Akiwasilisha makadirio ya bajeti ya Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia tarehe 9.
04 May 2021, aliiagiza bodi ya wakurugenzi ya heslb kufuta makato ya 10% yanayotozwa na bodi kwa waliochelewa kurejesha.
Kumekuwa na ukimya kama kwamba hilo agizo halipo na website ya bodi hakuna tangazo la kufutwa 10% tozo la adhabu, badala yake kuna tangazo la kufutwa 6% ya value retention fee.
Akisoma makadirio ya bajeti ya serikali, Waziri wa Fedha na Mipango ametaja kufutwa kwa vrf na hakuta kufutwa kwa 10% makato ya adhabu, hata Ile ya 1% makato ya utawala.
Kama 10% na 1% haitafutwa MZIGO wa makato utaendelea kuwatesa wanufaika. Ninaomba mamlaka husika zilitolee ufafanuzi hili suala.