serikali

  1. ommytk

    JamiiForums Tanzania Serikali ya mkoa Dar es salaam mtusaidie kuhusu watu wanaombaomba hapa maeneo ya cheif pride, na msikiti wa sunni

    Kuna wimbi kubwa la wamama wanakuja mjini kuomba wakiwa na nguvu zao wala si wahitaji kwa maana wana uwezo kufanya kazi haya maeneo niliyotaja wamefanya kama vijiwe vyao yaaani wanasumbua sana Wageni na sio tu kuomba wanapora kabisa wanakuwa na watoto wadogo yaaninwamama wazima wana maisha yao...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Baraza langu la Mawaziri Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan baada ya uchaguzi 2025

    Nitafurahi sana Baraza la Mawaziri likiwa hivi, watu wa kazi kabisa hawa 1. Pro Kitila Mkumbo - Waziri Mkuu 2. Jumaa Aweso - Waziri wa Maji 3. Hussein Bashe - Waziri wa Kilimo 4. David Kafullila - Waziri wa Mipango na Uwekezaji 5 Waziri wa Viwanda na Biashara - Kadogosa 6 Michezo na Utamaduni -...
  3. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Samia anasema Ajira si jukumu la Serikali. So msitegemee kitu

  4. nipo online

    JamiiForums Tanzania Serikali ya mtaa imenilima faini ya elf 50, kisa sijafanya usafi

    wakuu, wakuu samahani naomba ushauri sina ela kwa sasa Leo wife Aliitwa ofisini akaenda akakuta mashitaka kua sijafyeka majani kuzungukia nyumba, nyumba ni ya urithi kuna wapangaji kadhaa, namwambia wapangaji tulipe wamegoma kulipa wanadai huo ni mzigo wangu, tupo hapa manispaa ya nyanda za...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Wazabuni wa Taasisi za Serikali tunapata tabu sana kulipwa madai yetu

    Hivi najiuliza hawa viongozi wa taasisi za umma wanaotoaga order za mahitaji kwa wazabuni, wanadhani wazabuni wana visima vya pesa. Hawajali kabisa kulipa kwa wakati!! Nakumbuka Magufuli aliwahi kuwaambia hizi taasisi za umma kama huna hela usiagize bidhaa kwa mzabuni, ila sasahivi Jamaa kama...
  6. Fbn

    JamiiForums Tanzania Serikali inakataza watumishi kuwa kwenye vyama vya siasa ila CCM inawafanya serikali kuwatumia watumishi kwenye siasa za CCM

    Leo tunaona msajili wa vyama kukumbatia CCm. Leo tunaona polisi kama sio mwana CCm basi maisha yako ni kenge. Leo tunaona magari ya polisi kubeba wananchi washiriki mkutano wa CCM. Leo tunaona watumishi wanaendeshwa na CCM wala sio serikali. Hivi tutafika kwa maisha haya.
  7. J

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Mbia anaweza kudhaminiwa au kuchangiwa sehemu kidogo ya mtaji na Serikali kama kivutio hasa kwenye Miradi isiyo na sura ya kibiashara

    Mkurugenzi Mtendaji wa PPPC David Kafulila amesema kuwa muwekezaji anaweza kupewa vivutio ikiwemo kuchangiwa mtaji endapo atawekeza kwenye ubia ikiwa ni pamoja na dhamana za serikali kumlinda muwekezaji ambaye anawekeza endapo ikitokea tofauti na jinsi ilivyo kadiriwa na hivyo...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Serikali ipitishe tu lazima kila raia mwenye NIDA awe na bima ya NHIF

    Habari, Hali ni mbaya sana kwa wananchi nchini Tanzania ktk swala la kugharamia matibabu kwani zikoo juu sana,sana na watu wanakufa kwa kushindwa kulipia gharama hizo. Nashauri serikali ifanye maamuzi magumu kwa kila mwananchi mwenye umri wa miaka 18 na NIDA basi alazimishwe kuwa na bima ya...
  9. Nitaenda Misaa yaTatu

    JamiiForums Tanzania Napenda kuuliza Serikali Huwa inawapeleka wapi watu wanaokufa na kuzikukwa Kisha wanapatikana wakiwa hai?

    Mapendo Daima..... Hiki kitu Huwa najiuliza mara nyingi sana Kila akipatikana mtu wa aina hii serikali huwachukua na kwenda nao na Huwa sijui inawapeleka wapi na kamwe Huwa hawarudi maisha Yao yote. Kuna tukio lilitokea Gaita kijijini miaka kadhaa imepita nikiwa Moja ya mashuhuda wa tukio...
  10. stakehigh

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuanzia mwaka 2022 mpaka 2024, Serikali imetumia 3B Ksh kulipia uzembe

    https://www.youtube.com/watch?v=iMrLys3Q9iM
  11. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM na Serikali majibu yenu yako wapi kwenye orodha ya Watanzania waliotekwa iliyotolewa na TLS?

    Serikali na CCM mmepaparuka huko na kusema taarifa ya Gwajima ina walakini, inalenga kuleta chuki kwa serikali, kwamba inabidi serikali iseme upande wake. Orodha ya Gwajima ndio hiyo orodha ya TLS iliyokuwa na watu 80 waliotekwa/kupotea toka mwaka 2016 mpaka Agosti 2024, kama angechukua na watu...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Inawezekana Shule ya Serikali Kukopa Kutoka Benki? Taratibu zipoje?

    Najua humu Kuna wajuzi wengi sana waliohudumu na wanaohudumu serikalini na maeneo mengine, in fact, wakurugenzi pia wapo humu hivyo Nina Imani hoja yangu itapata mashiko na msaada wa kutosha. Inashangaza kuikuta shule Haina photocopy machine Wala printer. Haina meza nzuri Wala viti. Swali langu...
  13. Nipe Maji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali yatoa zaidi ya milioni 815 kukarabati mradi wa Maji Dihimba Mtwara

    SERIKALI kupitia Wizara ya Maji,imetoa Sh.815,453,185 ili kukarabati mradi wa Maji Dihimba utakaohudumia wakazi zaidi 7,489 wa Vijiji vya Dihimba,Mpondomo,Kinyamu na Ndumbwe vilivyopo Halmashauri ya Wilaya Mtwara Mkoani Mtwara. Meneja wa Ruwasa Wilaya ya Mtwara Hamis Mashindike alisema,kati...
  14. Q

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo kazi kubwa 3 za Mbunge wa Tanzania.

    1. Kumsifia Rais. 2. Kuitetea Serikali, na ya mwisho ni, 3. Kujipanga kurudi tena bungeni ili kutekeleza no. 1 & 2. Hawana kazi nyingine zaidi ya hizo, mbwembwe zote mnazoziona zipo kwenye cycle hiyo. Usipotekeleza no. 1, hurudi bungeni. Straight RED card. Usipotekeleza no. 2 huwezi...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati wa Kenya wanaishambulia Serikali yetu, Nasikitika kuona watanzania wengi wapo kimya, huu sio uzalendo, tuipende nchi yetu.

    Kwa jinsi wakenya wanavyoicharua Serikai yetu huko kwao ni sawa na mteja alieenda Kariakoo kafika Dukani, mwenye duka anamuangalia tu winga anavyomcharua bei mteja bila huruma, watanzania walio kimya hawana tofauti na mwenye duka. Sana sana unaowaona wanajibu mashambulizi ni wenye vyeo...
  16. Lady Whistledown

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gachagua awataka Wananchi kuwasusia Wasanii Wakikuyu walioshiriki Kikao cha Serikali

    Gachagua amesema hatua hiyo ni Usaliti kwa Jamii yao hivyo kuwataka watu kutosikiliza Nyimbo zao, kuwa "unfollow" kwenye Mitandao ya Kijamii na kutowaalika kutumbuiza katika matamasha na vilabu vya Starehe hadi watakapoomba radhi Amesema "Wamelipwa Elfu Hamsini kila mmoja (Takriban Tsh. Milioni...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Je, wanaharakati wa Kenya na nchi Jirani watakuja tena kwaajili ya Kesi ya Lisu ili kuzidi kuitia ndimu na kuchafua serikali ya Tanzania?

    Habari za Leo! Tunajua kilichowakuta awamu ya Kwanza. Bado tunaendelea kushuhudia vijana wa Kenya wakitoa sumu kwa Mamlaka ya Tanzania hasahasa kumshambulia Rais wetu. Swali, je wanaharakati hao wataendelea kuja kushuhudia kesi ya Lisu ili kuzidi kuiharibu taswira ya nchi yetu kimataifa...
  18. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHASO yaitaka serikali iache uoga iruhusu siasa vyuoni

    Akizungumza mbele ya Makamu Mwenyekiti John Heche, Mwenyekiti wa jumuiya ya wanafunzi wa CHADEMA vyuo na vyuo vikuu CHASO ameitaka serikali kuacha uoga wa kuzuia siasa vyuoni. Amekumbusha kuwa wapo viongozi mbalimbali waliojulikana kwa kupitia vyuo akataja mfano wa Jaji Joseph Warioba
  19. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Joseph Kabila adai Serikali ya DR Congo ni ya Kidikteta

    Siku chache baada ya Serikali ya DR Congo kuonesha nia ya kumfungulia mashtaka ya uhaini na makosa ya kivita pamoja na kumhusisha na Kundi la Waasi wa M23, Rais wa zamani wa Nchi hiyo, Joseph Kabila (53) amesema inachofanya Serikali ni utawala wa mabavu. Kabila amemkosoa Rais kwa kudhoofisha...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ni uzalendo kufichua ufisadi na mafisadi ndani ya serikali.

    Sabato njema! Ni jukumu la wazalendo mahala popote walipo iwe ni watumishi wa serikali, viongozi wa serikali au raia wa kawaida. Jukumu namba moja la mzalendo ni kulinda nchi yake. Kulinda maslahi ya watanzania. Kufichua ufisadi na mafisadi ni sehenu ya kulinda Nchi na kulinda Maslahi ya...
Back
Top Bottom