serikali

  1. C

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ziache kuwalazimisha Watumishi kuchangia Mwenge

    Hii tabia ya wakurugenzi na wakuu wa wilaya kuwataka watumishi wa umma ndani ya Halmashauri imetoka wapi? Yaani mkuu wa wilaya anaagiza wakuu wa idara kusimamia zoezi na kuomba majina ya wachangiaji, sasa hatujui wasiochangia wafanywaje. Pia wakuu wa idara wamekuwa wakionywa endapo atashindwa...
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Ni wazi Serikali haina mikakati ya tatizo la Ajira kwa vijana

    Wanasiasa wote ndani ya CCM na upinzani wamekuwa wakilitaja tatizo la ajira lakini kwa hotuba ya leo ya Rais Samia, ni wazi serikali haina ufumbuzi wa tatizo hili. Kujiajili hiyo siyo mbinu ya serikali, ni jambo la mtu binafsi kuamua. Serikali lazima itengeneze ajira. Kupunguza kodi siyo mbinu...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali haina uwezo kuajiri walimu vyuo vikuu au sio kipaumbele?

    Katika kitu kinashangaza ni hili la vyuo vya umma vya elimu ya juu kuwa na upungufu mkubwa mno wa waalimu. Yaani kitu ninachojiuliza ni kwamba serikali haina uwezo kuajiri kuziba huu upungufu mkubwa wa waalimu au ni kwamba sio kipaumbele chao. Inashangaza zinatolewa ajira za walimu wa sekondari...
  4. JamiiForums Tanzania Mbunge Munde Tambwe: Fedha zinazokusanywa na Serikali sio kwa ajili ya kulipana posho

    Mbunge Munde Tambwe amemuomba Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba kuhakikisha Fedha zinazokusanywa na Serikali zinaelekezwa kwenye Maendeleo badala ya kulipana posho. Akizungumza katika majadiliano ya Bajeti Kuu ya Serikali 2021/22 amesema, "Pesa hizi wazipeleke zikafanye kazi ya kuwakomboa...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali (Waziri Bashungwa) tafadhali toeni tamko lenu la kimamlaka kuhusu ''Uhuni'' unaendelea kufanywa na klabu ya Yanga

    Sasa ni Mwezi unakatika kila ukiamka tu ni lazima ukumbane na Makundi mbalimbali ndani ya Klabu ya Yanga wakisema kuwa hawatocheza Mechi yao na Simba SC iliyopangwa Kufanyika tarehe 3 July, 2021. Kila hawa Wapuuzi na Wahuni (Yanga SC) kupitia Makundi yao Kuanzia Msemaji wao Mshamba ( Mbwiga )...
  6. JamiiForums Tanzania Ajira za ualimu: serikali ije na majibu ya kueleweka juu ya walimu wangapi wa shahada 'degree' iliowaajiri

    Miongoni mwa mambo yanayotakiwa kutupiwa jicho ni ubaguzi uliopo kwenye utoaji wa ajira kwa kada mbali mbali ikiwemo ualimu Serikali ya awamu ya tano chini ya utawala wa hayati Magufuli imekuwa ikitoa ajira za ualimu kwa upendeleo na ubaguzi bila kuzingatia usawa na elimu za waombaji...
  7. JamiiForums Tanzania Ileje, Songwe: Hoja 38 za Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) tangu 2009 bado hazijajibiwa

    ILEJE: Hoja 38 za tangu 2009 bado hazijajibiwa RC Mgumba ageuka mbogo kwa Baraza la Madiwani. SONGWE: Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Omary Mgumba amegeuka mbogo kwenye Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Ileje baada ya taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali CAG kuonyesha...
  8. R

    JamiiForums Tanzania HESLB itaifuta tozo ya adhabu 10% kama ilivyoagizwa na serikali?

    Akiwasilisha makadirio ya bajeti ya Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia tarehe 9. 04 May 2021, aliiagiza bodi ya wakurugenzi ya heslb kufuta makato ya 10% yanayotozwa na bodi kwa waliochelewa kurejesha. Kumekuwa na ukimya kama kwamba hilo agizo halipo na website ya bodi hakuna tangazo la...
  9. JamiiForums Tanzania Musukuma ataka machinga wasibugudhiwe. Asema Serikali imechuma Bilioni 43 kwenye Vitambulisho

    BUNGENI: Mbunge Joseph Kasheku Musukuma amesema Machinga anaposumbuliwa na kuharibiwa Biashara, Taasisi za Kifedha nazo zinaharibiwa. Amesema, "Kuna watu wako pale wana mikopo, wamekopeshwa wana marejesho. Tuna shida gani tukisema magari yasiingie Kariakoo ili iwe kitovu cha Biashara? Watu...
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania: Serikali yaagiza uvaaji barakoa kwenye mikusanyiko

    Serikali ya Tanzania imeagiza wananchi kuchukua tahadhari ya ugonjwa wa corona kwa kuvaa barakoa sehemu zenye mikusanyiko, ili kujikinga na wimbi la tatu lililoibuka katika mataifa mbalimbali. Wakuu wa mikoa na wilaya wameagizwa kuhakikisha wanatimiza agizo hilo kwa kuzishirikisha kamati za...
  11. JamiiForums Tanzania Msafara wa kiongozi wa serikali wawa kero Singida

    Nikiwa msafiri leo nikitoka Kagera tumekuta foleni kubwa kabla ya kuingia Singida tunaambiwa ni msafara wa waziri mkuu. Tuliowakuta hapa wanadai wapo tokea saa 7 mchana na sisi tumefika hapa saa 11 jioni na bado hakuna dalili ya kuondoka. Viongozi washughulikie kero hii si sawa kabisa
  12. JamiiForums Tanzania Mafanikio Makubwa ya Kitabibu Yafanyika. Hongera Serikali Awamu ya 6

    Jamiiforums naona kuna baadhi ya threads mnazi delete bila sababu ya msingi. Tupeane Mwongozo Zinatakiwa threads za namna gani pekee? Tunashukuru pia kijiografia nchi kama Usa, Ugiriki, Misri sasa zimesogezwa karibu na Tanzania.
  13. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa mradi wa barabara nane Kimara-Kibaha umekwama kwa sababu serikali haina pesa ya kumlipa mkandarasi?!

    Ukweli ni kwamba huo mradi umekwama na hauendelei tena kwa kasi ile ya kipindi cha JPM. Mkandarasi inasemekana hajalipwa pamoja na kupeleka certificate karibia tatu za kuomba alipwe na halipwi! Ukweli na usemwe makusanyo ya kodi yamepungua maradufu ndiyo maana malipo ya miradi mingi imekwama.
  14. JamiiForums Tanzania CHADEMA yashauri kuwe na kodi ya Katiba Mpya ili mchakato wa Katiba uendelee

    Kauli hii ya Kizalendo imetolewa na Katibu Mkuu wa CHADEMA Mhe. John Mnyika , wakati akiongea na Waandishi wa Habari wa ndani na nje ya nchi kuhusu Umuhimu wa Katiba Mpya kuliko jambo lingine lolote kwa sasa . Mh Mnyika amesema kwamba ikiwa Serikali yetu haina hela za kugharamia Mchakato huu...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali kuongeza kodi kwa vikundi vya scheme za umwagiliaji ni kukosa Hekima kwa Wanasiasa wetu

    Waziri wa fedha amesoma bajeti na tunaendelea kuichambua kipengele kimoja baada ya kingine. kwa ufupi ni kwamba wanasiasa wameshindwa kutatua changamoto zetu. Wakati taifa likiwa katika mtanzuko mkubwa wa ajira na kuhimiza vijana wetu waegemee zaidi kilimo hasa cha umwagiliaji, Serikali...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Kwani Wakulima waliikosea nini Serikali ya CCM?

    Nilimsikia waziri wa fedha akisema, kwa ajili ya kukuza kilimo cha umwagiliaji vikundi vya skimu za umwagiliaji, vitatozwa ada ya kuendeleza miradi ya umwagiliaji. Hivi ni kweli kwamba serikali imeshindwa kubuni mbinu za kuwatafutia ruzuku wakulima wetu hata kwa kukopa toka mabenki mbalimbali...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Serikali iweke wazi orodha ya watumishi wanaostahili kupanda vyeo mwaka 2021

    Kwa kumbukumbu zangu, katika barua yake kwa wizara, idara na taasisi za serikali, Katibu Mkuu Utumishi aliwagiza wahusika kuwa ifikapo June 10 mwaka huu, wawe wamewassilisha serikalini orodha ya watumishi wanaostahili kupanda vyeo katika mwaka huu wa 2021. Hivyo, ili kuwapa watumishi fursa ya...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya Serikali ikishasomwa inaweza kubadilishwa?

    Hivi bajeti aliyosoma Mheshimiwa Mwigulu Nchemba ni final au ipo subject to changes kulingana na Bunge litakavoijadili na je, kuna chance kuwa inaweza kubadilishwa?
  19. S

    JamiiForums Tanzania Serikali itoe tamko kubatilisha mabango ya matusi Mwanza, la sivyo ni ruksa kwa tamko halali la Mkuu wa Mkoa

    Chalamila alitoa ruksa kwamba tunaweza kubeba mabango kumkaribisha Raisi na kuandika chochote, hata tusi. Chalamila kaondolewa, lakini sijasikia serikali ikibatilisha tamko hili la ruksa. Nadhani busara zitumike, na batilisho litolewe. La sivyo mkiona bango langu lina matusi ya nguoni tusilaumiane.
  20. JamiiForums Tanzania Chalamila: Akija Rais Samia mje na mabango hata ya matusi. Wananchi Washangilia kufukuzwa kwake

    TUliwaambia huko nyuma, huyu Chalamila ni hafai
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…