Waziri wa Nchi - Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu, Jenista Mhagama amesema katika kipindi cha mwaka 2019 hadi 2020 jumla ya Dawa za Viwandani Kilo 426.363, pia bangi na mirungi Tani 26.34 zilikamatwa.
Amesema Serikali imebaini mitandao ya...