sheikh

Sheikh ( SHAYKH, SHEEKH; Arabic: شيخ‎ šayḫ [ʃajx], mostly pronounced [ʃeːx], plural شيوخ šuyūḫ [ʃuju:x])—also transliterated sheekh (Iraq), sheik, sheyikh, shaykh, shayk, sheikh, shekh, shaik and shaikh—is an honorific title in the Arabic language. It commonly designates a chief of a tribe or a royal family member. It is also commonly used to refer to a Muslim religious scholar. The term can be literally translated to "Elder".

View More On Wikipedia.org
  1. BIG BROTHER ALEX

    JamiiForums Tanzania Hivi kesi ya yule Sheikh, Zanzibar iliishia wapi?

    Stori ilitambaa sana ikihusisha mpaka waandishi wa habari kutishiwa maisha, wazee wa kukata kichwa, Iko hivi huyo sheikh mwalimu wa madrasa, ALIKUA anamtuma yule mtoto wa kike mdogo sana soda ampelekee kwake. Baadae huyo Binti akaanza kugoma kwenda madrasa, KUOMBANA, akafunguka unyanyasaji wa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kutishia kuua kwa maneno ni kosa la Jinai. Sheikh aliyetishia kukata vichwa watu kwa majambia anapewa onyo!

    Kifungu cha 89 2(a) cha kanuni ya adhabu kimeweka wazi kabisa kuwa kutishia kuua ni kosa na mtu anapaswa kufungwa mwaka mmoja. Mbona huyu sheikh amepewa kadi ya njano na huku amefanya makosa? Pia soma > Uislamu unamkataa Sheikh aliyehamasisha kukata vichwa. Masheikh wenzie walaani
  3. R

    JamiiForums Tanzania Mwananchi: Sheikh gani unasimamia uovu, Wakristo ni ndugu zetu kujeni kivingine hili lishadunda

    Baaaas dada kamaliza mjadala kabisa Hawa watu wamezoea kuona watanzania kuwa wa kimya hawajui karne hubadika kisha watu na mitazamo yao pia hubadilika, Walidhani wakileta masuala ya dini basi wakristo na waislamu tungeanza battle la kiimani, imegeuka kuwa battle kati ya misimamo na umoja wa...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Sheikh Alfarouk: Kwenye kuapishana kwenu msitumie Msahafu. Mtu hana udhu anakama? Acheni kufanyia kejeli

    Sheikh Haji Alfarouk; "Endeleeni na Siasa zenu, kwenye kuapishana kwenu, msikamate Msahafu, kwasababu mnachoapia ninyi ni kuilinda Katiba mpaka kufa kwenu. Mtu yupo kwenye siku zake anachukuwa Msahafu anaapa, Sheikh awataka Viongozi wa Kisiasa kuachana na kitabu kitakatifu cha Quran"
  5. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Sheikh Pemba: Itakuwa ni ajabu Muislam akiunga mkono maaandamano ya tarehe 9 Disemba

    "Itakua ni ajabu muislam akawa anaunga mkono tarehe 9 eti watu wakaandamane eti wanadai haki" - amesema Sheikh Wasaa za Masheikh zinaendelea kuhusu haki na maandamano, ila wajue tu wasihusishe masuala ya dini na ubaguzi katika kudai haki. Sheikh unamkataza huyo muumini wa kiislamu kuandamana...
  6. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Sheikh Mussa Kundecha: Tunawaasa vijana wetu Disemba 9 kukaa nyumbani na wazazi wasishiriki mikusanyiko yoyote ya uhalifu

    Sheikh Mussa Kundecha akizungumza na Vyombo vya habari akiwasilisha Tamko la Taasisi za Kiislamu leo Novemba 20, 2025 amewaaasa vijana siku ya tarehe 9 disemba 2025 kukaa nyumbani pamoja na wazazi wao kuliombea taifaletu na kufanya ibadakama sehemu ya kudumusha amani na utulivu pia kupeuka...
  7. President of China

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania - Abubakar Zuber bin Ally aagiza Dua ya Qunuti kusomwa baada ya kila Sala

    AGIZO LA SHEIKH MKUU NA MUFTI WA TANZANIA "Assalaam alaikum. Nimewaagiza Mashekhe wote Nchini kuanzia Mikoa, Kata na Wilaya pamoja na Maimamu wa Misikiti yote Nchini Kuleta Dua ya Qunuti baada ya kila Sala. Dua hii Maalum kwa ajili ya kuendelea kumlilia na kumuomba M/Mungu Mtukufu aendelee...
  8. Bani Israel

    JamiiForums Tanzania Uislamu unamkataa Sheikh aliyehamasisha kukata vichwa. Masheikh wenzie walaani

    Naituma kama nilivyoipokea kutoka jukwaa la masheikh. Nitamrekebisha shekh aliesema watu watakatwa (vichwa) na kuzungumzia wakristo kama ndio njia ya ukosefu wa amani Hakuna shekhe, kiongozi, au mtu yeyote aliyepewa ruhusa na Allah kusimamisha uhai wa mtu au kukataza jambo kwa kutumia njia ya...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Nyaraka za TEC zinaelekezwa kwa serikali sasa nyie mnao jiita ma SHEIKH mnao zijibu nyie ndio wasemaji wa kuijibia serikali.?

    Punguzeni kiherehere kwakweli mnatia kichefuchefu sana na wengi wenu hata mnayo yaongea na mpangilio wenu wa hoja una dhihirisha kabisa vichwani ni watupu kabisa tena weupe peee! Hoja za TEC zijibiwe na mamlaka husika iliyo kusidiwa ,nyaraka hazijasomwa kwa waislam wala hazija somwa kwa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wahadhiri Dini ya Kiislam: Lissu aliposhambuliwa Dodoma, TEC hawakutoa tamko sababu rais alikuwa Mkatoliki; Ushahidi wa Tamko la TEC

    Kuna maoni nilisoma mtu akishauri kuwa, Hawa Masheikh na Wanazuoni wanaojitokeza kushambulia TEC wanazidi kuharibu kwani wanaongea hisia badala ya Logics. Nimemsikiliza huyu Sheikh anasema kuwa Lissu alishambuliwa Dodoma, lakini TEC hawakutoa tamko lolote sababu Rais alikuwa Mkatoliki. Katika...
  11. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Sheikh Ndauga: Nguvu hutumiwa kwa ulinzi na siyo kuadhibu sauti za wananchi

    "Tunatoa wito kwa serikali na taasisi za ulinzi na usalama kutumia utaalamu busara na weledi katika kudhibiti misuguano kuepuka matumizi ya nguvu kupita kiasi, kushughulikia sababu badala ya dalili. Kujihusisha na mazungumzo ya kujenga nchi badala ya vitisho na matumizi ya nguvu. Katika taifa...
  12. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Sheikh Mavumbi: Amani kwanza haki baadae, tuilinde amani yetu

    Sheikh Mkuu wa mkoa wa Tabora, Ibrahimu Mavumbi amewataka Waumini wa dini ya kiislamu mkoani Tabora kufuata maelekezo ya serikali na viongozi wa dini kuhusu kuilinda amani ya Taifa. Sheikh Mavumbi ametoa rai hiyo wakati akifungua misikiti mitatu katika Wilaya za Igunga na Nzega mkoani Tabora...
  13. Q

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Bangladesh Sheikh Hasina ahukumiwa kifo kwa kuua waandamanaji 1,400

    Waziri mkuu aliyeondolewa madarakani nchini Bangladesh Sheikh Hasina amehukumiwa kifo na mahakama ya Dhaka bila kuwepo mahakamani kwa uhalifu dhidi ya ubinadamu kutokana na mandamano makubwa yaliyoongozwa na wanafunzi mwaka jana. Mahakama ya majaji watatu wa mahakama ya kimataifa ya uhalifu...
  14. McLaren

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Sheikh: Maaskofu kuwaaminisha watu yale yalikuwa ni maandamano inasikitisha. Au Baraza La Maaskofu linahusika?

    Wakuu, Nimepata kihali baada ya kuona kauli hii kutoka kwa huyu Shekhe. "Kuona viongozi wa dini tunaowategemea katika taifa kuwaaminisha watu kwamba yale ni maandamno imenisikitisha. CHADEMA walisema wanaenda kukinukisha, wanaenda kufanya uasi wanaenda kuvuruga Uchaguzi. Maandamano yanatoka...
  15. S.M.P2503

    JamiiForums Tanzania Sauti ya kweli: Somo ya Sheikh Ponda kwa Jamii yetu leo

    Mimi sio Muislamu, lakini kauli yako wewe Sheik Ponda, ile iliyonukuliwa na vyombo vya habari leo hapa : https://www.youtube.com/live/kGULHq2MJVQ?si=6mc8j4GhNwZT6X3E imenigusa kwa kina. Kuna nyakati chache katika maisha ambapo mtu anasimama na kusema jambo ambalo linavuka mipaka ya imani...
  16. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Sheikh: Mnaotaka haki, nchi hii mbona haki zipo

    "Wanasema baadhi yao kwamba itakuaje mpiganie amani wakati nhi hakuna haki, wanasema hivyo lakini sisi tunasema nchi hii ipo haki kwa sababu taasisi zinazosimamia haki za watu zipo zote mahakama zipo, vyombo vya dola polisi wapo" -Amesema Sheikh ------------- Hii battle ya Masheikh ya masheikh...
  17. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Sheikh Mohamed Abdallah: Yaliyotokea ni somo kuwa lolote linaweza kutokea, tuchukulie kila jambo kwa uzito bila kudharau

    "Hili sasa limekuwa somo kwamba kumbe kwa mwanadamu lolote linaweza kutokea hivyo ni vizuri sana kwa wakati tuliokuwa nao, viongozi wetu, Serikali, Taasisi zisizo za kiserikali na wananchi kwa ujumla kila mmoja...tuna kazi ya kufanya kulinda na kuendeleza amani yetu..."- Amesema Sheikh Mohamed...
  18. Kubwjing

    JamiiForums Tanzania Sheikh Hassan Jah apingana na wenzie na kusema waislam waache unafiki katika kuliombea taifa

    Asalaam Aleykhum Warahmatulaah Ndugu zangu, hasa Waislam wallah huyu Sheikh huwa ana Mawaidha ambayo yanaweza kukupa maswali mengi lakini mengi yaukweli ndani yake kwa kulingania na yaliyoandikwa katika Qur'an LEO HII, Amesema kuwa endapo Viongozi wa Dini ya Kiislam watawataka Waumin wakutane...
  19. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Utabiri "Feki" wa Sheikh Yahya mwisho jana

    Sikuwahi kumsikia Sheikh Yahya Hussein, mtabiri maarufu wa Afrika Mashariki akitoa utabiri huu. Na wala hakuna mtu amewahi kuketa voice note/ video clip kuhusu maneno hayo. Lakini maneno hayo yalikuwa yana trend kila uchaguzi ulipotokea kati ya 2015, 2020 na 2025. Sasa baada ya Rais Samia...
  20. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sheikh Sharif Majini afariki dunia kwa kupigwa risasi siku ya uchaguzi

    Inasemekana kuwa kada mtiifu wa CCM sheikh Sharifu Majini alifariki tarehe 29 October kwa kupigwa risasi. Sina uhakika wa hii taarifa, ila kama ni kweli Mungu ampumzishe anapostahili. Hana haja ya kupewa R.I.P.
Back
Top Bottom