Miye kila siku nawaambieni huko kwenu kumejaa nyoka hamtaki kusikia. Huyo kakimbia anawatoa nyumbu wengine kama chombo. Lema mnajiteka wenyewe alafu mnamsingizia Mama. Mkivurugana mnaomba msaada kwa Mama. Na bado
Maelfu ya watu wamejitokeza barabarani jijini Brussels, Ubelgiji, wakishiriki katika mgomo wa kitaifa kupinga mageuzi ya serikali na hatua za kupunguza matumizi, ambazo zimepelekea usafiri wa anga na wa umma kusimama
Vyama vikubwa vitatu vya wafanyakazi nchini humo vimeungana kulalamikia sera...
Kama tutajiingiza katika mfumo wa serikali ya majimbo hapa Tanzania, ni muhimu kuzingatia athari za kisiasa na kijamii ambazo mfumo huu unaweza kuleta.
Mfumo huu unaruhusu kila jimbo kuwa na udhibiti katika utawala na sheria zake, na mara nyingi hii inachochea mgawanyo wa nguvu katika nchi...
Rushwa ni adui wa maendeleo; Chagua mgombea asiyetoa rushwa. Piga 113 kutoa taarifa za rushwa.
SWALI KWENU
HAYA YANAYOFANYWA NA CCM HAMYAONI.
ACHA KUCHEZEA AKILI ZA WATU
Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Abubakar Zubeir amesema Baraza Kuu ya Waislamu wa Tanzania (BAKWATA) itaendelea kusimamia maslahi ya Nchi ambapo ametoa wito kwa watanzania kuendelea kuwa wazalendo na Taifa lao pamoja na kuilinda amani.
Mufti ameeleza hayo leo wakati akizungumza na baadhi ya...
Kuna baadhi ya Watu wamekuwa na tabia ya kwenda Marekani na wakifika huko wanazamia au wanachelewa kurejea ndani ya muda wa Visa ambayo walipewa.
Serikali ya Marekani imeamua kuweka mabadiliko ya maombi ya Visa kwa Nchi kadhaa kama tano au sita, chanzo ni ndugu zetu wanaokwenda na hawarudi...
Mifumo ya kidini inaingiliana sana na serikali,
Kwa vile serikali inalipa wafanyakazi pesa mwisho wa mwezi basi na Makanisa yakaona kutoza fungu la Kumi kila mwezi
huwenda ni tamaduni tumeiga kutoka kwa watu fulani,
nafikiri fungu la kumi kutoa nikwa waajiliwa tu, kwa wafugaji sijajua inakuaje...
Serikali imekanusha madai yanayodai ongezeko la ukandamizaji wa kisiasa nchini humo, huku taifa likielekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.
Akijibu ripoti iliyotolewa na Shirika la Kutetea Haki za Binadamu, Human Rights Watch (HRW), Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema madai hayo...
Mnahamasisha maandamano hamjui wiki ijayo baada ya hiyo TAREHE yenu watoto wanatakiwa kufanya mitihani Kwa utulivu nchi nzima? Tumia akili mtanzania usiendeshwe na mihemko.
Kiufupi kuna watu wengi walikua hawajui aya Maandamano lakini ghafla serikali ikaanza kufanya promotion ya Maandamano huko hamnaga washauri tuchukueni sisi vipanga.
Kuna watu wengi kiufupi walikua hawajui habari za Maandamano kabisa zaidi ya watu ambao wanafuatilia mambo yanayoendelea mitandao...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Karagwe ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC), Innocent Bashungwa, ameendelea na kampeni za kuomba kura za Mgombea wa Urais, Ubunge na Udiwani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Karagwe kwa kueleza kuwa CCM ndicho chama pekee chenye uwezo wa...
Hii kampeni ya kutukana Millard Ayo matusi makubwa haitasaidia katika harakati zetu, I think we are attacking the wrong or weak person.
Huyu kijana hajawai kuongea jeuri kwa wananchi tofauti na watu kama kina diamond, hata kama kalipwa kupost baadhi ya vitu kama kampeni za CCM au kutopost baadh...
serikali inayojali utu wa mtu tunaomba itoe tamko kuhusu Polepole huyu alikua katibu Mwenezi Mjumbe wa kamati kuu Usalama wa Taifa hawezi kupotea kama kuku
Ni simple logic, Samia ndio anaongoza serikali, vyombo vya usalama vinawajibika kulinda mipaka, raia na mali zao.
Kama raia wanatekwa na kuuawa, na mwenye mamlaka yeye hahusiki na huo utekaji, lakini pia
1. Hajui watekaji ni kina nani
2. Huwezi kuzuia utekaji.
Maana yake ameshindwa uongozi i.e...
1. Acha kabisa kutumia Simu
2. Kaa mbali kabisa na Ndugu zako na Marafiki zako uliowazoea
3. Hakikisha kila Siku unahama makazi
4. Matembezi yako yawe ni ya Kimahesabu na yawe ni nyakati za usiku tu
5. Usiwaamini kabisa Watu wa Mtandaoni bali jiamini zaidi Wewe mwenyewe
6. Kataa kabisa kuwa...
Kupitia ukurusa wake wa Instagram Makamu Mwenyekiti CHADEMA ameandika haya.......
"Kukosoa serikali sio jinai, kukosoa mienendo ya serikali na uongozi sio kosa lolote kwenye Nchi hii.
Hatukubaliani na utekaji na utesaji wa Watanzania kwa kisingizio kwamba wanakosoa serikali ya Rais Samia...
https://youtu.be/H1nHdmCnduI
Video iliyosambaa mitandaoni ikumuonesha mwanajeshi aliejitambulisha kama Kapteni John Charles Tesha kutoka kikosi cha anga cha JWTZ, akihamasisha jeshi hilo kuchukua udhibiti wa nchi, huku akidai kuwa nchi inakoelekea ni kubaya.
Utangulizi
Jumamosi ya tarehe 4...
Hayo maneno alipata kuyatamka Mwalimu Nyerere (mwaka 1960), siku chache kabla hajaapishwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanganyika wakati huo.
Lakini miaka michache mbele(1964), jeshi likaasi. Tukio baya kabisa katika maisha ya kisiasa ya Mzee huyu tunayempenda sana.
Ni vizuri kwa viongozi wa nyakati...
Baada ya uchaguzi serikali itakua na kazi kubwa sana watu wengi hawana imani na serikali ya Mama huo ndo ukweli mchungu hata CCM ndani wengi tunajua ndo maana Lissu yuko jela CHADEMA hawako kwenye uchaguzi huo ndo ukweli mchungu tetesi za Ufisadi kwenye awamu mama uwajibikaji kua mdogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.