"Matukio haya kwa Pattern yake pamoja na kuwa mzigo wote unaliendea jeshi la polisi kwa sababu jeshi la polisi na vyombo vyake ndilo ambalo lilikuwa mstari wa mbele siku ya jana kwenye kamatakamata kwenye vipigo, kwenye matukio yote. Lakini ukiyatazama kiundani matukio ya jana kivyovyote vile...
SERIKALI IMESHINDA KESI 352 MWAKA 2024/25
Katika kipindi cha kuanzia mwezi Julai, 2024 hadi Machi, 2025,
Kesi 867 ziliendeshwa mahakamani zikiwemo kesi mpya 461.
Kati ya kesi mpya zilizofunguliwa mahakamani, 10 ni kesi kubwa ambazo zilifunguliwa katika Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya...
Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imepanga kutumia kiasi cha zaidi ya shilingi bilioni 30 kwa ajili ya ukarabati wa barabara muhimu za maeneo mbalimbali nchini zilizoharibiwa na mvua.
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ametoa taarifa hiyo akiwa mkoani Morogoro alikoenda kwa dharura baada ya...
Huwezi kulala usiku, Asubuhi utoe zuio kama hilo, Bila kujua ni Bidhaa gan ' perishable goods ' ziko njiani kuelekea Nchi Jirani , na Zuio kama lake litagharimu Hasara kiasi gani.
Pia soma: Bashe apiga marufuku mazao ya kilimo kutoka Malawi na Afrika Kusini kuingizwa nchini
BASHE alikua na...
Maana wenye makanisa hayo juu hawajaonekana kukerwa na kinacho fanywa, nadhani inabidi mjitafakari dini yenu inaamini katika nini?au mnathamini fedha na mali na sadaka zao tuu kuliko utu wao?
"Serikali ni watu waliochaguliwa na watu kwa manufaa ya watu"
Kwa mantiki hii serikali ni mali ya wote na haipaswi kumilikishwa kwa watu wachache.
Kikundi cha watu "Chama Cha siasa" kinachoshinda kuongoza serikali hakipewi hatimiliki ya taifa kuwa kitaongoza milele.
Iwapo serikali itawajibika...
Wanabodi
Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa October, from time to time nitakuwa nafanya makala fupi za uelimishaji umma elimu kwa kujitolea kusaidia kuelimisha umma umuhimu wa kujiandikisha kupiga kura na kujitokeza kupiga kura siku ya kupiga kura.
Somo la kwanza ni kuijua thamani ya kura yako.
Kitu...
Si mara moja wala mbili kumuona Jakaya Kikwete akipewa majukumu ambayo yangeweza kufanywa na waziri wa. mambo ya nchi za nje kama kumpigia kampeni daktari Janaba na mwanae kuteuliwa uwaziri japo ni kilaza.
Je anao ubia kwenye sirikali hii? Sielewi. Naomba wanangu mnieleweshe kama mshaliona hili.
Hivi karibuni Mwijaku kalizua baada ya video kusambaa ikionyesha watoto wa chuo wakimgombania.
Kwenye malumbano Yao inaonekana mara mwisho Mwijaku alizini na mmoja kati Yao mwanzoni mwa mwezi huu ikiwa ni ndani ya mwezi mtukufu wa ramadhani na mfungo kwaresma pia.
Ikumbukwe ana mke na...
Napenda kujua
Naomba kujua favor anzopata mtu mwenye ulemavu kwenye ajira za utumishi ikiwa labda kafeli oral au hata written wanamsaidiaje hapo? Nina ndugu yangu Kaomba Hz kazi za ualimu masomo ya biashara yeye kakatika mkono
Ningependa kujua
Naomba kujua favor anzopata mtu mwenye ulemavu kwenye ajira za utumishi ikiwa labda kafeli oral au hata written wanamsaidiaje hapo? Nina ndugu yangu Kaomba Hz kazi za ualimu masomo ya biashara yeye kakatika mkono
Viongozi wa dini, kwa dini zote, huchukuliwa kama wazazi na walezi wa waumini wao. Ni kwa sababu hiyo, viongozi wa dinni kwa kutambua wajibu wao, wametoa ujumbe kwa Serikali juu ya umuhimu wa kuwa na marekebisho ya sheria, kanuni na mifumo yetu ya uchaguzi, ili uchaguzi mkuu kuwa wa haki na...
Ni neema na baraka za Mungu Tanzania imebarikiwa kua na kiongozi mbeba maono ya waTanzania wo ambae mstahimilivu na mwenye subra kama Dr.Samia Suluhu Hassn, licha ya chuki na upotoshaji unaoelekezwa dhidi yake na wanasiasa waliopoteza uelekeo wakiungana na viongozi wa dini kwasababu Dr.Samia...
Jeshi la Burkina Faso lasema lilizuia njama 'kuu' ya mapinduzi.
Serikali ya kijeshi ya Burkina Faso imesema ilitibua "njama kubwa" ya kumpindua kiongozi wa kijeshi Kapteni Ibrahim Traoré, huku jeshi likidai kuwa wapangaji hao walikuwa na makao yao katika nchi jirani ya Ivory Coast.
Waziri wa...
Nimeiuliza akili mnemba (WhatsApp chatGPT), kama serikali inaweza kuzalisha ama Kutengeneza fedha hewa..?
Na haya ndio majibu iliyonipa..
Baada yakusoma majibu haya nitahitaji nawewe unijibu swali hilo.
[22/04, 16:24] Akili mnemba: Swali lako ni la msingi sana, na linaingia kwenye uchambuzi wa...
Huu ni unafiki mwingine wa wanasiasa, kwamba katika mambo mengi sana ya shughuli za kiserikali na kisiasa nchini, mnawaalika viongozi wa dini na kutaka wawabariki katika mamlaka yenu nk. Kila wakati tunawaona kina Makonda wakiomba waombewe na viongozi wa dini mara nyingine kwa magoti na machozi...
Wanandugu
Nimemwona Makonda kwenye clip inayotembea huko mtandaoni. Kwa kweli inaonyesha kama amepatwa na kiwewe cha ajabu huu uchaguzi.
Amepaniki kinyama kuonyesha dhahiri niwasisi wa haya maovu ya kuvunja haki za uchaguzi na nyinginezo.
Ninavyojua makuhani wetu wa dini hawana mipaka kwenye...
Nashindwa kuelewa Kigoma tuna bahati mbaya gani kwa sababu Tanzania nzima serikali imewasaidia wahanga wote lakini Kigoma hatujasaidiwa, tunaomba tu Serikali itusaidie na sisi" - Mwananchi.
Madereva wa magari ya serikali katika halmashauri ya wilaya ya Maswa mkoani Simiyu, wamemlalamikia,Katibu Tawala wa wilaya(DAS)ya Maswa,Athuman Kalaghe kwa madai ya kuamrishwa kuacha sehemu ya mafuta wanayopewa kwa matumizi ya magari yao, ili kiongozi huyo ayatumie kwa matumizi binafsi.
Kwa...
Anonymous
Thread
kiongozi
kuhujumu
mafuta
magari
magari ya serikaliserikali
wilaya
wilaya ya maswa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.