Ndugu Abbas Mwalimu , anafikiri sasa kuna haja ya kuipandisha hadhi Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kuwa Mamlaka kamili yaani Controller and Audit General Authority (CAGA).
Kwa nini anasema hivi? Kwa sababu kwa mtazamo wake, anaamini ikiwa mamlaka kamili...
Niende moja kwa moja katika maada yangu.
Nina amini kuwa humu ndani ya JF kuna watendaji wa serikali wakiwemo wa wizara ya Maliasili na utalii na pia wa wizara ya fedha na wa TRA. Ningependa sana na wale wote mlio kirani Mhe. Rais na Makamu wake muwafikishie kilio hiki.
Kiukweli biashara ya...
CAG ana kazi kuu mbili ya kwanza kudhibiti na ya pili kukagua, cheo chake anaitwa Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa Hesabu za serikali.
Ninavyomuona anajikita kwenye kukagua mahesabu kuliko kudhibiti. Hiyo ripoti aliyosoma CAG yenye madudu kibao inamhusu, yeye alikuwa wapi kudhibiti yasitokee? Ni...
Wananchi wenye hasira wa mtaa wa Kishiri huko Nyamagana Mwanza wamebomoa nyumba ya mwenyekiti wa serikali ya mtaa kwa madai ya kumuua kijana mmoja aitwaye Kinyasi
Inadaiwa mwenyekiti huyo alimkamata Kinyasi kwa madai kuwa aliiba ndala na kumpiga hali iliyopelekea kifo chake.
Haijafahamika...
CAG ni mkaguzi na mdhibiti mkuu wa hesabu za serilali lakini mara nyingi inaonekane GAC anakagua mahesabu ya serikali, lakini hafanyi udhibiti wa matumizi ya fedha za serikali.
Kazi ya CAG inapaswa pia kudhibiti jinsi fedha za serikali zinavyotumika, la sivyo naona hatutaondokana na haya...
Habari zenu ndugu zang watanzania mliopo humu. Ndugu zang nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu sana yanayoendelea nchini, hasa kuhusu tuhuma za ufisadi zinazoelekezwa kwa aliyekuwa Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hayati John P Magufuli.
Najua na inajulikana wazi tu kwamba tokea...
Ndugu wana jamii
Wizi serikalini na katika mashirika ya umma ni tatizo sugu. Tatizo hili lipo miaka nenda miaka rudi. Tatizo hili ni shida sana kulitatuwa kwasabu ni tatizo lililomo kwenye damu ya watendaji.
Ikiwa kazi ya CAG ni kutowa ripoti kila mwaka juu ya wizi ulifanyika kila mwaka jana...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameendelea kuwashangaza na kuwapa matumiani Watanzania kwa namna alivyoanza utendaji wake wa kazi, taratibu na kwa uhakika anathibitisha kwamba kauli yake kwamba nchi iko kwenye mikono salama na hakuna kitakachoharibika.
Uteuzi wa Dk...
Mbunge wa Vunjo mh Kimei ameitaka Serikali kukopa fedha nje ili iweze kukamilishz miradi ya kimkakati ya SGR na Bwawa la umeme.
Kimei amesema ni lazima miradi mikubwa ikamilike kwa wakati hivyo Serikali ikakope kwenye soko la nje ambako riba ni nafuu kati ya 5% hadi 6%
Chanzo: Star tv...
Sisi wana wa maskini tuna miaka takribani 6 sasa mtaani bila ajira baada ya kuhitimu vyuo. Wanatwambia wanajenga uchumi imara kwanza ndipo watuajiri.
Kumbe kujenga uchumi ndiko huku? Mamilioni kwa Mabilioni kwa matrilioni, wametafuna. Sisi tunateseka mtaani bila ajira,huku HESLB nao...
Eti, Rais hakushauriwa vizuri kuhusu mradi wa ujenzi bandari ya Bagamoyo, Wakati huohuo yeye ndiye mshauri mkuu wa serikali, alikuwa wapi?
Raisi wetu amefariki ndo kunampa mwanya wa kumwandama na kumkandia kila Neno Baya, sasa tunataka mtwambie kama Kweli kazi yenu ni kuishauri serikali na...
Madai haya mapya yametolewa mahakamani jijini Mbeya , ambako Mdude Nyagali anaendelea kujitetea dhidi ya tuhuma za uongo alizobambikiwa kinyama za madawa ya kulevya .
Mdude amedai mbele ya Mahakama huku machozi yakimtoka kwamba , baada ya kuanza kujitetea tarehe 25 march 2021 , na kesi yake...
Dodoma. Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amewataka wabunge kuchangia Mpango wa Taifa wa Maendeleo kwa kuishauri Serikali kama iendelee na mpango wake wa kununua ndege au isitishe hadi itakapoweka mambo sawa.
Ndugai amesema hayo bungeni mjini Dodoma leo Alhamisi Aprili 8, 2021 kabla...
Ni kama vile hakuna jambo lolote la kuhuzunisha na kusitikitisha lililotokea wakati wa kuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa awamu ya tano, mpaka sasa hakuna kilichofanyika kwa wafiwa si kwa serikali ya ngazi ya wilaya au mkoa wa DSM.
Kutokana na mkanyagano huo , Familia moja jijini Dar Es Salaam...
Unakuta mradi wa Serikali Mfano bango linaonyesha
Contactor ni NHC
Architect ni NHC
Quantity Surveyor ni NHC
Subcontractor ni NHC
Hakuna segregation of duties
Inatakiwa mfano Architect awe mwingine siyo NHC aweza kuwa Private sector au quantity surveyor akawa Private sector na subcontractor...
Jana rais wetu ameagiza kuundwa task force ya watalaam kuchambua kwa makini masuala haya ya covid 19 na kuishauri serikali hatua sahihi za kuchukua. Pressing issues hapa ni hasa msimamo wetu kuhusu chanjo za covid na utoaji wa takwimu zinazohitajika WHO kila siku. Tujadili faida na hasara au...
Ngoma aliyopiga Mhe Rais kuhusu Uhuru wa vyombo vya habari imewachanganya wachezaji na kila mmoja anacheza kwa style yake Kama ifuatavyo;
1. Gerson Msigwa alileta barua ndeefu inayotamka vyombo vilivyofungiwa vifunguliwe, Mkurugenzi Ikulu
2. Baadaye kidogo Dr. Abbass akaja na kauli kwamba...
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amewataka makamanda wa polisi wa mikoa ya Mtwara, Lindi, Tanga, Dar es Salaam na Unguja na Pemba kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama kufanya operesheni ya pamoja ili kumaliza tatizo la dawa za kulevya.
Chanzo: Habari Leo Online...
Mimi si mtumishi wa Afya, lakini mateso anayopata mtoto wa dada wa kunyonya (mtumishi wa afya), yamenifanya nitambue wapi serikali inakosa.
Ni jambo la ajabu sana kuona kuna uharamisho mkubwa wa kusema uwongo miongoni mwa viongozi wakuu wa Serikali hasa Afya. Mtume Muhammad s.a.w.w. amesema...