Napendekeza serikali ibadilishe noti zote na kuingiza design mpya kwenye mzunguko

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
35,847
40,435
Nadhani ni wakati sasa wa kuflush noti zote zilizopo sasa na kudesign mpya zitakazoingizwa kwenye mzunguko kupitia mabenki.

Hii itasaidia kuzifurumusha pesa zote chafu zilizo nje ya mfumo wa kibenki, kuna matrilioni ya pesa chafu yamefichwa chini ya uvungu wa vitanda, hii ndio njia rahisi ya kuziondoa hizo trillions chafu kwenye mzunguko, maana inabidi upeleke pesa benki ili ubadilishiwe, na hapo ndipo watakatisha pesa watakapojileta wenyewe.

Najua jiwe ni msikivu sana, tusubiri utekelezaji, na samahani kwa wale nitakaowagusa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom