sheikh

Sheikh ( SHAYKH, SHEEKH; Arabic: شيخ‎ šayḫ [ʃajx], mostly pronounced [ʃeːx], plural شيوخ šuyūḫ [ʃuju:x])—also transliterated sheekh (Iraq), sheik, sheyikh, shaykh, shayk, sheikh, shekh, shaik and shaikh—is an honorific title in the Arabic language. It commonly designates a chief of a tribe or a royal family member. It is also commonly used to refer to a Muslim religious scholar. The term can be literally translated to "Elder".

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Madai ya Sheikh Mwaipopo Kunusurika Utekaji: Tishio Halisi au Kiki za Kusafisha Bonge la 'Backfire' la Kauli ya Kutahiri Watu?

    Wakuu salama, Kama mnavyofahamu, nchi yetu hivi karibuni imekuwa kwenye taharuki kubwa ya matukio ya watu kutekwa na kupotea. Lakini katika hali ya kushangaza na inayoacha maswali mengi, Sheikh Said Mwaipopo naye amejitokeza na kudai kuwa kuna watu walifika ofisini/nyumbani kwake wakiwa na...
  2. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Nimepewa maono, Sheikh Mwaipopo unafuata kama ilivyokuwa kwa Sheikh Majini

    Sheikh Mwaipopo, Tanzania ni Kubwa kuliko CCM, kuliko Samia na Genge lake !!. Sheikh Mwaipopo, Mungu kanipa Maono, ilikuwa usubiriwe Usimame mbele Kuta za MAHAKAMA ujibu Tuhuma za Harakari zako za Kigaidi. Sasa Mungu amenena nami, kama alivyonena na Manabii wake juu ya Wafalame waovu, UNAFUATA...
  3. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mwaipopo, Muislam wa Misimamo Mkali na Hatupaswi kucheza na hili kundi, Hawa ni lazima Wamulikwe na US !!

    Hili Kundi linaloendesha shughuli zake za Kisiasa-Kiislamu kwa Mrengo wa Uislam, ndio lile lile ambalo Magufuli alilipiga Pini . Hili Kundi ni lazima tuliweke Wazi, Dunia ilitazame. Hatupaswi kucheza na hili kundi, hawa tukiwaacha, kutaibuka vikundi vya kigaidi chini ya mwamvuli wa kumlinda...
  4. figganigga

    JamiiForums Tanzania CCM wataka Polisi kukanusha kuhusu kushirikiana na Sheikh Said Mwaipopo "kutahiri watu bila ganzi"

    CCM wataka Polisi kukanusha kuhusu kushirikiana na Sheikh Said Mwaipopo kutahili watu bila ganzi. MY TAKE Polisi inazuga kutafuta vikundi vya kihalifu wakati vinajulikana na vinajitangaza kwenye TV. Sasa ni Rasmi kwamba kikundi cha kigaidi cha Sheikh Mwaipopo ndicho Tume ya Mzee chande...
  5. Inside10

    JamiiForums Tanzania Sheikh Kandauma: 2030 kutakuwa na Ramadhani mbili , Ila ni dalili ya Kiyama

    https://www.instagram.com/reel/DZutAh-I5Hn/?igsh=b3U0MnRmd3J2M3M0
  6. M

    JamiiForums Tanzania Sheikh atetea Zanzibar matibabu kwa Wazanzibari

    Sheikh anatoa nasaaha nzito akitaka kuwepo kwa uwazi kabisa kuhusu mambo ya Muungano ili kuondoa migogoro na migawanyiko kati ya wananchi wa Tanzania Bara (Tanganyika) na Zanzibar. Anatoa wito wa dhati kwa Wanasheria Wakuu wa pande zote mbili kuweka wazi na kueleza kwa kina ni mambo gani hasa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kihongosi na CCM achaneni kuwasingizia Chadema, angalieni muungano unavunjika. Sikia maneno ya sheikh

    Watanganyika endeleeni kupaza Sauti ya Utaifa ya Tanganyika. Kadri Wazanzibari wanavyojibu ndio mpasuko ndani ya Jamii unaongezeka, sikiliza kwa makini huyu Sheikh anayozungumza alafu useme kwa nini kusiwepo na Serikali ya Tanganyika. CCM mjibuni huyu Sheikh.
  8. Wong Fei

    JamiiForums Tanzania Sheikh Rusaganya: Peponi kuna pisi kali (warembo), utamani kuachana naye

    Waislamu ni kweli wapo hao? Angalia video =========== Yaani kama Mwenyezi Mungu angemruhusu mmoja akachungulia duniani basi dunia nzima inakuwa na nuru. Na kama ni usiku mwanga mtupu." "Hawa mah hawajawahi kuguswa hata kusalimiwa na mwanadamu au jini. Wazuri pisi mwanangu pisi imetulia."...
  9. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Sheikh Hassan bin Ameir Anaogopwa

    https://youtube.com/shorts/iHue9pO_z94?si=LX_XgQalyLVzp1KN
  10. R

    JamiiForums Tanzania Twaha Mwaipaya: Kama sheikh, Mchungaji na Padri wako hajawahi kukemea mauaji, basi njoo Maria space usali ukemee mauaji kuitikia amri ya MUNGU "USIUE"

    Ndio ujumbe wake leo huko Maria spaces. Kama hao viongozi wa dini yako wanashindwa kukemea mauji ya 29th October 2025, ja maovu mengine, basi achana na huko njoo Maria spaces ukemee mauaji!
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Sheikh Ponda: Tatizo lililopo ni kwamba watawala wetu hawaoni kama Tanzania kuna tatizo

    "Tatizo lililopo ni kwamba, yaani watawala wetu hawaoni kama Tanzania kuna tatizo. Yaani ukiwa ukiwaangalia, hawaoni kama kuna tatizo. Hawaoni kama kuna mapungufu makubwa katika mamlaka walizonazo na taifa letu kwa ujumla. Wao wanaona kama vile mambo yako vizuri, na vyombo vyao mbalimbali...
  12. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Sheikh Jalala: Mabeberu hawatutakii heri,

    Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania (TIC), Maulana Sheikh Hemedi Jalala Mwakindenge, amesema mataifa ya nje (mabeberu) yanatumia mmomonyoko wa maadili na uzushi wa mitandaoni kama silaha ya kuwagawa Watanzania ili kuwapofua wasiione fursa ya utajiri wa rasilimali zao. Sheikh Jalala...
  13. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Sheikh Alhad Mussa: Marekani iwakemee maseneta waliosema Tanzania si salama na baadhi ya dini zinakandamizwa

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano Tanzania (JMAT) Taifa, Sheikh Alhad Mussa Salum ameitaka Serikali ya Marekani kuwakemea maseneta wawili waliosema kuwa Tanzania si salama na kuwa baadhi ya dini zinakandamizwa, akiongea katika mkutano wa Jumuiya hiyo na waandishi wa habari, Alhad ameitaka...
  14. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania “Msikiti Geuka Crime Scene!” Lamu Wakazi Wabaki na Hofu Baada ya Sheikh Kuchinjwa Wakati wa Swala

    Wakazi wa Faza, Lamu East bado wako kwa shock baada ya msiba wa kutisha kutokea ndani ya msikiti mchana kweupe. Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 33, anayejulikana kama Khalid Maka, aliuawa kwa kuchomwa kisu akiwa ndani ya Faza Jamia Mosque wakati wa swala. According to taarifa za polisi...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda: Watawala wakubwa wanajihisi wao ni WATAKATIFU, Wananchi na wakosoaji ndio tatizo

    Sheikh Ponda Issa Ponda akizungumza na Wanahabari, Kinondoni Jijini Dar es Salaam, Mei 6, 2026. https://www.youtube.com/watch?v=1fog9mpal5Q UTANGULIZI Baada ya Tume ya Jaji Mohamed Othman Chande, kukabidhi vitabu vya ripoti yake kwa Rais Samia Suluhu Hassan tarehe 23 April, 2026 Ikulu ya Dar...
  16. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Vijana huru wa Tanzania watoa msimamo kufuatia matukio ya vurugu yaliyojitokeza Oktoba 29 hadi 31, 2025

    Sisi vijana huru wa Tanzania, kupitia Jukwaa la Uzalendo na Mabadiliko, tunatoa msimamo wetu wa dhati kufuatia matukio ya vurugu yaliyojitokeza tarehe 29, 30 na 31 Oktoba 2025. Matukio hayo yaliambatana na upotevu wa maisha, majeruhi, uharibifu wa mali na miundombinu, pamoja na kutoweka kwa...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Simba SC 3 - 1 Dodoma Jiji FC : CRDB Confederation Cup : 12/4/2026 Sheikh Amri Abeid Arusha

    Baada Ya Kubana, sasa Wanaachia. Dk 60 SSC 2 - 1 DFC
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania "Makomandoo" watwangana makonde na Walinzi Uwanja wa Sheikh Amri Abeid kabla ya TRA Vs Simba, Aprili 9, 2026

    Wakati msafara wa timu ya Simba SC ukiingia uwanjani majira ya Saa 8:30 Mchana wa leo Aprili 9, 2026 kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara kuna hali ya sintofahamu kati ya wanaodhaniwa kuwa ni “Makomandoo” na walinzi wa uwanja, hali ambayo...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania FT | TRA SC 0-0 Simba SC | NBC Premier League | Sheikh Amri Abeid - Arusha

    Mechi ya kiporo ya TRA SC dhidi ya Simba SC inatarajiwa kupigwa jioni saa 10:00 katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Stadium, ikiwa ni sehemu ya mashindano ya NBC Premier League, ambapo timu zote zinatarajia kuonesha ushindani mkali kusaka alama 3 muhimu. Kikosi cha TRA United SC Kikosi cha...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Waziri MkuuHeri ya Kumbukizi Siku ya Sheikh Abeid Amani Karume 1905-1972

    Ofisi ya Waziri Mkuu Heri ya Kumbukizi Siku ya Sheikh Abeid Amani Karume 1905-1972
Back
Top Bottom