sheikh

Sheikh ( SHAYKH, SHEEKH; Arabic: شيخ‎ šayḫ [ʃajx], mostly pronounced [ʃeːx], plural شيوخ šuyūḫ [ʃuju:x])—also transliterated sheekh (Iraq), sheik, sheyikh, shaykh, shayk, sheikh, shekh, shaik and shaikh—is an honorific title in the Arabic language. It commonly designates a chief of a tribe or a royal family member. It is also commonly used to refer to a Muslim religious scholar. The term can be literally translated to "Elder".

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sheikh Alhad: Kijana usishawishike kuharibu nchi yako maandamano siku ya uchaguzi

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT), Sheikh Alhad Mussa Salum amewataka vijana kutokubali kushawishika kuiharibu nchi yao kwa kufanya vitu visivyofaa kama maandamano siku ya uchaguzi.
  2. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sheikh Mkoa wa Mwanza Hassan Kabeke: Siku ya Uchaguzi hakuna atakayebaki ndani, wote tutajitokeza kwa wingi kupiga kura

    Wakuu, Akizungumza katika kongamano la viongozi wa dini ya kiislamu leo, Sheikh wa Mkoa wa Mwanza Hassan Kabeke amesema kuwa Waislamu mkoani Mwanza wameamua kujitokeza kwa wingi kusikiliza sera za wagombea na hatimaye kupiga kura kwa amani na utulivu ifikapo Oktoba 29, mwaka huu ili kulinda...
  3. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Kwa huu Ujumbe Sheikh anahatarisha maisha yake na Ustawi wa Serikal tukufu

    Ni maneno mazito sana na yenye kukata kama msumeno. Maana yake nini? Je watu wameamua kusema liwalo na liwe? Hawa wanamchukia samia sababu ya Dini yake tu hamna lolote.
  4. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Hapa nimeshindwa mwelewa Sheikh. Anamaanisha kweli?

    Sheikh anawezaje sema haya maneno nasi tukamkubalia tu? Mbona ni mkanganyiko mkubwa? ===== JamiiCheck imefuatilia kipande hicho cha video na kubaini kuwa kimekatwa kutoka kwenye video ndefu hivyo kutokukamilisha ujumbe uliokusudiwa. Kwa kutumia Google Reverse image search imebainika video...
  5. PROFOUND NOTION

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa na uwezo na kuruhusiwa na mamlaka ningejenga sanamu kubwa la TRUMP, SHEIKH ZAYED na NETANYAHU

    Sheikh Zayed wa UAE. Trump wa US Netanyahu wa Israel
  6. Damaso

    JamiiForums Tanzania Tusamehe sana Sheikh; tulipuuza maneno matakatifu ya Quran

    Haikuwa ni bure kuwapatia uongozi wanaume juu ya wanawake ndani ya Uislamu. Huu ni uongozi wa kimaumbile ambao unakubalika ndani ya makabila na mataifa mengi duniani; kwamba mwanamme ndio mkuu wa shughuli za mwanamke. Allaah Anasema ndani ya Qur-aan Tukufu (tafsiri): الرِّجَالُ قَوَّامُونَ...
  7. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Historia ya Sheikh Hussein Bin Mahmoud al-Ghassany

    MAJINA YAKE NA MAHALI ALIPOZALIWA Al-Allamah Shaykh: Hussein bin Mahmud bin Hussein bin Abubakar Al-Ghassany Al-shadhily Al-yashrutwiy. Babake: Shaykh Mahmud Al-Ghassany. Mamake: Mwana Mwema bint Hajji Musa bin Ahmad Musa. Shaykh Hussein Al-ghassany alizawa Kilwa kisiwani Tanganyika...
  8. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania TAZAMA JINSI BABA WA SHEIKH NJUKI AKIONGELEA KWA UCHUNGU KUHUSU KIFO CHA MWANAE NA KUHUSU ALBADIR ALIOSOMEWA

    https://youtu.be/_lshKiauQnI?si=oS7IUQmHxyEmnl5u hamis77 Echolima1 Marco Seth Tazameni mazito ya hawa wenzetu
  9. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Waumini waliohudhuria Ibada iliyoendeshwa na Sheikh Jongo siku tatu zilizopita walikataa kuitikia dua pamoja na kuonesha nyuso za hasira na huzuni

    Waumini waliohudhuria Ibada iliyoendeshwa na Sheikh Jongo siku tatu zilizopita walikataa kuitikia dua pamoja na kuonesha nyuso za hasira, huzuni na mshangao kwa madai ya kuwa Ibada ile ilijaa mahubiri yanayokinzana na kanuni za Kiislamu ikiwemo Haki pamoja na kuingiza Siasa na Maslahi ndani ya...
  10. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Sheikh anasema Hakuna Jina la Kiislamu au Kikristo, haya majina ni ya tamaduni za Wazungu na Waaarabu, Waafrika mnabadili majina kwa kushoboka

  11. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sheikh Mohammed Mawinda: Walioko kwenye mfumo hawataki kufuata utaratibu. Vyama vinapotaka mambo yao wanatakiwa kufuata utaratibu

    Mmemuelewa huyu Sheikh lakini wakuu? Huyu mnadhani atakuwa ame-target chama gani hapa ambacho hakifuati utaratibu? ========================================== Akiwa anazungumza leo katika Mdahalo wa Wadau wa Amani kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025 amesema kwamba...
  12. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Aliyekuwa Sheikh wa mkoa wa Dar: Kama hakuna amani na haki pia haipo. Kikishanuka kwelikweli unaweza kwenda mahakamani kutafuta haki yako?

    Wakuu, Kwenye huu mdahalo wa Wadau wa Amani Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Wabunge na Madiwani 2025 ambao umeandaliwa na JMAT - Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania kuna point imeibuliwa na huyu Sheikh Anasema pamoja kwamba kuna ukweli kwenye kauli ya kwamba hakuna amani bila haki lakini pia ni...
  13. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sheikh Hameed Jongo: Walioichangia CCM wamechangia Amani na Maendeleo

    Imam wa msikiti wa Manyema jijini Dar es Salaam, Sheikh Hameed Jongo amesema harambee ya zaidi ya Shilingi Bilioni 86 iliyochangwa na watu mbalimbali kwa ajili ya kampeni ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuelekea Uchaguzi Mkuu ni ishara kuwa yanayofanywa na serikali ya awamu ya sita yana tija kwa...
  14. MK254

    JamiiForums Tanzania Muziki ni haram, wasema masheikh tofauti

    Duh, juzi ilikua kwamba hairuhusiwi kucheka sana kwenye uislamu, kumbe hata muziki ni haram, unapaswa mnuniane tu maisha yaende. Hawa hapa masheikh, sio maneno yangu.... https://www.tiktok.com/@thestrangersstudio/video/7398064026569231633 https://www.facebook.com/reel/640280608424626...
  15. Busu la Kenge

    JamiiForums Tanzania Karbala Siri ya ushindi- Sheikh Hemed Jalala

    Natoa tahadhari kwa wenye mioyo midogo ama mepesi usiangalie na kusikia hii video ya mahubiri ya Sheikh mkuu wa madhehebu matukufu ya waislamu wa Shia Tanzania Maulana Sheikh Hemed Jalala Mwakindenge. Anaelezea jinsi Kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn Ali (a.s) alivyouwawa kikatili...
  16. Lupweko

    JamiiForums Tanzania Dotto Abdallah Ketto (Doto Magari) atafuna nyama ya kitimoto hadharani

  17. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sheikh Ibrahim Kaniki: Wanachokifanya CHADEMA ni amana iliyokubaliwa na wananchi

    Akizungumza Julai 26, 2025 katika hafla ya kuongoza dua maalum kwa ajili ya kumuombea heri na ulinzi Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu,aliyeko rumande kwa tuhuma za uhaini na uchochezi, Sheikh Kaniki alieleza kile wanachokisimamia CHADEMA ni ridhaa kutoka kwa wananchi. Alisema "Chadema...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Dkt Abubakar Zuberi awaalika Waislam wote kuhudhuria Maulid ya Daarul Maarif, kwenye Viwanja vya Bakwata Makao Makuu

    DAARUL MAARIFA DAY 2025 Mheshimiwa Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Dkt Abubakar Zuber Bin Ally anawaalika Waislam wote kuhudhuria katika Maulid ya Daarul Maarif, itakayofanyika Viwanja vya Msikiti wa Mfalme Mohammad VI Bakwata Makao Makuu. Mufti amewataka Mashekhe wote wa Mikoa, Wilaya, Kata...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Vyoo vya Uwanja wa ndege wa Sheikh Abeid Aman Karume ni aibu tupu

    Jaman wahusika waambiwe tunalitia aibu taifa vyoo vya terminal 3 tayari vinafanana na vya stendi ya zamani ya ubungo. Zile shimo za kutolea maji chini ziko wazi imagine wageni walikuwa wanasifu uwanja leo wanauponda kuta za terminal 3 tayari zimekwanguka hasa upande wanaowasiri wageni wa nje...
  20. E

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mawinda: Sikumaanisha Lissu auawe

    Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano Dar es Salaam, Sheikh Mohamed Mawinda, amesea kauli yake kuhusu wanaovunja amai nchini aliyoitoa Julai 5, 2025 haikumaanisha kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu auawe. Akizungumza katika uzinduzi wa kanisa la Arise and Shine uliofanyika Julai 5...
Back
Top Bottom