serikali

  1. JamiiForums Tanzania Igunga: Mwananchi amuomba Rais Magufuli ‘kuachia pesa’ mtaani, Rais ajibu hakuna vya bure zaidi ya kuchapa kazi

    Tangu Rais Magufuli aingie madarakani kumekuwa na malalamiko ya chinichini miongoni mwa Watanzania kuhusu hali ya kiuchumi kuwa ngumu. Ugumu huo ulizaa msemo ‘’vyuma vimekaza’’, jambo lililokemewa vikali na Mheshimiwa wa ngazi za juu. Sasa basi, kufuatia hali ya kiuchumi kuendelea kuwa ngumu...
  2. JamiiForums Tanzania Msemaji wa Serikali: Serikali imeelekeza, imeonya na kusamehe vya kutosha. Sasa kuvichukulia hatua vyombo vya habari vinavyosambaza taarifa za uongo

    Msemaji wa Serikali ya Tanzania, Dkt. Hassan Abbas kupitia ukurasa wake wa Twitter ndio ametoa onyo hilo kwa kusema; "Katika siku za karibuni kumeibuka tena tabia ya baadhi ya vyombo vya habari hapa nchini kushabikia, kutumika na kuwa mawakala wa kusambaza habari za uongo, uzushi na propaganda...
  3. JamiiForums Tanzania Prof. Kabudi: Ndege ya Tanzania, Bombardier Q400 imekamatwa Canada na kesi ipo Mahakamani

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi Kabudi amesema ndege ya Tanzania Bombardier Q400 iliyokuwa iwasili nchini hivi karibuni imekamatwa nchini Canada na kesi ipo Mahakamani NDEGE NYINGINE YA TANZANIA YAKAMATWA CANADA - Waziri wa Mambo ya Nje na...
  4. JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani mjifunze kutokana na makosa

    Vyama vya upinzani hasa vile saba mlivyojitoa katika kinyang'anyiro cha uchaguzi wa serikali za mtaa kwa mlichokifanya iwe funzo kwenu next time msirudie tena kwa sababu mmewanyima wananchi wenyu fursa ya kuchagua na kuchaguliwa. Tatizo lenu mnapenda kufanya mambo kisiasa, basi kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali yanemeesha wachimba madini

    Serikali kupitia Mradi wa Usimamizi Endelevu wa Rasilimali Madini (SMMRP), imeendelea kunufaisha wachimbaji wadogo wa madini kwa kuanzisha na kuboresha mifumo mbalimbali itakayosaidia kukuza sekta ya madini pamoja na kutatua changamoto zinazowakabili wachimbaji wadogo. Ujenzi wa Kituo cha...
  6. JamiiForums Tanzania Tusichotambua wengi wetu ni kwamba pesa za mkopo inazokopa Serikali kwa ajili ya miradi mbalimbali ni pesa zetu

    Wengi wetu tumekuwa mabingwa wa kukejeli pale ambapo Serikali inapokopa pesa kwenye mabenki mbalimbali eti si pesa yetu ya ndani bali ni mkopo jambo ambalo si kweli! Ukweli ni kwamba pesa inayokopwa na Serikali hurejeshwa kwa wale waliotukopesha kwa makusanyo yetu ya kodi kwa makubaliano ya...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali yaridhishwa na utekelezaji mradi mkubwa wa maji Arusha

    SERIKALI imeonyesha kuridhishwa na utekelezaji wa mradi mkubwa wa maji uliogharimu shilingi bilioni 520 unaotekelezwa katika halmashauri ya jiji la Arusha kwa lengo la kuhudumia wananchi. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Idara ya Usambazaji wa Maji na Usafi wa Mazingira kutoka Wizara ya Maji...
  8. JamiiForums Tanzania Serikali ifute somo la historia mashuleni libakie kama somo kwa wanaosomea mambo ya mortuary

    Somo la historia lifutwe mashuleni linapotezea muda watoto kusoma mambo ya maana Somo utadhani mko makaburini kutwa mtu unasomeshwa habari za marehemu. Mwalimu wa historia anakuja ohh Leo tunajifunza habari za marehemu chifu Mangungo, siku ingine marehemu Mkwawa, kesho tunasoma habari za...
  9. JamiiForums Tanzania Ni kwanini Serikali ya awamu ya tano inatumia propaganda ya kuminya Demokrasia katika kivuli cha kuleta maendeleo?

    Tumekuwa tukiwasikia sana watetezi wa utawala huu wa awamu ya tano wakitetea sana uminyaji wa demokrasia unaofanywa na serikali hiyo kuwa ni sahihi kwa madai ya kutumia kivuli cha kuleta maendeleo ya nchi hii. Mifano mikubwa wanayotoa hao watetezi wao ni kasi ya maendeleo wanayodai inafanywa...
  10. Q

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mna mikakati gani serious ya kushinda uchaguzi 2020?

    Huwezi kukiondoa madarakani chama kikongwe kama CCM kwa kulalamika kwenye vyombo vya habari, au kusubiri kigawanyike, unaweza kusubiri isiwe na kulalamika tu hakutoshi. Hadi sasa hatuoni movement yeyote serious kuonyesha kweli mna nia ya kuingia ikulu, pamoja na operation Chadema ni msingi, kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Kufeli kwa Serikali kuhamia Dodoma

    Wakuu zipo sababu kibao ambazo tukizitaja zinaweza kuwa mwiba mchungu sana lakini itabidi tuzitaje ili kuuboresha mji wa Dodoma ambao umepewa hadhi ya jiji ikiwa kimuonekano baado sana 1. Geografia ya mji wa Dodoma Mkoa huu ni miongoni mwa mikoa mikame na yenye asili ya jangwa kwa maana hauna...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali iangalie jambo hili

    Baada ya kufungwa kwa maduka maarufu yanayojulikana kama Bureau de Change nchini, huduma ya kubadirisha fedha imepewa nguvu na watoa huduma za kibenki kwa sasa. Kwa utaratibu uliozoeleka hapa nchini kama si duniani, benki nyingi zinafanya kazi siku 5-6 kwa siku ukiondoka siku ya jumapili...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali yapiga marufuku matumizi ya dawa za aina tatu kwa wenye kiungulia na vidonda vya tumbo

    Afisa Habari Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba Tanzania (TMDA), Gaudencia Semwanza MAMLAKA ya Dawa na Vifaa Tiba Tanzania (TMDA) imewataka watu wote waliokuwa wanatumia dawa za Raniplex 150 mg, Rantac 500mg/mL na Aciloc 150mg, ambazo hutumika kwa kiungulia na vidonda vya tumbo kuacha mara moja na...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Matabaka ya watumishi

    Vigezo gani vinatumika kupanga mishahara ya watumishi wa umma? Kuna tofauti kubwa sana ya mishahara kati ya watumishi wa mashirika na taasisi za serikali na wale wa halmashauri au serikali kuu. Kuna mashirika mengine hata dereva tu anamzidi mshahara engineer, mwanasheria au daktari wa...
  15. JamiiForums Tanzania Matokeo Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Novemba 24, 2019: CCM yashinda kwa 99.9%, CHADEMA wapata Kijiji kimoja na Vitongoji 19, CUF nao Kijiji

    Wananchi leo wanapiga kura kuchagua viongozi wao wa Serikali za Mitaa ambapo zoezi hilo linaanza saa mbili kamili asubuhi hadi saa kumi kamili jioni na wale wote watakao kuwa kwenye foleni muda huo wataruhusiwa kupiga kura Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jafo amesema Uchaguzi huo utafanyika katika...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa kuwa walioshinda bila kupingwa Serikali za Mitaa wanajulikana katika ofisi za CCM tu, wananchi hawawajui, wapite kila nyumba kujitambulisha

    Mamilioni ya wananchi hawawajui hawa walioshinda bila kupigiwa kura, wanafahamika kwa viongozi wa CCM tu. Nadhani ni busara walazimishwe kupita kila nyumba kusalimia na kujitambulisha.
  17. J

    JamiiForums Tanzania Serikali haifanyi biashara hivyo inachopokea ni Ziada ( surplus) siyo Gawio ( dividend), wahasibu karibuni!

    Mimi siyo muhasibu lakini nafahamu kwamba gawio ni sehemu ya mapato yatokanayo katika faida ya biashara. Hivyo ili upate gawio ni lazima pawepo na faida iliyopatikana katika mwaka husika. Ziada kwa upande mwingine ni ile bakaa inayobakia baada ya kutoa matumizi kwenye mapato ya taasisi zisizo...
  18. JamiiForums Tanzania Arusha: Aliyekuwa Mgombea wa Ujumbe katika Serikali ya Mtaa akutwa kwake akiwa amefariki huku akiwa na alama kukatwa shingoni

    Aliyekuwa Mgombea katika nafasi ya Ujumbe wa Serikali ya Mtaa ya eneo la Mnara wa Voda, kupitia CHADEMA kabla ya Chama hicho hakijajitoa kushiriki, Sirili Homary amekutwa amefariki dunia nyumbani kwake huku akidaiwa kukatwa na kitu chenye ncha kali shingoni Kamanda wa Polisi Mkoani Arusha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…