Shamba lingine la Uhuru Kenyatta lavamiwa

Kenyan

JF-Expert Member
Jun 7, 2012
414
313
Polisi wamelazimika kutumia mabomu ya machozi kutawanya Vijana wa Kimaasai maarufu kama 'morans' baada ya kuvamia ardhi ya Uhuru Kenyatta iliyoko Kedong', kaunti ya Narok.

Duru za kuaminika zinasema kuwa wiki iliyopita Mbunge wa Eneo hilo Ken Aramat, aliapa kuongoza morans katika harakati za kuikomboa ardhi ya Wamaasai inayomilikiwa na familia ya Kenyatta.

Kitendo hiki kinakuja yapata siku mbili tu baada ya shamba la Kenyatta lililoko Ruiru kaunti ya Kiambu kuvamiwa na mamia ya mbuzi aina Dorper kuibwa.

Kwa sasa mashamba yote hayo mawili yapo chini ya ulinzi mkali wa maafisa wa polisi.

20230330_151117.jpg
 
Uhuru na familia yake na wahuni tu. Walitumia vibaya madaraka kujilimbikizia ardhi uku maelfu ya wakenya wakikosa malisho ya mifugo yao
 
Back
Top Bottom