serikali

  1. JamiiForums Tanzania Amnesty International and Human Rights Watch: Hali ya ukandamizaji wa vyombo vya habari, watetezi wa haki za binadamu na vyama vya upinzani waongezeka

    AMNESTY INTERNATIONAL HUMAN RIGHTS WATCH TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Ukandamizaji wa vyombo vya habari, watetezi wa haki za binadamu na vyama vya upinzani umeongezeka tangu mwaka 2015, zinasema ripoti mbili tofauti za mashirika ya Amnesty International na Human Rights Watch zilizotolewa leo...
  2. J

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Serikali yanunua ndege ili kuutangaza utalii wa nchi yao

    Ndege mpya ya Uganda Airline inayomilikiwa na Serikali ya Uganda leo imezindua rasmi safari zake za kwenda Mombasa Kenya kwa kile kilichoelezwa kuwa kutangaza na kuimarisha sekta ya utalii. Msemaji wa Uganda amesema sasa ndege za shirika hilo zinamilikiwa na Serikali tofauti na hapo awali...
  3. JamiiForums Tanzania UPDP nayo yajiondoa kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa

    Hayo yamebainishwa leo na Mh Fahmi Dovutwa alipokuwa anaongea na waandishi wa habari , ambapo amewaagiza wagombea wote wa chama hicho nchi nzima kutoshiriki uchafu huo
  4. JamiiForums Tanzania CHADEMA yadai uchaguzi ufutwe, kuwe na tume huru na marufuku kutumia nembo ya CHADEMA. Kwa tume iliyopo hakuna jipya imejaa magigisi

    Waziri wa Tamisemi, Seleman Jafo amesema hakuna atakayejitoa uchaguzi wa Serikali za Mitaa na wote waliochukua fomu na kurejesha watashiriki uchaguzi huo kasoro wenye makosa ya uraia, kutojiandikisha katika mtaa husika, kujiandikisha mara mbili, kutodhaminiwa na chama chake #MwananchiUpdates...
  5. JamiiForums Tanzania Tabora: Serikali yamsaka muuguzi aliyebaka mgonjwa

    Wizara ya Afya inafuatilia sakata la muuguzi anayedaiwa kumbaka msichana mgonjwa na kisha kukimbia kusikojulikana. Akizungumza na watumishi wa hospitali ya wilaya ya Igunga na viongozi wa sekta ya afya mkoa wa Tabora, Naibu katibu mkuu (Tamisemi-Afya), Dk Dorothy Gwajima alisema lengo ni kuona...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Serikali za Mitaa umeharibiwa na Rais Magufuli mwenyewe

    watanzania ni wagumu kupambanunuwa mambo kwelikweli. Nimekuwa nikisikia watanzania wengi wakiwemo wanasiasa wakilaumu wasimamizi wa uchaguzi kwa kuharibu uchaguzi. Na wengine wakitaka raisi Magufuli atowe tamko la kukemea uchafuzi huo na kuchukuwa hatua dhidi ya walio husika na uhalibifu wa...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri Jafo abadili gia angani, afuta maamuzi yote ya wasimamizi wa uchaguzi kuwaengua wagombea. Wagombea wote ruksa kushiriki uchaguzi

    Waziri wa Nchi ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo ametangaza kuwaruhusu wagombea wote waliochukuwa fomu na kuzirejesha kwa ajili ya kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika nchini Tanzania Novemba 24, 2019 wanaruhusiwa kushiriki uchaguzi huo...
  8. JamiiForums Tanzania Rasmi NCCR Mageuzi yajitoa Uchaguzi Serikali za Mitaa

    Chama cha NCCR-Mageuzi kimetangaza kujitoa kushiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 24. Msimamo huo umetolewa leo na Mwenyekiti James Mbatia jijini Dodoma. ==== Chama cha NCCR-Mageuzi kimetangaza kujitoa kushiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 24...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Jumuiya ya Ulaya na baadhi ya balozi za nchi za Magharibi kutoa tamko juu ya uchaguzi Serikali za Mitaa

    Halo JF siasa. Habari za uhakika kutoka chanzo cha uhakika ndani ya wizara ya nje, zimenidokeza juu ya ujio wa taarifa kutoka jumuiya ya Ulaya na baadhi ya Balozi za nchi za Magharibi kushutumu mwenendo wa uchaguzi wa serikali za mitaa. Chanzo hicho kimegoma kutaja nchi hizo licha tu ya...
  10. JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini Serikali hii ya Rais Magufuli inawahofia mno wapinzani?

    Nimekuwa nikiwasikiliza wanasiasa wa Chama tawala cha CCM, katika majukwaa ya kisiasa na nilichokishuhudia ni viongozi hao kujigamba kuwa, vyama vya upinzani vya nchi hii vipo mahututi na vinasubiri kuzikwa tu, kutokana na juhudi kubwa inayofanywa na Mheshimiwa Rais ya kufanya maendeleo...
  11. JamiiForums Tanzania Napendekeza serikali ibadilishe noti zote na kuingiza design mpya kwenye mzunguko

    Nadhani ni wakati sasa wa kuflush noti zote zilizopo sasa na kudesign mpya zitakazoingizwa kwenye mzunguko kupitia mabenki. Hii itasaidia kuzifurumusha pesa zote chafu zilizo nje ya mfumo wa kibenki, kuna matrilioni ya pesa chafu yamefichwa chini ya uvungu wa vitanda, hii ndio njia rahisi ya...
  12. JamiiForums Tanzania Waziri Jafo asema atabandika majina hata ya wale waliojitoa na kura zitapigwa

    MATOKEO YA RUFAA ZA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KUTOLEWA NOVEMBA 10. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI SELEMANI JAFO akizungumza Jijini Dodoma amesema katika zoezi la kuchukua fomu kuna makosa mbalimbali yalifanyika katika kujaza fomu nyingi ikiwa ni pamoja na kaukosea majina ya eneo...
  13. JamiiForums Tanzania Baada ya wapinzani kujitoa uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Serikali yamwagiza Jafo kukutana na Wapinzani na kurudisha majina yote

    Kumekucha habari za ndani ya kapeti ni kwamba msimamo wa vyama vya upinzani kujitoa kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa, umewatia kiwewe viongozi wakuu wa ccm na wanachama wao wote wakihofia, kutokukubalika kwa uchaguzi huo kimataifa, idadi ndogo ya watakao jitokeza, Kukosa pesa za kampeni...
  14. JamiiForums Tanzania Vyama vilivyojitoa kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa wawashauri waliokuwa wagombea waandike barua ya kujitoa rasmi

    Hivi punde kuna taarifa ya Waziri wa TAMISEMI ikisema baada ya rufaa wagombea wote waliokuwa wamekata rufaa watarudishwa kwenye kinyang'anyiro. https://www.jamiiforums.com/threads/waziri-jafo-asema-atabandika-majina-hata-ya-wale-waliojitoa-na-kura-zitapigwa.1649064/unread Na ninavyofahamu mimi...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli wapitishe wagombea wa Serikali za Mitaa njia ile uliyopita wewe 2015 vinginevyo hawatakuwa makini

    Ninafahamu dhamana ya wizara ya Tamisemi iko direct mikononi mwa Rais Magufuli hivyo ushauri huu nampa akiwa katika nafasi yake ya ukuu wa Tamisemi. Ni kwamba wagombea wanaobebwa siku zote hawawezi kuwatumikia wananchi hivyo ni heri tukaachana na hii dhana ya kupita bila kupingwa ili tupate...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Deus Kibamba: Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2019 na Mkuu wa 2020 unaweza kushirikisha wapiga kura wachache kuliko chaguzi zote

    Mwanaharakati huru Deusi Kibamba amesema figisu za uchaguzi zilianzia kwenye kura za maoni za CCM na wale waliopitishwa ndio " hao" wanaolazimishwa kupita bila kupingwa. Kibamba amedai kuwa demokrasia ya Tanzania imegawanywa katika vipande viwili wale wanaoruhusiwa kufanya siasa na wale...
  17. JamiiForums Tanzania Chama cha ACT - Wazalendo chajiondoa kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Hayo yametangazwa na kiongozi wa chama hicho Mh Zitto Kabwe. ACT WAZALENDO CHAIFUATA CHADEMA, CHAJITOA KUSHIRIKI UCHAGUZI. Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ametangaza kuwa chama hicho kimejitoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 24, 2019 kwa sababu...
  18. JamiiForums Tanzania Uchaguzi Serikali za Mitaa: Ni huzuni, aibu, fedheha na si afya kwa Chama cha Mapinduzi(CCM)

    Tamko la kimaslahi, mimi ni nwanachama hai wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hivyo ni takayo yawasilisha hapa ni kwa manufaa ya ustawi wa chama changu CCM na Taifa letu kwa ujumla. Nimefatilia kwa umakini mchakato mzima wa uchaguzi wa viongozi wetu katika ngazi ya Serika za Mitaa. Hakika...
  19. JamiiForums Tanzania Wapinzani watakaoshiriki uchaguzi wa serikali za mitaa ni wasaliti wa watanzania

    Baada ya juzi kuandika uzi wenye kichwa cha habari hapo juu, naona Chadema kwa mara ya kwanza wamefanya uamuzi sahihi sana wa kutoshiriki kuhalalisha uchaguzi haramu uonekane halali, pongezi sana kwao sasa ni zamu ya vyama vingine kutoubaliki uchaguzi huu haramu, Zitto Kabwe na Act Wazalendo...
  20. JamiiForums Tanzania CHADEMA yajiondoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Waziri Jafo awashangaa kususia uchaguzi

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ametangaza chama chake kutoshiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 24, 2019 kwa madai wakishiriki wanahalalisha ubatili Maamuzi hayo yanakuja ikiwa ni baada ya Wabunge wa CHADEMA kukutana leo alasiri Novemba 7, 2019 katika Kikao cha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…