serikali

  1. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania HESLB si msaada tena, ni trap ya mateso. Mnatudhulumu live na bado mnataka tuwaite serikali sikivu?

    Sasa hebu tuongee real talk, no filters, no sugarcoating – straight up raw! Hii kitu mnaita HESLB si msaada tena, ni trap ya mateso. Mnatudhulumu live na bado mnataka tuwaite serikali sikivu? Y’all wildin’ for real! Wanachuo tumekuwa kama orphans in the system. Boom haiji, ikija ni kama charity...
  2. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania HESLB na serikali, mnatuchezea kama maboy wa mtaani – acha ujinga wenu

    Sasa hebu tuongee real talk, no filters, no sugarcoating – straight up raw! Hii kitu mnaita HELSB si msaada tena, ni trap ya mateso. Mnatudhulumu live na bado mnataka tuwaite serikali sikivu? Y’all wildin’ for real! Wanachuo tumekuwa kama orphans in the system. Boom haiji, ikija ni kama charity...
  3. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Serikali yaunda timu kufanya tathmini bei kubwa uunganishaji umeme

    "Mhe. Spika imeelezwa pia bei ya kuunganisha umeme vijijini na Mijini. Nieleze la kwanza kwamba bei ya kuunganisha umeme ni shilingi 27, 000 vijijini na kwenye Vijiji miji. Serikali inaendelea kuunganisha umeme kupitia mpango wa National energy Compact na kwa mwaka 2025/26 serikali kupitia REA...
  4. Nipe Maji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali yajipanga kuongeza mikopo ya wanafunzi wa stashahada

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amesema Serikali imejipanga kuongeza wigo wa utoaji wa mikopo kwa wanafunzi wa vyuo vya kati vinavyotoa stashahada lengo ni kuongeza idadi ya wataalamu. Utoaji wa mikopo katika ngazi za stashahada kwa wanafunzi wa ngazi hiyo ya elimu...
  5. uran

    JamiiForums Tanzania Kigamboni: Eneo lenye watu Wapole, Wavumilivu na Wanaonewa zaidi na Serikali yao

    Kigamboni, yaani wanaonewa kwa kila kitu. 1. Kivuko sasa wanalipa Tsh 500 kutoka Tsh 200. ni ongezeko la 150% wote kimya. 2. Ndiyo wananchi wenye toll road (Barabara ya kulipia) wakati sio luxury. Hakuna kelele. 3. Hawana mwakilishi for almost 7 months. Wamepiga kimya. 4. Siku kadhaa pamoja...
  6. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali yazima matangazo yote kuhusu kamari (mkeka) nchini

    SERIKALI, kupitia Bodi ya Kudhibiti na Kusimamia Kamari (BCLB), imesitisha matangazo yote ya kamari katika majukwaa yote ya vyombo vya habari nchini kwa kipindi cha siku 30, kufuatia ongezeko la shughuli za kamari na uraibu unaoathiri jamii. Katika taarifa iliyotolewa Jumanne, Aprili 29...
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Kuja na Mpango wa Kulipa Posho Wazee

    SERIKALI KUJA NA MPANGO WA KUWALIPA POSHO WAZEE Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Patrobas Katambi amesema Serikali inaangalia uwezekano wa kuwanusuru wazee na lindi la umasikini kwa kuanza kuwalipa posho kila mwezi endapo hali ya uchumi...
  8. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Serikali iongeze ada ya vibali vya kujenga mahoteli kwenye mbuga zetu

    Kwa sasa kibali kinatolewa kwa dola 20,000 ambacho wawekezaji wengi wanakimudu hivyo kufanya mbuga zetu kuzidi kuharibika na kuathiri asili yake. Kwa mujibu wa muongoza watalii Simon Sirikwa ni kuwa kwa sasa Serengeti imekuwa kama Ngarenaro. Majengo mengi na binadamu wa kutosha. Hii ina athari...
  9. S

    JamiiForums Tanzania CCM ni MAKUPE walioiganda Serikali ya Tanzania

    Angalia ikiwa wewe au watoto wako mna kupe katika ukoo wenu, CCM na serikali yake yote vikiwemo vyombo vyake havina tofauti na mdudu Kupe. CCM sio chawa ni kupe.
  10. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Je watendaji wetu wanapofanya kitu ni kwa sababu ya rais, serikali au taifa?

    Si nadra kusikia watendaji wa umma wakisema "rais amefanya, ametoa, anataka, hataki,' na mengine mengi. Je watendaji wetu wapo kwa ajili ya rais au taifa? Je wanafanya wafanyayo kwa sababu ya hisani, mapenzi, au utashi wa rais au matakwa ya sheria za nchi? Je rais wetu ni sheria na yuko juu ya...
  11. Nipe Maji

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Nyang'hwale aishauri serikali kuweka bei elekezi ya kuunganisha umeme

    Serikali imeshauriwa kuweka bei elekezi ya uunganishaji wa umeme maeneo yote nchini ili kuwawezesha wananchi wa mijini na vijijini waweze kupata huduma hiyo. Ushauri huo umetolewa leo Jumatatu Aprili 28,2025 bungeni Jijini Dodoma na Mbunge wa jimbo la Nyang'hwale Hussein Nassor wakati...
  12. Just Pray

    JamiiForums Tanzania DC Magoti asema hakuna wa kuhoji, aagiza waliouziwa eneo la serikali wajisalimishe

    Wananchi wa Kijiji cha Homboza wilayani Kisarawe mkoani Pwani, wameiomba Serikali iingilie kati mgogoro wa ardhi uliopo na watu kupata vitisho na kujeruhiwa mara kwa mara sababu kubwa ikiwa ni kuuziwa ardhi eneo la Serikali. Wameyasema hayo mbele ya Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Bw. Petro Magoti...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali yatunga Kanuni kuzuia Wageni kuingia kwenye leseni ndogo za uchimbaji madini bila utaratibu

    Serikali kupitia Wizara ya Madini imetunga kanuni za msaada wa kiufundi katika Leseni ndogo za uchimbaji wa Madini ambapo zitaratibu ushiriki wa wageni katika Leseni ndogo za uchimbaji wa Madini(PML) ambazo kwa mujibu wa kifungu cha 8 cha Sheria ya Madini sura ya 123,kimezitamka Leseni hizi kama...
  14. Damaso

    JamiiForums Tanzania Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Mkoa wa Ruvuma, kimeiomba serikali kuwaongezea walimu kikokotoo kutoka asilimia 40 mpaka asilimia 50

    Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Mkoa wa Ruvuma, kimeiomba serikali kuwongezea walimu kikokotoo kutoka asilimia 40 wanayopokea sasa hadi kufikia asilimia 50 waliyokua wakiipokea awali ili iweze kuwapunguzia makali ya maisha na kuongeza ari na tija zaidi kwa walimu kufundisha wanafunzi...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Nini kitatokea baadaye endapo serikali itaendeleza tamaduni hii tukilejea mataifa Yale yalipitia hali hii inayopitia Tanzania ??

    Swali lako ni zito sana, na linaonesha unafikiria mbali — kuangalia historia ili kufahamu hatima ya taifa kama hali ya sasa itaendelea. Tukitazama mataifa mengine yaliyopitia hali kama Tanzania ya sasa (yaani, serikali kudharau raia, kukandamiza uhuru wa watu, kukithiri kwa rushwa, na ukiukaji...
  16. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Maafisa wakuu wa IDF wanazidi kuishauli Serikali iwaachie waiangamize Gaza!!

    Maafisa wakuu wa IDF wanazidi kuishauri Serikali iwaachie waiangamize Gaza, na walitoa taarifa ifuatayo mwishoni mwa wiki: “Toka vita vianze Gaza tulikuwa tumeichukua lakini Serikali wakaingia makubaliano na magaidi wa Hamas tukaondoka kwenye maeneo tuliyokuwa tukiyadhibiti baada ya makubaliano...
  17. H

    JamiiForums Tanzania "Kila sheria ni haramu, kila serikali juu ya uso wa dunia ni haramu"By Bob Marley

    Huu ndiyo uhalisia kwani sheria zimewekwa na serikali ambazo zina tanguliza masilahi ya familia za viongozi wake.
  18. nipo online

    JamiiForums Tanzania Dogo wa kazi kaambiwa aripoti ofisi ya serikali ya mtaa juma tatu asubuhi

    Jumamosi ya mwisho wa mwezi ni ya usafi huku adi sa 4 asubui , Leo asubui dogo kafungua goli (salon) sa 3 na nusu , gafla kaja mtendaji kamuuliza jina na kuchukua namba yake ya simu, kisha kamwambia Leo hajafanya usafi aripoti ofisini juma 3. Dogo kabaki ameshangaa maana hata ofisi ya serikali...
  19. Bams

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia Awaahidi Wananchi Uchaguzi Mkuu Utakuwa Wa Amani, Huru, na Wa Haki, Kama Ulivyokuwa wa Serikali za Mitaa 2024

    Hotuba ya Rais Samia, jana usiku, pamoja na mambo mengine, aliongelea kuhusu uchaguzi mkuu wa 2025, akisema kuwa Serikali yake itahakikisha uchaguzi mkuu wa 2025 utakuwa wa amani, huru na wa haki. Maneno haya pia Rais Samia aliyatamka mwaka 2024 wakati akiwahamasisha wananchi kujitokeza kwenye...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa serikali mliwezaje kutoboa, mbona mimi naenda kushindwa

    Habari za jioni. Nimeshindwa kupata usingizi kutokana na wimbi la mawazo. Wakuu Take home yangu 613K Mimi ajira mpya mwaka jana ila nimekuwa na wimbi la mawazo na kuona kama sitaweza kutoboa labda nIpate washauri wengine wa maisha labda. Nnafanya kazi mkoani,ila kadri siku zinavyoenda ninaona...
Back
Top Bottom