni mbele ya wabunge wenzake waliokuwa wakimshangilia kuwa wabunge wa CCM watatumia wingi wao kuipitisha miswada ya uchaguzi! Swali, Tanzania ni mali ya nani, wabunge wengi wa CCM au wachache wananchi...
  10. Erythrocyte

    PreGE2025 John Mnyika: Bunge limepuuza maoni ya wadau, linajipanga kupitisha miswada mibovu

    Hii ndio Taarifa mpya kutoka Dodoma == Ameandika Mnyika katika ukurasa wake wa X, "Maoni yetu na ya wadau yamepuuzwa. Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa kwenye tovuti ya Bunge, miswada mibovu ya uchaguzi na vyama itajadiliwa kuanzia leo mpaka tarehe 2 Februari 2024. Tafsiri rahisi ni kuwa...
  11. Roving Journalist

    PreGE2025 Dkt. Mhagama: Sheria za Uchaguzi zinazotungwa hazitazingatia maandamano yanayoendelea

    Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria, Dkt. Joseph Mhagama amesema maandamano sio suluhu ya kupata muafaka wa maoni ya Muswada wa Sheria ya Uchaguzi na kuongeza kuwa tayari maoni hayo yameshapokelewa na kupelekwa Bungeni na kamati yake inaendelea kuyachakata...
  12. P

    PreGE2025 Askofu Mwamakula: Naona huu sio muda sahihi wa kuwahukumu wabunge kuhusu miswada ya sheria za uchaguzi

    Wakuu kwema? Askofu Mwamakula akiwa anahojiwa na mwandishi wa habari kutoka Jambo TV amesema anaona sasa sio muda sahihi wadau na vyama vya siasa kuanza kuwahukumu wabunge juu ya miswada ya sheria ya sheria za uchaguzi inayotarajiwa kurudi bungeni kusomwa tena baada ya kupokea maoni kutoka kwa...
  13. Erythrocyte

    PreGE2025 CHADEMA yatangaza Maandamano Kupinga Miswada ya Sheria za Uchaguzi iliyowasilishwa Bungeni

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza maandamano ya amani Januari 24 mwaka huu mkoani Dar es Salaam kuishinikiza Serikali kuzingatia maoni ya wadau kuhusu masuala ya uchaguzi. Maandamano hayo kabambe ya kupigania haki yataanzia Jijini Dar es Salaam na Yatafanyika 24/1/2024...
  14. Erythrocyte

    PreGE2025 Mwenye mchango wa Shehe Musa Kundecha kuhusu Sheria za Uchaguzi auweke hapa, yasemekana umefichwa

    Taarifa zilizozagaa kila mahali zinadokeza kwamba , mchango wa maoni ya Sheikh Amiri Musa Kundecha aliyoyatoa kwa Kamati ya Bunge ya Sheria na Katiba , kuhusu marekebisho ya Sheria za Uchaguzi umedhibitiwa na kufichwa. Taarifa zingine zikidokeza kwamba Waandishi wa Habari wameonywa wasiusambaze...
  15. BARD AI

    PreGE2025 Mapendekezo ya CHADEMA juu ya Miswada ya Sheria za Uchaguzi ambayo Kamati ya Bunge inazuia yasisomwe Bungeni

    Mapendekezo ya jumla na msimamo wa CHADEMA juu ya miswada ya sheria iliyowasilishwa bungeni 10, Novemba 2023 inayohusu masuala ya uchaguzi na ofisi ya msajili wa vyama vya siasa NB; maoni haya ndiyo ambayo kamati ya kudumu ya bunge ya utawala, katiba na sheria inazuia yasisomwe =====...
  16. Erythrocyte

    PreGE2025 CHADEMA kuwasilisha maoni ndani ya Kamati ya Bunge kuhusu miswada ya Sheria za Uchaguzi

    Taarifa ikufikie popote Ulipo duniani , Kwamba miongoni mwa mambo Makubwa yatakayotokea leo Duniani ni Pamoja na Chama kinachoungwa mkono na Watanzania wengi kuliko Chama chochote cha kisiasa , CHADEMA leo 10/01/2024 kinatoa maoni yake kwenye Kamati maalum ya Bunge kwa ajili ya Marekebisho ya...
  17. Erythrocyte

    PreGE2025 KKKT nayo yajitosa Bungeni kutoa maoni yake kuhusu Sheria za uchaguzi

    Kanisa la Kiinjili la Kirutheri Tanzania , ni miongoni mwa Taasisi za Kidini zilizojitokeza mbele ya kamati ya Bunge kutoa maoni kuhusu miswada ya sheria za Uchaguzi . Kanisa hilo limewakilishwa na Askofu Shoo , ambaye pamoja na mambo mengine ameitaka kamati hiyo ya Bunge kuhakikisha maoni...
  18. Bull Bucka

    PreGE2025 Maoni ya Jumla ya Wadau Kwenye Miswada ya Sheria za Uchaguzi na Muswada wa Vyama vya Siasa - Sehemu 1

    JamiiForums, Jukwaa la Katiba (JUKATA), Tanganyika Law Society (TLS), Twaweza East Africa, Centre for Strategic Litigation (CSL) na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kwa pamoja tunawasilisha maoni kwenye miswada minne: Muswada wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani; Muswada...
  19. Abdul Nondo

    PreGE2025 Tamko la Pamoja la Jumuiya za Vijana Vyama Pinzani nchini kuhusu Miswada ya Sheria za uchaguzi

    Sisi viongozi wa Jumuiya ya vijana kutoka vyama pinzani vitatu nchini Ngome ya Vijana ACT Wazalendo, Jumuiya ya vijana CUF (JUVICUF) na Jumuiya ya vijana -NCCR Mageuzi ambapo awali tulikuwa pamoja na viongozi wenzetu kutoka Baraza la vijana Chadema (BAVICHA) kuanzia hatua ya vikao hadi hatua ya...
  20. BARD AI

    Bunge kuanza kupokea maoni kuhusu miswada sheria za uchaguzi

    Kamati za Kudumu za Bunge zimeitisha maoni ya wadau kuhusu miswada mitano iliyosomwa kwa mara katika mkutano wa 13 ukiwemo Muswada wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa mwaka 2023. Maoni hayo ya miswada hiyo iliyowasilishwa kwa mara ya kwanza Novemba 10 mwaka huu itawasilishwa...
Back
Top Bottom