sheikh

Sheikh ( SHAYKH, SHEEKH; Arabic: شيخ‎ šayḫ [ʃajx], mostly pronounced [ʃeːx], plural شيوخ šuyūḫ [ʃuju:x])—also transliterated sheekh (Iraq), sheik, sheyikh, shaykh, shayk, sheikh, shekh, shaik and shaikh—is an honorific title in the Arabic language. It commonly designates a chief of a tribe or a royal family member. It is also commonly used to refer to a Muslim religious scholar. The term can be literally translated to "Elder".

View More On Wikipedia.org
  1. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania DUBAI BYE Dubai ruler & racing star Sheikh Mohammed to pay £554MILLION to ex-wife Princess Haya in Britain’s biggest ever divorce

    The ruler of Dubai and head of global racing giant Godolphin, 72, was hit with the half-a billion-pound settlement in a 73-page ruling published on Tuesday. And as part of it, Princess Haya, 47, has been awarded £5m to ‘buy a few reasonable horses’ of her own and ‘run them for several years’...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda: Kabla ya kuomba mvua, tuondoe Dhuluma

    Sheikh Ponda, mwanazuoni maarufu nchini asiyeupa nafasi unafiki amefunguka bayana: Kwenu viongozi wengine wa madhehebu zingine: "Ninyi dhuluma hizi kwa wengine haziwafikirishi kabisa?"
  3. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Sheikh Saad Al Ghamidi

    Kwa maoni yangu binafsi, Al Sheikh Saad Al Ghamidi ndio Sheikh ambae ame i recite Suratul Yaseen kwa kutumia melody nzuri pengine kuliko yoyote yule duniani. Nenda You Tube kisha type " Surah Yasin ( FULL) Beautiful. Ina views Milioni 51 na imekuwa uploaded 9 years ago...
  4. BAKIIF Islamic

    JamiiForums Tanzania Utofauti wa Sheikh, Mufti na Kadhi

    SHEIKH Ni jina la heshima katika lugha ya Kiarabu. Kwa kawaida humtaja chifu wa kabila au mwanafamilia wa kifalme katika nchi za Uarabuni, katika baadhi ya nchi pia hupewa wale wenye ujuzi mkubwa katika masuala ya kidini. Cheo hiki kinabeba maana ya kiongozi, mzee, au mtukufu, hasa katika Rasi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda afikisha ujumbe wa watuhumiwa wa Ugaidi 187 kwa Rais Samia

    “Mhe. Rais Watuhumiwa wa Ugaidi tunanyimwa Haki. Ukonga, Segerea tupo 187. Tumewekwa jela toka 2013. Mhe. jela miaka 8 ni kuadhibiwa bila ya kuthibitika kosa. Wewe kama mkuu wa nchi tunaomba ushauri wako tufanye nini ili tutendewe Haki?” Ujumbe huu nimepewa leo Ukonga na Segerea.
  6. Naipendatz

    JamiiForums Tanzania Sheikh wa Mkoa wa Dar ashangazwa na jinsi watu wanavyojipa Uaskofu hovyo hovyo mitaani

    "Nilikuwa nadhani kupata uaskofu wa kanisa katoliki ni rahisi tu unakwenda Kariakoo ukanunua tu na kuvaa, kumbe uwe askofu unapatikana kwa kazi kwelikweli siyo kitu rahisi. Tunashida kubwa na msiba mkubwa, mitaani mtu anajipa tu uaskofu"-Alhad Mussa Salum
  7. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Sheikh Husein Juma, vice president wa United Tanganyika Party (UTP)

    SHEIKH HUSSEIN JUMA VICE PRESIDENT WA UNITED TANGANYIKA PARTY (UTP) Wakati wa kupigania uhuru wa Tanganyika mtu kuitwa kuwa ni UTP ni sawa la leo kuitwa gaidi. Picha hiyo hapo chini ya kwanza inamuonyesha Mzungu Brian Willis aliyeletwa Tanganyika na Conservative Party. Hapa anasimamia...
  8. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Sheikh Farid Mussa aibuka na Msimamo wa Waislamu Juu ya Chanjo na Imani ya Kiislamu

    Hapa nazidi kuchanganyikiwa. Natizama, nasikiliza nasema hiiii. Wanatimiza matakwa ya kikatiba. But wito wangu ni kuwa sawa ni matakwa ya kikatiba na Imani yao lakini nendeni mkachanjwe wadau. Nendeni please. Msije mkafa mkatuacha tumebaki wachache.
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mselem: Uamsho ilikuwa ni suala la kuwaandaa watu na Katiba Mpya

    Sheikh Mselem Ali, mmoja kati ya Masheikh wa Uamsho ambao wametoka Gerezani amesema mihadhara yao ilikuwa na nia ya kuwaamsha watu kudai Katiba Mpya. Amesema kwa kipindi kile walifanya hivyo kwa kuwa kulikuwa na fursa ya maoni kuhusu Katiba Mpya. Walifanya hayo kwa mujibu wa sheria kwa kuwa...
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Sheikh Kipozeo kwa Rais Samia huu hapa

    Kimsingi ameahidi kumuunga mkono Mhe. Rais katika uongozi wake kama alivyomuunga Mkono Magufuli Chanzo : Mwananchi
  11. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu ni MwanaCCM anayetenda kazi chini ya miiko ya CCM

    Nawashangaa sana wapinzani wenzangu na wakati mwingine huwa nawashangaa WanaCCM ambao wanatarajia matokeo tofauti na walivyotarajia. Kwa hakika mabadiliko ndani ya chama kimoja yanaweza kutokea ila si kwa kiwango kikubwa. Rais Samia Suluhu ni MwanaCCM anayetenda kazi chini ya miiko ya CCM kama...
  12. Replica

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mselem: Tukiambiwa Hapana, tusishindane na mwenye nguvu

    Sheikh Mselem: Usalama wa Nchi ni jambo linalopewa kipaumbele na sisi tunapenda usalama, furaha ikizidi inaweza ikazalisha kitu halafu mara nyingi kutokana na uzoefu kuna vitu watu wa kati huchomeka. Inawezekana tumefanya jambo halali, tumeliombea ruhusa serikalini, tukapewa ruhusa lakini kuna...
  13. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mselem bin Ali alitunukiwa nishani na Waislam akiwa jela mwaka 2014

    SHEIKH MSELEM BIN ALI ALITUNUKIWA NISHANI NA WAISLAM AKIWA KIFUNGONI 2014 Katika mkutano wa mwaka uliofanyika Pongwe, Tanga mwaka wa 2014, Jukwaa la Vijana wa Kiislam Tanzania walimtunuku Shekh Mselem bin Ali Nishani Maalum kwa mchango wake katika kuisomesha Qur'an Tukufu. Kwa kuwa Sheikh...
  14. Replica

    JamiiForums Tanzania Sheikh Farid: Tunashukuru tumeachiwa ni mwanzo mwema wa Rais Mwinyi na Samia

    Sheikh Farid: Tunamshukuru Mwenyezi Mungu, kiufupi tunashukuru sisi tumeachiwa lakini huu ni mwanzo mwema ya busara ya marais wetu, Rais wa Zanzibar na Rais wa Tanzania, Amiri Jeshi mkuu, mama Samia Suluhu. Wamefanya busara kubwa sana kuondoa hii hali ya mtanziko ya muda mrefu sana wa hii Kesi...
  15. chiembe

    JamiiForums Tanzania BAKWATA, huu utaratibu gani? Dodoma kuna Sheikh wa Mkoa, kwanini Sheikh wa Mkoa wa DSM anatuingilia kuja kupiga dua hafla za Serikali?

    Ninajua Sheikh wa Mkoa was Dar es Salaam alizoea kualikwa katika hafla mbalimbali za kitaifa na pengine alikuwa anafaidika kinamna fulani, sasa anaelekea kuvuka mipaka. Mamlaka yake yanaishia Dar es Salaam lakini inaonekana uamuzi was kuhamia Dodoma ulimuumiza sana sasa kaamua kuvamia hafla za...
  16. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Mohamad Mlamali Adam alivyomweleza Abdulwahid Sykes mwaka 1988

    Siku moja nimepita ofisini kwa Bwana Ally Sykes na katika mazungumzo yetu akaniambia kuwa alikuwa siku ya pili anasafiri anakwenda London. Palepale ikanijia fikra nimpe Bwana Ally makala yangu ambayo nilikuwa nimeandika kuhusu historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika aifikishe jarida la Afrika...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mattaka: BAKWATA ndio wengi kesho misikiti zaidi ya 300 Dar itatumika kwa ajili ya swala ya Idd

    Sheikh Mattaka anasema mwandamo wa mwezi Duniani kote hutangazwa na mamlaka husika na hapa Tanzania mamlaka hiyo ni BAKWATA. Mattaka anasema Mufti hutangaza mfungo au mfunguo baada ya mwezi kuonekana na kamati ya muandamo wa mwezi kujiridhisha. Sheikh Mattaka, anasema BAKWATA hufuatilia pia...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Anthony Mavunde akutana na Walimu, Maimamu na Masheikh wa kata wa Jiji la Dodoma

    Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh Anthony Mavunde akiongozana na Sheikh wa Mkoa wa Dodoma Alhaj Mustafa Rajabu Shaban leo amekutana na walimu,maimamu na masheikh wa kata wa Jiji la Dodoma na kutoa salamu zake na ujumbe kuelekea sikukuu ya Eid El fitri katika hafla iliyoenda sambamba na...
  19. kavulata

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mkuu Zuberi jenga shule kubwa badala ya misikiti mikubwa

    Idadi ya wiaslamu wako kwenye vyuo vikuu, ofisi za umma na sehemu zote za utumishi ni ndogo sana kulinganisha na watu wa dini nyingine. Bila shaka pamoja na mambo mengine ya kihistoria, imani, ukabila, ukanda na kiuchumi lakini idadi ndogo ya watoto wa kiislamu kwenye vyuo vikuu ukilinganisha...
  20. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Darsa la Sheikh Abdallah Iddi Chaurembo miaka ya 1970

    DARSA LA TAFSIR YA QUR'AN LA SHEIKH ABDALLAH IDDI CHAREMBO MWEZI WA RAMADHANI MSIKITI WA MTORO MIAKA YA 1970 Hukaa nikaangalia nyuma na ''nostalgia'' yaani simanzi. Naangalia ujana wangu ulivyoondoka kama moshi na nawakumbuka masheikh wetu waliotangulia mbele ya haki. Nawaona kama jana vile...
Back
Top Bottom