Nimekuwa nikimsoma Bill Lugano jamaa ana madini sana. Sijashangaa kuona mataifa mbalimbali yanamtumia kukuza uchumi wao.
Za ndani ni kuwa ndiye mshauri mkuu wa Serikali ya China, Russia na Marekani.
Nashangaa serikali yetu inakumbatia akina Babu Tale, Musukuma, Mwigulu,Bashe inaacha huyu jamaa...
Naibu waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Hamis Mwinjuma amesema kuwa, Mfumo wa Artist Information Management System (AMIS) ambao umeunganishwa na TAUSI kutoka TAMISEMI umerahisisha usajili wa wasanii ambapo kati ya Julai 2024 hadi Aprili 2025 wasanii binafsi 844, vikundi 158...
Wakuu, kuna uhitaji au ulazima wowote wa kujenga ofisi mpya za mkuu wa mkoa wa Dar es salaam zikiwa zimetolewa bilioni sita sasa, Ofisi zilizopo sasa zina changamoto gani mpaka kutaka kujenga ofisi mpya?
==
Serikali imetoa fedha shilingi Bilioni sita, kwa ajili ya kujenga ofisi mpya ya Mkuu wa...
Kwanza nitoe pole kwa mamlaka za Serikali kwa changamoto hii kubwa ya kudukuliwa kwa account za Serikali
Tatizo hili limesababishwa na baadhi ya viongozi wa Serikali wasio na uadilifu walioamua kuwapa wahalifu nywila za kuingia kwenye kurasa za Serikali
Taarifa inayosambaa mitandaoni kuhusiana...
Serikali imesema inaendelea kutekeleza mkakati mahsusi wa kuhakikisha wagonjwa wa afya ya akili wanapata dawa bure au kwa gharama nafuu, kwa kuzingatia Sera ya Afya ya Mwaka 2007, sura ya 5, sehemu ya 4, ibara ya 1 hadi 3, inayotoa mwongozo wa utoaji wa huduma kwa watu wenye magonjwa ya muda...
Mashabiki wa Simba wameingizwa hasara tena za kijinga ya viingolio vyao kuporwa na wahuni wa mijini, hali hii itakoma lini na nani ataikomesha?
Baada ya mechi ya nusu finali kati ya Simba vs Al-Masry kwenye uwanja wa Mkapa CAF walishakata shauri kuwa mechi ya final haitachezwa Benjamin Mkapa...
Ukitaka kuyagundua Haya kaa nao piga nao story yaani wengi wao ni weupe kichwani , yaani mtu hajui hata maana ya neno "hacking" wakuu
Sio Siri kitaa kinachangamsha kinamfanya mtu awe mbunifu na kufikiria kwa kiwango kikubwa. Kwanini mtu akishaingia kwenye mfumo baada ya muda fulani anakuwa...
Kama utapata mda kuna kipindi kina channel yake kikiitwa radio47 kuna mkenya mmoja kaeleza kama kafunguka kwa hasira.
Anavyo dai tanpol kwenye account zake kwenye nywira (password) wametumia jina la diamond,zuchu au mama samia 1234 ndio zinatumika.
Mpaka anaeleza haya inawezekana hata account...
Wilaya ya Nanyumbu, mkoani Mtwara, imeanza kunufaika na rasilimali zake za madini baada ya Serikali kuthibitisha kuwa madini ya dhahabu yenye thamani ya shilingi bilioni 1.28 yamezalishwa wilayani humo katika kipindi cha miaka minne (2020–2023).
Hayo yameelezwa leo Mei 20 2025 bungeni jijini...
Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Dkt. Festo Dugange amesema Serikali itaendelea kutenga na kupeleka fedha kwenye halmashauri zote nchini kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa miundombinu ya vituo vya afya ili viweze kutoa huduma stahiki kwa wananchi.
Dkt. Duagange ameyasema hayo Bungeni Jijini...
Katika tukio la kushangaza na kusikitisha, kurasa mbalimbali maarufu mtandaoni zimelengwa na wadukuzi wasiojulikana walioteka akaunti rasmi ya Polisi Tanzania kwenye mtandao wa X (zamani Twitter), ukurasa wa Airtel Tanzania kwenye X, akaunti ya YouTube ya klabu ya Simba SC, ukurasa wa X wa Kituo...
Ujumbe tumeupata kupitia udukuzi. Wakenya ni majirani wapinzani Kiuchumi, Kisiasa nk. Lkn kwa bahati mbaya tumewapa kazi zooooote za kututengenezea mifumo Nyeti ya serikali kukusanya mapato, Apps, Mishahara nk nk nk.
Tulionya, tukasema tukafoka tukatokwa mapovu hamkuelewa.
Anyway tumevuliwa...
Wakuu,
Karibuni tufahamu kwa uchache kuhusu nchi ya Finland kuhusu usawa wa haki na maisha ya kazi.
Nchi hii imekuwa kinara wa usawa wa kijinsia kwa muda mrefu. Wafinlandi wamezoea kuwaona wanawake wakiwa katika nyadhifa za juu serikalini, katika sekta ya biashara, na hata kanisani.
Mfumo...
Aliyekuwa Makamu wa Rais nchini Kenya Mheshimiwa Rigathi Gachagua amesema maisha yake yapo hatarini akimtuhumu Rais William Ruto kuhusika na tishio hilo.
Gachagua amesema alipewa taarifa kuwa maafisa wa serikali wakishirikiana na polisi walipewa amri ya kumuwekea sumu kwa njia hewa akiwa...
Kuna ambao hapa wanasema kila siku tunataka nchi ya amani na kufuata sheria sasa je watekaji wanafuata sheria
Kama serikali inafuata sheria na katiba kwanini Polisi na usalama wanateka watu? hiyo ya juzi
https://youtu.be/kIxFCHt9t1A?si=bxFkzJxgjLraKtI7
Hapo vip!!
Niwazi yakwamba pamoja na jitahada za serikali na club ya Simba kuishawishi CAF match ipigiwe pale kwa Mkapa,eti CAF wamewaona serikali na club ya Simba ni wababaishaji wasiojielewa.
Sasa ni bora serikali imwage ugali,itangaze pale Amani kuna mkutano wa kiserikali pale Amani...
Hii mechi imekuwa na sintofahamu nyingi ni wapi itafanyika, Caf walishatoa ratiba Simba wanalijua hilo na TFF wanayo taarifa kamili ni wapi mchezo huo utafanyika
Maajabu ni kwamba Simba na TFF ni kama wanaisaidia serikali kupoteza ukweli kuwa uwanja wa Benjamin Mkapa ni mbovu sehemu ya kuchezea...
Hali inaongezeka kila siku nchini za viongozi wa Tanzania kutaka kujitutumua na kujitofautisha na Watanzania wengine, wananchi wa kawaida. Ile roho chafu ya "unanijua mimi ni nani" inawapa kiburi sana watu wanaojiona wao ni watawala nchini, pamoja na watu wa vyombo vyao vya dola.
Angalia kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.