Kwanza inatakiwa utoe oda zaidi ya siku14 ndo upate vifaranga.
Vifaranga vyenyewe wamechakachua ubora hafifu!
Ona bei zao wanajipangia wanavyopenda wao.
Ukikoswa mzigo Hadi uanze kuwa bembeleza na kuwauliza kwahiyo lini nitapata mzigo !?
Company nyingi zipo kitapeli na uhuni mwingi wanajari...
Leo Juni 12 mwaka 2025 nilikwenda Morogoro kwa shughuli zangu za kibiashara kuanzia Msamvu mapa Masika na Mjini yote nyumba za kulala wageni (Gest house) zimejaa
Nikiwauliza wenye nyumba hizo za kulala wageni kulikoni sio kawaida hii hali wakaniambia Watumishi wengi wengi wa Umma wako mji huu...
Serikali imeongeza kiwango cha kodi kwa washindi wa michezo ya kubashiri (Betting) ambapo Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amesema Ongezeko la kiwango hiko cha fedha kitakachopatikana, asilimia 70 itaenda katika mfuko wa serikali kupambana na Ukimwi na asilimia 30 kuchangia mfuko wa bima ya...
Kumekuwa na mlundikano wa vinywaji chonganishi au vinywaji vikali vya bei pwaaaa. Kwa wao wanaita visungura na vibom. NAITA VINYWAJI CHONGANISHI KWA KUWA MARA NYINGI VIMEKUWA VIKICHONGANISHA WANYWAJI NA WASIO NA PIA WANYWAJI NA SERIKALI. HAVILETI AMANI KWA WATUMIAJI.
Lakini pia kumekuwa na...
Wakuu,
Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba amependekeza kupunguza kiwango cha ushuru wa bidhaa kwenye vinywaji vya kuongeza nguvu (energy drinks) vinavyozalishwa ndani ya nchi kutoka Sh561 kwa kila lita hadiSh134.2 kwa kila lita.
Akiwasilisha hotuba ya bajeti ya Serikali ya mwaka 2025/2026 leo...
Uanzishaji wa Vyanzo vya Mapato kwa Ajili ya Kudhibiti Maambukizi ya Ukimwi na Kugharamia Bima ya Afya kwa Wote
Kutoza magari na mashine (heavy machines) zinazoingizwa kutoka nje ya nchi kama ifuatavyo: Shilingi 50,000 kwa magari yenye ukubwa wa injini (CC) kati ya 0 -1000; Shilingi 100,000 kwa...
Shirika la Fedha la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (DFC) wiki hii lipo nchini Tanzania kujadili mikakati ya jinsi ya kuwavutia wawekezaji wa Kimarekani kuja Tanzania ili kushirikiana na makampuni ya Kitanzania, hasa katika sekta za miundombinu na madini muhimu. Kaimu Balozi Andrew Lentz...
Kwa dhati kabisa naomba Rais Samia muondoe huyu naibu waziri kwenye hii nafasi anaitumia vibaya mno Kwa maslahi, mapenzi na ushabiki wake. Hii wizara wamepita mawaziri wengi ila ila huyu naibu waziri amekuwa kiongozi wa kutengeneza migogoro pale TFF
Huyu naibu waziri ametoa matamko ya kutia...
“Tathmini inaonesha kuwa wananchi walio wengi wanaridhishwa na utendaji wa serikali katika kutekeleza programu na miradi ya maendeleo. Kwa mfano, utafiti uliofanywa na Taasisi ya Afrobarometer mwezi Juni – Julai 2024 ulionesha kuwa asilimia 71 ya wananchi waliohojiwa walisema wanaridhishwa na...
Kauli aliyotoa Waziri wa Kilimo Hussein Bashe jana Juni 11,2025 Dodoma
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, amesema kuwa Serikali itanunua tani 200,000(Laki mbili) za mbolea ili kuzipeleka katika maeneo ambayo matumizi ya mbolea bado ni madogo, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kulinda viwanda vya...
Leo Juni 12, 2025 Waziri wa Fedha Dr. Mwigulu Nchemba atawasilisha Bajeti Kuu ya Serikali 2025/2026, nini vitakuwa vipaombele vya serikari? Matarajio ya Wanachi, Taasisi na Asasi za Kiraia yatafikiwa?
Kabla ya kuwasilisha hotuba hiyo, Bunge linapitisha hali ya uchumi wa Taifa kwa mwaka 2024 na...
Hii ni barabara ya Njombe Songea, upana wake hata barabara za mataani zina nafuu. Kila siku tunalalamika ajali, ila kwa wembamba huu wa barabara lazima tuendelee kufa tu.
Sasa sijajua kwa barabara ilikuwa kwa ajiri ya majaribio (demo) au ni kitu gani!
Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) taifa, Hashimu Rungwe ameitaka Serikali kutoa ruzuku kwa hospitali zote nchini pamoja shule zote za msingi na sekondari ili wagonjwa wasio na ndugu wapate chakula bure huku wanafunzi ambao wazazi wao hawana uwezo wa kuchangia chakula shuleni...
Mlio wekeza Tanzania kwenye kampuni kubwa tuambieni changamoto mnazo pitia mnashauri nini kwa hii serikali au tukawekeze kwa kupitia ulaya.
Kwa yanayoendelea Tanzania ni wazi nchi inanuka rushwa sasa na haki hakuna tena, kuwekeza Tanzania alafu ni raia ni sawa na kujiwekea kitanzi au mnasemaje...
Mbunge wa Jimbo la Makete (CCM) Festo Sanga ameitaka serikali kutoa kauli kuhusu mvutano unaoendelea kuhusu Dabi ya Kariakoo inayohusisha klabu za Simba na Yanga.
Akijibu swali hilo Jumatano Juni 11,2025 Bungeni Jijini Dodoma Naibu Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma amesema...
Serikali imeendelea kuboresha miundombinu ya elimu nchini ikiwa ni pamoja na kujenga uzio katika shule mbalimbali za msingi kwa kuzipa kipaumbele shule zenye watoto wenye mahitaji maalumu.
Hayo yamesemwa bungeni Jijini Dodoma na Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa...
Ile ya Simba SC kusema / kutangaza kuwa Mechi na Yanga SC ya tarehe 15 Juni Ipo ni Geresha / Zuga tu.
Hata hizi Press Conference mbili za juzi za Yanga SC na zenyewe ni Zuga / Geresha tu.
Kwakuwa Yanga SC wamegomea Kucheza na Simba SC tarehe 15 Juni, 2025 kama ilivyopangwa na Bodi ya Ligi na...
Something is wrong somewhere!
Kwa muda wa miaka miwili na zaidi sasa takwimu zinazotolewa na Serikali na vyombo mbalimbali vya habari vya ndani na nje ya nchi zinadai kuwa Tanzania tunaongoza kwa kupokea idadi kubwa ya Watalii wanaotembelea nchi yetu ikiwemo mbuga zetu za wanyama na vivutio...
Hivi kila kilichofanyika wakati wa Magufuli ni lazima kidumishwe?
Kipindi cha Magufuli wahuni wachache ili kulinda nafasi zao wakaona wamkoshe Rais kwa kutoa gawio kwa serikali. Mashirika mengi yanajiendesha kwa hasara, watumishi wana hali ngumu na wale wanaoonekana kuwa super basi wako mahali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.